Just kwa sababu kuna uhitaji haimaanishi kwamba taratibu zisifuatwe.View attachment 1610511
Kwa akili hizi ni vema wapinzani wakaendelea kuwa wapinzani
Kwa akili yako,unafikili upinzani ni Chadema au vyama,upinzani ni watu ,ili usiwe na upinzani inabidi uwauwe WANANCHI wote ubaki peke yako.View attachment 1610511
Kwa akili hizi ni vema wapinzani wakaendelea kuwa wapinzani
🐖🐄🐄🐄🐄
Wapinzani wanabebwa na huruma, sio shughuli kwa maana ya umaana waoKwa akili yako,unafikili upinzani ni Chadema au vyama,upinzani ni watu ,ili usiwe na upinzani inabidi uwauwe WANANCHI wote ubaki peke yako.
CCM wamefanya siasa kwa miaka yote 5 , vyama vingine vikikatazwa ,pamoja na kununua Wabunge na Madiwani,wanafikili wameua upinzani,lakini vyama vya upinzani vimefanya siasa kwa mwezi mmoja na nusu,nazani shughuli yake mmeiona,Hadi mleta post povu linakutoka,
Hata vyama vya upinzani visipokuwepo, WANANCHI wataendelea kuwepo.
Kwa akili yako,unafikili upinzani ni Chadema au vyama,upinzani ni watu ,ili usiwe na upinzani inabidi uwauwe WANANCHI wote ubaki peke yako.
CCM wamefanya siasa kwa miaka yote 5 , vyama vingine vikikatazwa ,pamoja na kununua Wabunge na Madiwani,wanafikili wameua upinzani,lakini vyama vya upinzani vimefanya siasa kwa mwezi mmoja na nusu,nazani shughuli yake mmeiona,Hadi mleta post povu linakutoka,
Hata vyama vya upinzani visipokuwepo, WANANCHI wataendelea kuwepo.
Kawaonesha haya matakataka maccm wenzako
Kwahy hivyo viclips navyo nihoja,mkuu kuwa serious kama ni ushabiki wakisisiemu thread closed.Pumbavu wewe uletewe hoja gani???
Kashare kweny vigroup vyenu vya uvsisiemuNi hoja ndo maana umeahirisha kupiga mswaki