siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. GE2020 Magufuli Ndie Mesiah wa Tanzania, Tumpe Kura Nyingi Oktoba 2020

    Mathayo 11:2-26 Yohana Mbatizaji akiwa gerezani alipata kusikia habari juu ya matendo ya Yesu Kristo. Basi, Yohana akawatuma wanafunzi wake, wamwulize Yesu hivi: “Je, wewe ndie yule Masiah anayekuja, au tumngoje mwingine?” Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie Yohane mambo mnayoyasikia na kuyaona...
  2. Simba Day: Simba SC yaisambaratisha Vital-O 6-0

    Tupo Tayari Hatimaye ile sikukuu kubwa la kisoka Africa inafika kileleni leo katika viwanja vikubwa viwili Benjamin Mkapa na Uwanja wa Uhuru. Tutakuwa hapa kuwapa updates ya matukio na mechi kali kati ya Simba SC Vs Vital O Magoli yote ya Simba Onyo Nitakuwa wa mwisho kutomuunga mkono Mo...
  3. IGP Sirro, amewaomba viongozi wa dini kukemea baadhi ya maneno yanayotamkwa na wanasiasa badala ya kukaa kimya

    Ametoa ombi hilo leo Agosti 22, 2020 akiwa anaongea na viongozi wa dini visiwani Zanzibar, kuhusuiana na suala la amani, katika kipindi chote cha uchaguzi ambapo amesema viongozi wa dini ni moja ya wadau wa amani nchini. "Niwaombe sana kwasababu mnasikia baadhi ya maneno yanayotamkwa na baadhi...
  4. CCM, siasa za visasi hazifai kamwe

    Kuna watu wamekatwa majina kwa sababu tu ni marafiki wa Membe. Sasa hivi CCM hata uhuru wa kuongea na mtu asiyepatana na mwenyekiti haupo. Taifa linakwenda wapi? Kuna watu walitoa rushwa hadharani kama Kingwangala, Waitara na Gambo ila majina yamepitishwa. Kuna wengine wamekatwa kwa kisingizio...
  5. K

    Tahadhari: Siasa isituharibie elimu yetu

    Kumekuwa na jitihada nyingi wakati wa uchaguzi wanasiasa kutaka kuonesha walivyofanya maajabu, ubaya nipale yanapotengenezwa mambo kinguvu ili kusadifu matakwa ya wanasiasa. Tunakumbuka 2013 matokeo ya K IV yalinogeshwa ili BRN (big results now) ionekane imeleta output kubwa enzi hiyo. Hivi...
  6. Kwanini Mchungaji/Askofu/Mwinjilisti anapoingia kwenye siasa za Vyama vingi Mungu anamfuta siku hiyo hiyo katika utume?

    Siku Paulo anaitwa kuwa mpleka injili Mungu alimtambulisha kwa anania kama "CHOMBO CHANGU KITEULE NILICHOKICHAGUA ILI APATE KULICHUKUA JINA LANGU KWA MATAIFA NA WAFALME" Matendo 9:15 Pia ukisoma Isaya 49, Utagundua MTUMISHI wa Mungu ni cheo kikubwa kuliko wafalme na marais. Anasema hapo...
  7. Kwaheri vita dhidi ya rushwa, Kwaheri Siasa safi, kwaheri Ukweli

    Asalam, Mbiu zilipigwa, Kelele zilisikika, Wazalenda wakasema Sasa huu Ni mkuki wa mwisho kwa Adui Rushwa. Msamiati wa kukata ukatamalaki, Mwenezi Polepole akafoka, kila alipopita akaonekana mbabe, mwenye nguvu, kuliko Hata Katibu Mkuu Kakurwa Bashiru. Watia nia walimuogopa, alionekana Hana...
  8. Miujiza ya Mungu kwa Tundu Lissu, COVID-19 na Siasa za Tanzania yetu

    Wanajamvi, Kwanza kabisa, niseme kama COVID-19 ingekuwa mbaya Tanzania, Lissu asingepata huu umati wa ajabu wenye Watanzania wenye hamasa ambayo sidhani kama nimeshawahi kuiona kwenye siasa za Tanzania. Hili ni la kumshukuru Mungu! Amejibu maombi kwa namna ya ajabu kabisa! Amejibu maombi kwa...
  9. IGP Simon Sirro ana wajibu wa kutueleza Chama cha Siasa kilichopanga kuchoma vituo vya kuuza mafuta Nchini

    Leo IGP Simon Sirro katika taarifa yake kwenye kikao chake na NEC ameeleza umma kuwa kipo Chama cha Siasa kilichopanga kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020 kwa kupanga kuchoma vituo vya kuuza mafuta aina ya diesel na petrol nchini. Kwa kuzingatia cheo alicho nacho kwa nchi, hizi mi tuhuma...
  10. GE2020 Tundu Lissu akiwa Tunduma leo

  11. M

    Kweli dini ni biashara, dini ni siasa

    Naomba wahusika waniwie radhi kama nitawakwaza. Nimelazimika kuyasema haya . Siku za hivi karibuni umeibuka utaratibu wa viongozi wa dini kuita vikao wao au kushirikishwa katika vikao na kutoa maneno yanayoashiria kuwa wamepewa kitu kidogo na wenye nacho na hivyo kutoa matamshi yanayotia mashaka...
  12. K

    Tafakuri huru: Choma choma moto ya Ofisi za Vyama vya Siasa, siyo janja janja ya kutafuta kura za Huruma ya Wananchi?

    Ndugu zangu watanzania, Kwakweli Mungu ni mwema kwa ametupa siku ya leo tena. Ndugu zangu, inapotekea vipindi kama hivi, watu wanatafuta kura, watatumia mbinu mbali mbali, hasa wale ambao wenye sera mfirisi. Nimejiuliza maswali kadhaa hivi: Je, ni kweli Chama Cha Mapinduzi (CCM), wachome moto...
  13. Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) lawataka viongozi wake kujiweka kando na Siasa

    Hawa sasa ndiyo viongozi wa kiroho wa ukweli na wanaojitambua na kujua nafasi yao katika Taifa, siyo kama wale wengine wajasiriadini na wasaka tonge. Kongole kwenu KKKT chini ya Baba Askofu Fredrick Shoo. Natamani sana kanisa langu RC waje na tamko zito kama hili au zaidi ya hapa.
  14. J

    Askofu Shoo: Siasa ni mchezo mchafu hivyo viongozi wa dini hawapaswi kuwa sehemu ya uovu huo

    Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT Dr Shoo amewaasa viongozi wa dini kutojifungamanisha na siasa kwani siasa ni mvhezo mchafu na viongozi wa dini hawapaswi kuwa sehemu ya uovu huo. Askofu Shoo amefafanua kuwa hata hivyo hiyo haimaanishi viongozi wa dini wakae mbali sana na siasa bali wawe washauri...
  15. M

    Askofu Benson Bagonza (PhD) azungumzia kilichoitwa “Kongamano la Viongozi wa Dini” Dar es Salaam

    Anaandika Baba Askofu Rev. Dr. Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe kuhusu kilichoitwa Kongamano la Viongozi wa Dini Watu wengi wameniuliza sana kuhusu kongamano la viongozi wa DINI. Siwezi kumjibu kila mtu peke yake. Maoni yangu ni haya: 1. Hakuna DINI inayoiwakilisha...
  16. GE2020 CHADEMA na Siasa za kutafuta Kura za Huruma kutoka kwa Wananchi badala ya kutegemea uwezo wa Sera

    CHADEMA wamekuwa wakijitahidi Sana kufanya matukio ya kuvunja Sheria ili vyombo vya dola vichukue hatua na wawekwe ndani I'll wapigiwe kura za kuhurumiwa na wananchi. Huu Ni utamaduni mpya ambao CHADEMA imeouanzisha ambao haujaeahi fanya kazi ila chaguzi zao za ndani unaonyesha kufanya kazi...
  17. J

    GE2020 Jaji Mkuu: Ni marufuku kwa Jaji, Msajili wa Mahakama na Hakimu kujiunga na Chama cha Siasa

    Jaji mkuu Profesa Ibrahim Juma amesema ni marufuku kwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Jaji wa Mahakama Kuu, Msajili wa Mahakama na Mahakimu kujiunga na Chama cha Siasa. Profesa Ibrahim Juma amesema watumishi hao wa Mahakama wanabaki na haki moja tu ya kupiga kura waliyopewa katika Ibara namba 5 ya...
  18. J

    Dini na Siasa zinategemeana ndio maana Dkt. Slaa anaweza sana Siasa, Mungu ndiye wa Pekee!

    Siasa na Dini zinafanya kazi moja tu ya kuwaunganisha binadamu kwa njia ya kuwatawala ili kuwaletea maendeleo ya kimwili na ya kiroho. Kiongozi wa dini siyo lazima awe anamuamini Mungu ndio maana kuna dini ya shetani. Hivyo hakuna tatizo lolote endapo viongozi wa dini wataamua kuungana na...
  19. TANGAZO LA AJIRA 12,000 ZA UALIMU TAMISEMI: Ni la kweli au ni magumashi ya CCM na siasa za uchaguzi mkuu tu?

    Takribani wiki NNE au TATU zilizopita waziri wa OR - TAMISEMI Ndg Selemani Jaffo alizungumza na waandishi wa habari... Kati ya mambo mengi aliyozungumza, aliutangazia umma pia kuwa, serikali imeshatangaza AJIRA MPYA ZA UALIMU 12,000 kwa shule za Msingi & Sekondari... Ukiingia katika website ya...
  20. Tuache ushamba tuwe wavumilivu, siasa za kushambuliana majukwaani zilikuwepo tangu 1995

    Mimi nawashangaa sana hawa wanafiki wanaojipendekeza eti ooh Tundu Lissu aache kuongea maneno makali dhidi ya Mukulu. Hizi ni siasa, ukiambiwa kitu kwa hoja jibu kwa hoja na siyo kuanza kupiga mayowe hovyo hovyo kama mtoto mdogo. Wahenga tuliookuwepo tangu 1995 wakati uchaguzi kupitia mfumo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…