Je, ni kweli kwamba siasa ni mchezo mchafu?

Je, ni kweli kwamba siasa ni mchezo mchafu?

Una Maoni gani juu ya uchafuzi wa mazingira mtaani kwako? na ni nini kinachafua hasa?

  • Mazingira yamesahaulika

    Votes: 0 0.0%
  • Tumejisahau usafi wetu wenyewe

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0
  • Poll closed .
Mkuu siasa siyo taasisi ya kidini...

Bali siasa ni Mchezo mchafu na Mwanasiasa mwenye mbinu chafu Mara nyingi ndo huushinda mapambano.
Na hii siyo kwa nchi masikin Wala tajiri. Wapo kina Rais J. Kennedy na Lincoln walipigwa risasi mchana kweupe, wapo kina Tundu lissu walipigwa risasi mchana kweupe, wapo kina A. Mawazo walikatwakatwa mapanga mchana kweupe.

Kwahiyo tunaposema siasa ni mchezo mchafu tunamaanisha kweli, hata kama Mwanasiasa ukiingia na usafi wako at the end itakubidi uwe mchafu ili uendane na Mchezo.
 
619eadff5fd48404215fc0e78bee5105.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom