shule

  1. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Mbezi Shule tunaomba mtutendee haki wateja wapya

    Nianze kwa kupongeza juhudi kubwa zinazofanywa na watumishi wote wa TANESCO nchini kote bila kuwasahau watumishi wanaotuhakikishia huduma hii ya umeme ipo kwa watumiaji muda mwingi KATIKA ENEO la Mbezi na viunga vyake vyote pokeeni pongezi hizi. Naendelea kutambua na kuheshimu kazi inayofanyika...
  2. JamiiForums Tanzania Arusha: DC Kenani awachapa mboko wanafunzi 3 kwa tuhuma za kuiba madawati 108 na kuyauza kama vyuma chakavu

    Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenani Kihongosi amewacharaza bakora wanafunzi watatu wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Sinoni kwa tuhuma za kuiba madawati 108 ya shule hiyo na kuyauza kama vyuma chakavu. Wanafunzi hao wanadaiwa kuiba madawati hayo kwa nyakati tofauti na kuwauzia watu watano...
  3. JamiiForums Tanzania Ujerumani kufunga maduka mengi na shule kudhibiti Corona

    Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema hii leo kwamba sserikali kuu na zile za majimbo wamekubaliana kuhusu rasimu ya mapendekezo ya kuweka hatua kali za kujaribu kudhibiti wimbi la maambukizi ya virusi vya Corona nchini humo. Hatua hizo ni pamoja na kufungwa kwa maduka mengi kuanzia siku...
  4. JamiiForums Tanzania Ni shule gani ya English Medium ambayo ni nzuri kwa maeneo ya Goba na Viunga vyake?

    Title ya thread inajieleza. Nahitaji shule ya English medium kwa mwanangu inayopayikana mitaa ya Goba na viunga vyake. Tafadhari sana share nami shule ambayo nikimpeleka mwanangu sitojuta
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini hizi shule za English medium wanafunzi hawachapwi viboko?

    Wakuu ni kwanini hizi shule wanazojifunza kwa kutumia kiingereza huwa hamna viboko? Inamaana ukiwa unajifunza kwa kiingereza unaweza kwenda bila viboko? Nidhamu ya wanafunzi wanaosoma hizi shule ikoje?
  6. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai anasema hawezi kuwafukuza bungeni Wanawake kwa maana dunia itamshangaa; lakini hashangai Serikali kuwafukuza shule wanawake

    Wakuu amani iwe nanyi Mwendelezo wa mtifuano mkali, CCM sasa inamtetea mwanamke kwa kila namna. Ni hivi: Jana spika Job Ndugai alisema kuwa hawezi kuwafukuza bungeni wale akina mama kwa sababu dunia nzima itamshangaa kwa kuwafukuza wanawake bungeni na hali hiyo itapelekea yeye binafsi...
  7. JamiiForums Tanzania TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

    Inasikitisha na kuhuzunisha sana kwa kifo chake. Ametutoka mapema leo 07/12/2020 katika hospitali ya Mount Meru Arusha. Taarifa zaidi kuhusu chanzo cha kifo chake zitakujia hivi karibuni. Nafahamu kuna wana MJSS wengi sana hapa Jukwaani walio ndani na nje ya nchi. Karibuni tumuenzi mkuu wetu...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kujua kama shule ya msingi imesajiliwa Wizarani

    Kuna shule ya msingi anasoma mwanangu. Nataka kujua km imesajiliwa au la meaning kua inatambulika na serekali. Bado ni changa. Ina mpaka standard 3 kwa sasa.
  9. JamiiForums Tanzania Kinachoikumba Shule ya Mt. Jude: TRA waliondoa 500,000,000 kwenye akaunti za Shule

    HALI YA SASA YA SHULE YA ST. JUDE UTANGULIZII 1. Shule ya St Jude inatoa asilimia 100 ya elimu bure na bora kwa Zaidi ya watoto 2000 kuanzia shule ya msingi, sekondari na elimu ya juu kwa familia zenye hali duni ya kiuchumi wanaoishi kwenye mikoa ya kaskazini ya Tanzania. Kati ya wanafunzi...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Igunga, tunashukuru kwa msaada wa Uniform lakini hapana

    Mheshimiwa Mbunge kulikuwa na haja gani ya kuweka muhuri mkubwa hivyo? Nadhani hata usingeandika chochote wananchi wangekumbuka mchango wako Kuweka hilo bango kwa sisi wengine ni fedheha, sawa tu na wale wanaotujengea matundu mawili ya choo na wanaandika kibao 'Donated by.....' Gharama za...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina mamlaka juu ya Spika?

    Kwenye nchi yoyote ya kidemokrasia kunapokuwa na Katiba iliyoandikwa hiyo katiba inakuwa na mamlaka makuu juu ya Taifa zima. Sio Spika, Rais hata Jaji mkuu anaweza kuwa na mamlaka dhidi ya Katiba. Mamlaka ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yanapatikana kwenye ibara ya 64(5) ambayo...
  12. JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatangaza ajira za walimu shule za msingi na sekondari. Walimu waliopata ajira watakiwa kuripoti kuanzia Desemba mosi, 2020

    Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga atazungumza na waandishi wa habari Kuanzia Saa nane mchana kuhusu Ajira Mpya za Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari pamoja na mafundi Sanifu wa Maabara. Tukio hili litarushwa Mbashara kupitia Tamisemi Tv. Updates MAJINA YA WALIMU WAPYA
  13. JamiiForums Tanzania Je, kuanzia 2021 shule za serikali itaendelea kutoa elimu bure?

    Habari ya mchana wadau wa JF. Kuna kitu nilikuwa najiuliza sana, nikaona niwashirikishe na nyie. Je, serikali ya awamu ya 6 chini ya Mh. Magufuli itaendelea kutoa elimu bure kwa ngazi ya elimu ya msingi na upili kama ilivyokuwa kipindi anaingia madarakani 2015? Je, wanafunzi wataanza...
  14. JamiiForums Tanzania Jengeni viwanda muajiri vijana sio shule wakasome watoto

    Ifahamike swala la Elimu ya msingi kwa sasa lipo vizuri sana naipongeza serikali. Kiongozi yeyote atakae weza kutatua tatizo la ajira kwa kujenga viwanda kisha kuwaajili watu pasipo upendeleo. Nasema Hivi huyo atashinda hata urais kwa chaguzi zijazo. Kwa nini? Ikiwa rundo kubwa ni la vijana...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Viatu vya shule vinauzwa bei nafuu

    Kwanini usubiri hadi January kununua viatu vya shule kwa ajili ya mwanao, wakati ni sasa jipatie viatu vya shule na offer ya socks Kwa 35,000 Call/what's up 0744 002351 Zinapatikana no 20 - 40
  16. JamiiForums Tanzania Moshi: Mwalimu na Wanafunzi 2 wapandishwa kizimbani kwa kuchoma Mabweni ya shule

    Moshi. Ofisi ya Taifa ya mashtaka nchini Tanzania imewafikisha mahakamani watuhumiwa watatu wakiwemo wanafunzi wawili kwa tuhuma za kuhusika katika matukio ya kuchoma moto mabweni ya shule za sekondari za Uchira na Ebeneza Sango zilizopo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Akizungumza na...
  17. JamiiForums Tanzania GEITA: Afisa ardhi Agustino Sibeye mbaroni kwa kuwagonga na gari na kuwaua wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa

    Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Afisa ardhi wilaya ya Nyangwale Agustino Sibeye kwa kuwagonga na gari wanafunzi wanne wa shule ya msingi Ibambilwa na kufariki dunia wakati wakivuka barabara kuelekea shuleni. Kamanda wa polisi mkoa wa Geita Hanry Mwaibambe amesema afisa huyo wa ardhi...
  18. JamiiForums Tanzania Hata Wamarekani hawaamini tena katika elimu ya shule zao

    Elon Musk aliwatoa watoto wake wote watano katika shule walizokuwa wanasoma, akaanzisha shule yake karibu na zilipo ofisi za kampuni yake ya Space X. Shule hii haifuati mitahala ya shule yoyote. Pale wanajifunza hesabu, Physics, mambo ya space wakiandaliwa kuwa ma engineer wa kampuni zake. Pia...
  19. JamiiForums Tanzania Video: Jengo la Shule lenye ghorofa 5 lililojengwa miaka 85 iliyopita likihamishwa kama lilivyo katika mji wa Shanghai, China

    Tazama jengo la shule lililojengwa zaidi ya miaka 85 iliyopita likihamishwa zima zima kama lilivyo katika mji wa Shanghai, China, kwa kutumia teknolojia iliyopewa jina "Mashine Inayotembea" Jengo hilo lililopo katika eneo la Wilaya ya Huangpou lilijengwa mwaka 1935 kwa ajili ya Shule ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Zungu awaambia wanafunzi wampigie kura Magufuli

    Katika muendelezo wa michezo ya uvunjifu wa sheria, makada wa CCM wameanza utaratibu haramu wa kuwachukua watoto wa shule na kuwaelekeza kumpigia Magufuli kura Huku watoto wakiwa kwenye uniform za shule wanafundishwa namna ya kumpigia kura Magufuli. Tunaitaka NEC ije iuelezee umma kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…