Tujadili mfumo wa kutangaza Shule inayoshika nafasi ya kwanza nk

Big Eagle

JF-Expert Member
May 3, 2020
592
625
Kutangaza shule inayoshika nafasi ya kwanza, yapili nk.

Faida
I. inaongeza ushindani kwa wamiliki wa shule
II. inaongoza wazazi kujua shule ipi nzuri.

Hasara
I. inasababisha wizi wa mitihani ya Taifa
II. inasababisha ubaguzi kwa watoto kupitia mitihani ya michujo.

Binafsi napendekeza ufutwe necta iwe inatangaza wanafuzi walioongoza tu kwa sababu zipo shule zinazo chukua kila mwanafunzi anaeomba nafasi ya kujiunga na masomo lakini shule nyingine zinachukua wanafunzi ambao wako vizuri tu.
 
Kutangaza shule inayoshika nafasi ya kwanza, yapili nk.

Faida
I, inaongeza ushindani kwa wamiliki wa shule
II, inaongoza wazazi kujua shule ipi nzuri.

Hasara
I, inasababisha wizi wa mitihani ya Taifa
II, inasababisha ubaguzi kwa watoto kupitia mitihani ya michujo.

Binafsi napendekeza ufutwe necta iwe inatangaza wanafuzi walioongoza tu kwa sababu zipo shule zinazo chukua kila mwanafunzi anaeomba nafasi ya kujiunga na masomo lakini shule nyingine zinachukua wanafunzi ambao wako vizuri tu.
Wazo zuri

Lakini hata shule za serikali mfano mzumbe,kibaha,ilboru, Tabora Boyz and girls,msalato na kilakala hawachukui vilaza

It hata huko nao wachukue average students
 
Wanasema vipaji maalum huwa najiuliza kipaji ili kionekane ni mpaka ukitenge!
 
Nimeona shule yangu ya advance level,
 
Wanasema vipaji maalum huwa najiuliza kipaji ili kionekane ni mpaka ukitenge!
Ni vipaji kweli, unaenda na 1 kali, afu grades comb n AAA - ABB science , AAA - BBB arts. Kwa advance.
Kwa o level, A zote std 7.
acha masikhara lol.
 
Back
Top Bottom