shule

  1. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe shule ya sekondari Tosamaganga

    Habari kwa wale tulisoma shule hii kongwe ya Tosamaganga mkoani Iringa unakumbuka nini katika kipindi ukisoma, moment mbalimbali kama mpira kule msiwasi, sumu, misuli, makongamano mbalimbali pale shule, walimu mbalimbali. Asante karibuni kwa maoni
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa shule za Sekondari Kenya walala uwanjani lockdown ya Corona

    Wanafunzi waliomalizi kidato cha nne wamelala katika viwanja vya Uhuru Park jijini Nairobi baada ya kukamilisha mitihani yao ya mwisho. Hii ni baada ya kushindwa kuendelea na safari yao ya kuelekea nyumbani baada ya muda wa amri ya kutotoka nje kuwapata wakiwa bado hawajaondoka mjini humo...
  3. JamiiForums Tanzania Shule ya Msingi Mandera yakabiliwa na uchakavu wa majengo

    Shule ya msingi Mandera iliyopo kata ya Mswaha wilayani Korogwe mkoani Tanga inakabiliwa na uchakavu mkubwa wa majengo ikiwemo vyumba vya madarasa na nyumba za walimu hali inayo watia hofu walimu wanaofundisha katika shule hiyo. Akizungumza na ITV Afisa elimu wa kata amesema uchakavu wa shule...
  4. S

    JamiiForums Tanzania CCM rudini shule mkasome Kiswahili. Rais Samia ni mwingi wa tafsida

    Maana ya neno tafsida ni utumiaji wa lugha ya adabu na heshima ili kuondoa ukali/ukakasi wa lugha na kuleta staha. Kundi fulani la wanaCCM limeshangilia sana mama Samia aliposema yeye na JPM ni kitu kimoja. Wanasahau kuwa huyu mama mtu wa Pwani ambako kiswahili ndiyo chimbuko. Angekuwa sawa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa elimu: Watoto wa viongozi wanasoma shule hizi za umma?

    Na Thadei Ole Mushi. Wiki Moja iliyopita kupitia Ukurasa mtandao wa kijamii Facebook ITV iliripoti kuwa huko Geita kwenye shule ya Sekondari Magema ina walimu wawili tu. Habari hii haikupewa kipaumbele Sana kwa kuwa Tanzania tupo selective kwenye habari. Tunapenda Sana Scandal kuliko mambo...
  6. JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari yenye Walimu wawili Mkoani Geita yaililia Serikali

    Shule ya sekondari magema iliyopo halmashauri ya wilaya ya Geita mkoani Geita ina walimu wawili tu hali inayopelekea idadi kubwa ya wanafunzi kushindwa kufundishwa masomo mengine yakiwemo ya sayansi kutokana na uhaba wa walimu. Wakizungumza na kituo cha ITV, wanafunzi katika shule hiyo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde akabidhi madawati 590 kwa Shule za Dodoma Jiji

    MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI MADAWATI 590 KWA SHULE ZA DODOMA JIJI Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde amekabidhi madawati 590 yenye thamani ya Tsh 70,000,000 kwa shule za Msingi Dodoma Jiji ili kukabiliana na upungufu wa madawati uliosababishwa na ongezeko kubwa la usajili wa...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi shule ni mtaji?

    Huwa nakaa nafikiri hivi hii shule tunayosoma na tunaosomesha hivi ina umuhimu saaana? Sipo kuharibu fikra ya mtu ila ngoja niseme yangu na ku-comment chochote ruksa ila sio povu ok. Kiupande wangu, wasomi ni wengi miaka hii halafu miaka ya kukaa shule ni mirefu mno tofauti na nchi za mbele...
  9. JamiiForums Tanzania Maoni na mapendekezo yangu: Sera ya "elimu bila malipo" ipitiwe upya kwa shule za sekondari

    Habari ya muda huu wana janvi! Kama mada inavyo jieleza hapo juu: Kwa upande wangu naweza kulielezea swala la Elimu bure kwa Shule za Sekondari kama utashi wa mtu binafsi na propaganda ilioanzishwa ili kumuwezesha mtu huyo kulifikia lengo lake pasipo kutambuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Swali: Je, wakati huu wa maombolezo, kazi na shule zinafanya kazi kama kawaida?

    Poleni sana Watanzania wenzangu na msiba mzito. Nataka kujuzwa kama kazi za kiserikali, mashule na biashara zitafanya kama kawaida ama ni tofauti ya hapo kutokana na huu msiba wa Rais wetu? Asanteni.
  11. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu na Uhamiaji Tarime mnajua kuhusu hili?

    Wasalaam, Niende kwenye hoja moja kwa moja. Watumishi karibia wote wa shule ya msingi HEAGTON iliyoko sirari hawana vyeti vinavyotambulika? Watumishi 11 kati ya 13 wanadaiwa sio Watanzania na hawana nyaraka za kufanya kazi Tanzania. Je, uhamiaji Tarime mnalijua hilo au hizo ndizo posho zenu...
  12. JamiiForums Tanzania Michango ya ujenzi wa shule sio lazima, wilaya ya Hai Kingereka mnatia aibu

    Kuna watu wanapita kuchangisha fedha sh.5,200 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya kingereka ndani ya wilaya ya Hai sehemu inaitwa kingereka jirani na mlima Kingereka walipopita ni nyumba zilizopo jirani na kanisa la wasabato. Hivi kama sijakosea Waziri wa Elimu si alisema watajenga madarasa? Hawa...
  13. JamiiForums Tanzania Somo la TEHAMA linafundishwa shule za Msingi, kwa nini Sekondari halifundishwi?

    Hapa kuna mkang'anyiko wa Malengo ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Shule za Msingi wanafunzi wanafundishwa somo la TEHAMA. Angalau nadharia wanayotoka nayo huko Msingi ingeliendelezwa pale wanapofika Sekondari lakini ukweli ni kwamba Shule nyingi za Sekondari, hasa za SERIKALI hakuna...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri wenye mantiki na staha: Dreamliner iuzwe, pesa itakayopatikana itumike kujenga shule na madarasa yanayohitajika

    Nchi yetu ina upungufu mkubwa sana wa vyumba vya madarasa na shule. Maana wanafunzi wengi huwa wanakosa masomo sababu ya kukosa madarasa ya kusomea au shule kuwa mbali na maeneo wanayoishi. Kuliko serikali kukopa pesa World Bank na kuzitumia kujenga madarasa na shule. Bora Dreamliner...
  15. JamiiForums Tanzania Shule zakutwa na mabweni kama magofu

    Mkuu wa wilaya ya Kyerwa Rashid Mwaimu, kwa kushirikiana na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Kagera, wamezifungia shule mbili za msingi ambazo ni Kido na Talent kutoa huduma ya bweni, kutokana na majengo yanayotumika kuwalaza wanafunzi kuwa na hali mbaya isiyofaa kutoa huduma hiyo. Shule...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa Shule ya Msingi ya Kikristo iliyopo Goba, Mbezi, Madale, Kunduchi au Mbezi Beach

    Wadau, Kwa unyenyekevu naomba kufahamishwa kwa mtu yeyote anayejua shule yoyote ya msingi ya Kikristo iliyoko katika maeneo ya Goba, Mbezi au Madale, Kunduchi, au Mbezi Beach. Kama unafahamu shule ya namna hii iliyoko eneo lolote jingine Dar es Salaam. Naomba pia kufahamishwa ingawa kipaumbele...
  17. JamiiForums Tanzania Uwekezaji katika shule za awali (chini ya miaka mitano) ni muhimu

    Kuna umuhimu wa kuwekeza zaidi katika elimu ya awali. Wana saikolojia wanasema umri huu ndiyo umri wa ku ‘make or break a child’ yaani mtoto akikosa muongozo, mapenzi na malezi katika umri huu ni rahisi kuharibikiwa kabisa huko mbele. Jamii tunayoishi wakina mama wana mchango mkubwa katika...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Karibu katika shule ya Ushonaji

    💥UNGEPENDA KUJIFUNZA KUSHONA?! HII NI NAFSI YAKO..💥 ⚫JE, umemaliza darasa la saba, form 4 au form 6 umekaa nyumbani bila mwelekeo au umeajiriwa lakini unatamani kujifunza kushona iliupate side hustle ujiongezee kipato? Karibu uweze kujiunga na darasa letu la ushonaji @angelic_threadstz ili...
  19. JamiiForums Tanzania Shule ya msingi kila mwezi tulipe pesa wapewe waalimu wasiokuwa na ajira ni sahihi?

    Wakuu Nina wadogo zangu watatu,nimejikaza niishi nao na niwasomeshe kwa kila hali ingawa sina kitu.lakini shule ya msingi waliyopo wazazi tuliambiwa waalimu ni wachache(sikuwepo kikaoni) Hivyo ikapangwa kila mwezi,kila mzazi alipie Tsh 1000 wameletwa waalimu ambao tuliambiwa hawajaajiriwa wawe...
  20. JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi ya library (Maktaba) kwa shule za Secondary na primary school mpaka chuo?

    Habari Wakuu Mambo vipi? Anatafuta kazi ya library. Amesomea base ya library kwa shule za secondary na primary school mpaka chuo kwa upande wa maktaba, jinsia ni wa kike yupo dar es salaam, namba ya simu ni 0754831451
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…