Tujikumbushe shule ya sekondari Tosamaganga

Tujikumbushe shule ya sekondari Tosamaganga

Wakusolve

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2020
Posts
561
Reaction score
992
Habari kwa wale tulisoma shule hii kongwe ya Tosamaganga mkoani Iringa unakumbuka nini katika kipindi ukisoma, moment mbalimbali kama mpira kule msiwasi, sumu, misuli, makongamano mbalimbali pale shule, walimu mbalimbali.

Asante karibuni kwa maoni
 
Ndugu tafadhali natafuta namba ya simu ya hapo Tosamaganga sec school.

Namba listed kwenye mtandao haitumiki
 
Anayemkumbuka Suzy, yule ticha wa kujitolea Mmarekani anikumbushe jina lake kamili. Itakuwa safi sana.
 
Back
Top Bottom