Nipeni shule ya DSE (Dar es salaam Stock Exchange)

Room 28

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
1,046
Reaction score
1,691
Kwa muda mrefu nimekua nikitamani kua na hisa kwene makampuni tofauti tofauti kama voda,crdb na nmb

sasa nimeona hii DSE,,,,
maswali je kununua na kuuza kupitia DSE ni sawa tu na ningeenda manual kuwekeza crdb?? au n tofauti

Je DSE ukinunua hisa inachukua muda kuonekana kwene acc yako?

Inachukua muda gan hadi hela kufika kwene acc yako?

bloker anaweza akazuia hela yako??

kwanni haina njia ya moja kwa moja kama utt?
Nina siku ya tatu nilinunua vipande 10 kwene crdb na voda havijafika kwene acc yangu ya DSe? n kawaida
 
Nanm nasubir
 
Umechagua kampuni nzuri sokoni. Keep it up! + Subira …….Mbele kweupe
 
Back
Top Bottom