shule

  1. Kamteua Mtoto wake ELIMU ili Shule za Kiislam zifaulishwe , Shule za Wakatoliki zikandamizwe kwenye matokeo !!Dec 9 Wakatoliki msibaki ndani!!.

    For Our Common Good , our Enemy ni Mmoja. Msituachie tu sisi Waumini wa Ufufuo na Uzima , nawaomba Tarehe 9 Kila Mmoja ajitokeze, Anguko la Watesi wenu ndio Uhai wetu sisi !!. Dec 9 asibakie MTU nyumban.
  2. Jiulize shule ya msingi uliyosoma ina hali gani?

    Habari Tanzania ! Leo nimewaza sana. Inakuwaje Shule ya Msingi uliyosoma wewe mazingira uliyoyaacha mpaka leo yapo hivyo hivyo na mengine yameharibika kwa nini? Inauma sana. Karibu
  3. K

    Mtag rafiki yako alikuwa anaandika "AKUMBUKWE"kwenye Kuta za Shule

    Kuna Mwanangu alikuwa anaitwa maro, alikuwa baada ya kuangusha divi chooni🤣 anachukua kijiti anaandika ukuta ndani ya choo na nje, machata unakuta mengi mengi ya Wana wa shule, Ukiiingia toilet 🚽 mara mzigo huo uko pembeni ya shimo harafu mzito unasema huyu ni mtoto au mtu mzima noma sana🤣😂
  4. Je, kuna shida yoyote kuanza kujifunza Taaluma na Ujuzi ngazi ya Shule ya Msingi

    Habari Tanzania ! Naomba kuuliza wale wataalamu wa Sera, Mipango na Uchumi. Je, hakuna athari yoyote Mtoto akianza kujifunza Taaluma fulani kuanzia ngazi ya Shule ya Msingi; mfano Udaktari, Ukandarasi, Ufanyabiashara, Udereva, Uhasibu, nk na masomo baada ya Mtoto kujua kusoma na kuandika ...
  5. Kama ulitumia hili Daftari shule ya msingi anza kuandika wosia

    GT. Lazima umri umeenda mda wowote malaika watakuita ukafurahi nao.
  6. Namna shule za sasa zinavyoiua elimu yetu. Zimekaa kitapeli sana

    Wakuu I salute you kinsmen.. Ukiachana na kwamba na mimi nasomesha pia ila pia nimekuwa nikifuatilia sana jambo hili linapoelekea naona sio pazuri kabisa nchi itaanguka. Well Hizi shule za sasa hasa hizi za mabasi ya njano tunazomesha watoto wetu ni za kitapeli sana nowdays.. 1: kwanini...
  7. R

    Askofu Ruwai'chi chukua tahadhali

    Sitashangaa ukute Task Force inapanga kumteka Askofu Yuda Tadei Ruwa'ichi kwa sababu amezungumzia kuhusu utekaji. Adui unayemuweza, usiamuachie Mungu 2910. By Vicensia Shule
  8. Naomba kufahamishwa ni shule gani za primary za kiislam zilizopo maeneo ya kigamboni zinazofanya vizuri

    Habari wana Jamii. Naomba kufahamishwa ni shule gani za primary za kiislam zilizopo maeneo ya kigamboni zinazofanya vizuri. Asante
  9. GE2025 Uyole: Dkt. Tulia awaahidi wananchi kuwajengea shule ya kata Mwasanga

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole Kupitia Ccm Dkt Tulia Ackson ameahidi kuendelea Kuwezesha wananchi kiuchumi pamoja na kujenga Shule katika kata ya Mwansanga jimboni humo Akiwa katika Mwendelezo wa Kampeni zake, wananchi wa kata ya Mwansanga walimueleza kuwa wanahitaji Kupata shule ambayo...
  10. CRDB mnapata wapi kiburi hiki? Hebu tupeni pesa zetu wakulima wa Kyerwa tupeleke watoto shule

    CRDB hii bank imejaa uozo mwingi, Leo sitasema yote Wakulima wa Kyerwa huwa tunalipa na Chama cha ushirika (KDCU) kupitia benki ya CRDB, tuliuza kahawa katika mnada tarehe 30 na pesa ikawekwa kwenye account zetu CRDB, Ajabu tukifika benk wafanyakazi wanasema mtandao hamna tusubiri mtandao...
  11. M

    Nataka kufungua shule ya sekondari

    Wadau nipeni ushauri kwenye sector ya elimu, nataka kufungua sekondari vipi biashara katika sector ya elimu hasa sekondari Ikoje. Taratibu zipi zakufuata kufungua sekondari na vigezo Gani vyakuzingatia kudumu kwenye biashara na kupata watoto.
  12. JKT ni Shule ya Uongozi na Uzalendo

    Makala ya Tatu Ndugu zangu, Kila taifa linalodumu na kustawi huwa na shule ya uzalendo, mahali ambapo vijana wake hujifunza siyo tu kupiga risasi au kufanya kazi ya mikono, bali kujifunza hekima ya waasisi. Nilipokuwa JKT niliiona shule hiyo lakini haikuwepo. Niliona ni mahali ambapo kijana wa...
  13. Wale wakongwe, haya magari mliyabatiza majina gani shule uliyosoma?

    Zile shule kongwe kidogo zilikuwa na magari aina ya malori ambayo yalisaidia katika shughuli za shule kama kusomba vyakula, kuni na kusafirisha wanafunzi kwenye matukio. Magari haya yalijizolea umaarufu lakini pia kila shule ilibatiza jina la utani lori.
  14. A

    DOKEZO Usimamizi mitihani halmashauri ya Kwimba; Kwanini walimu wa shule za msingi ndio wanasimamia mitihani katika ngazi zote (sekondari na msingi)

    Mamlaka za usimamizi wa mtihani zifatilie hili Jambo, Kwimba walimu msingi wanasimamia mtihani ngazi zote, na walimu Sekondari wanachukuliwa wachache tu kama danganya toto. Chunguzeni mamlaka husika kuna siri ipi? Kwanini wanaacha utaratibu wa kubadilishana? Yaani walimu secondari wasimamie...
  15. P

    Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo

    Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyojengwa kupitia mradi wa SEQUIP katika Kata ya Udinde Halmashauri ya Wilaya ya Songwe. #KurayakwanzakwaSamia #Haijapatakutokea
  16. P

    Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa.

    Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe. Ujenzi wa nyumba hizo umewezesha walimu kukaa karibu na shuleni hivyo kutumia muda mwingi kufundisha wanafunzi. #kurayakwanzakwasamia #haijapatakutokea
  17. GE2025 Luhende: Tutaweka kompyuta kila shule ili watoto wetu wajifunze

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukene mkoani Tabora kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Luhende, ameahidi kuhakikisha anaboresha sekta muhimu za maendeleo ikiwemo barabara, afya, elimu, kilimo na upatikanaji wa umeme endapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa Mbunge wa jimbo hilo katika uchaguzi...
  18. E

    Ukarabati wa madarasa shule za msingi na sekondari

    Serikali chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya maboresho ya miundombinu ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ambapo hadi sasa kiasi cha shilingi Bilioni 104.5 zimetumika kuboresha shule ya sekondari Kongwe kwapakacha katika mwaka wa fedha wa 2023/2024 katika Ujenzi wa...
  19. VIDEO: MAGAIDI WA KIHOUTHI WAKIWAFUKUZA WANAFUNZI WA KIKE KUTOKA SHULENI KWA MAANA CHINI YA SHARIA HAIPASWI BINTI AENDE SHULE

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…