shule

  1. JamiiForums Tanzania Shule gani ya advance ni nzuri kwa mikoa hii?

    Salaam wakuu, Natumai nyinyi ni wazima wa afya na wale wenye changamoto mbalimbali za kiafya basi Mungu awape ponyo. Niko katika utafiti wa shule gani ya advance ni nzuri kwa michepuo ya sayansi ambayo ni girls school. Mapendeko yangu ni kwa mikoa isiyo ya baridi kali mfano dodoma...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto kugomea shule akiwa kidato cha Nne

    Nipo hapa Dodoma eneo la Kisasa karibu na block F, Block F ni eneo ambalo wanakaa watu wengi wa kipato cha chini. Kuna binti alibahatika kufaulu hadi kufika kidato cha nne2023! Sasa cha ajabu alitoroka na kurudi, lakini hataki tena kuendelea na shule hadi wazazi wake wamempeleka polisi na...
  3. JamiiForums Tanzania Malawi yafunga Shule kukwepa Kimbunga Freddy

    Mamlaka ya elimu nchini Malawi imezifunga shule katika wilaya 10 kutokana na wasiwasi wa usalama baada ya Kimbunga Freddy kusababisha uharibifu katika nchi jirani ya Msumbiji. Kwa mujibu wa BBC, mvua kubwa inayonyesha kusini mwa Malawi imeharibu barabara na kusitisha uzalishaji wa umeme, huku...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Moja ya shule zilizokarabatiwa na kujengewa madarasa na pesa za UVIKO, Tozo na Tril 1.3 za foreign reserves

  5. U

    JamiiForums Tanzania Diamond apewe shule ya kuimba kwa English na Harmonize

    Katika Nchii ya Tanzania linapokuja suala la muziki na wanamuziki wanaweza Kuimba nyimbo Kwa kizungu nadhani harmonize ni mmoja wa wasanii hao, ameweza kutoa hit song nyingi alizoimba kizungu kuliko hata msaniii namba Moja wa Tanzania yaani Diamond Platnums ambaye hajui kabisa kuimba kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mathias Mnyampala: Nguli wa fasihi aliyeanza shule ya msingi akiwa na mke tayari

    Ni ngumu kuzungumzia fasihi ya kiswahili bila kumzungumzia Mathias E. Mnyampala. Mnyampala alizaliwa mwaka 1917 huko Dodoma akiwa ni Mgogo. Baba yake alikuwa ni mfua chuma na alimiliki ng'ombe wengi ambao Mathias ndiye alikuwa mchungaji. Mwaka 1931. Akiwa kama na miaka 14-15 aliozwa mke...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Zaytun Swai Aahidi Kutatua Changamoto ya Ujenzi wa Bweni Shule ya Sekondari Mkonoo

    ZAYTUN SWAI AAHIDI KUTATUA CHANGAMOTO YA BWENI SHULE YA SEKONDARI YA MKONOO Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Arusha Zaytun Swai, katika wiki ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa tarehe 08 Machi, 2023 alitembelea Shule ya Sekondari Mkonoo Kata ya Terat Arusha jiji na...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku nyimbo za ovyo kwenye magari ya shule

    Wizara ya Elimu imepiga marufuku kuwekwa kwa miziki, nyimbo ama picha za video zinazokwenda kinyume na maadili, mila, desturi na tamaduni katika mabasi yanayotumika kusafirisha watoto kuwapeleka shule, badala yake ziwekwe nyimbo au video zenye kujenga maadili na uzalendo kwa wanafunzi. Kauli...
  9. JamiiForums Tanzania Martha Gwau awafunda Wakinamama na Mabinti wa Shule Siku ya Wanawake Duniani

    MBUNGE MHE. MARTHA GWAU AWAFUNDA WAKINAMAMA NA MABINTI WA SHULE SIKU YA WANAWAKE DUNIANI Mhe. Martha Gwau, Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Singida alikuwa ni miongoni mwa viongozi waliofika shule ya Sekondari Ilongero kuzungumza na kusikiliza midahalo miwili ya mabinti wa shule pamoja mdahalo wa...
  10. JamiiForums Tanzania Marufuku ya Bweni Shule za Msingi, Serikali imekurupuka

    Serikali imepiga marufuku kwa shule zinazotoa huduma yela bweni kusitisha kwa watoto wa shule za swali mpaka darasa la nne. Shule zemeelekezwa kufanya hivyo baada ya kumalizika muhula wa kwanza mwaka huu. Ukiangakia ni kwamba huu ni uamuzi ambao umekee sikiasa na kihisia zaidi. Moja kati ya...
  11. JamiiForums Tanzania BAWACHA wamchongea kwa Rais mkurugenzi aliyewatimua wasipande miti

    Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) Mkoa wa Kilimanjaro na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa, Grace Kiwelu ameeleza mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan namna viongozi wa baraza hilo la wanawake walivyodhalilishwa na kukataliwa kuotesha miche ya matunda katika Shule ya Sekondari...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Kama lugha ya kufundishia sekondari na Chuo Kikuu ni Kiingereza basi na shule zote za msingi iwe Kiingereza

    Shule ya msingi kwa lugha nyIngine tungeiita Foundation school.Tunaweka msingi kweli. Kama lugha ya kufundishia sekondari ni Kiingereza sioni sababu kwa nini lugha ya kufundishia shule ya msingi isiwe Kiingereza. Watoto wanaotoka kwenye shule ambazo siyo mchepuo wa Kiingereza ( English...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Msishangilie Sakata la Feitoto bali litumieni kama shule; waajili wengi hawapendi maendeleo ya wafanyakazi

    Elimu haina mwisho! Kila jambo halitokei pasipo sababu! Ili kuweka misingi ya kisheria ya makubaliano yoyote huwa kuna mkataba! Iko aina mbali mbali ya makubaliano! Kuna ile ya kimaandishi na ile ya kimaneno! (Recorded contract) Lakini pamoja na mambo yote mkataba huwa siyo msaafu wala...
  14. JamiiForums Tanzania Binti aandika barua kuacha shule, auza sare na madaftari

    Mzee Salum Bakari amesikitishwa na kitendo cha binti yake kuandika barua ya kuacha shule na kuuza sare zake kisha kutoroka nyumbani. Akizungumza na Mwananchi nyumbani kwake amesema kuwa siku ya tukio aliitwa shuleni na Mkuu wa shule ambayo anasoma binti ake kidato cha kwanza. “Kwanza alianza...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Bahati Ndingo achangia ujenzi wa Shule ya Sekondari Chimala

    Mbunge wa Umoja wa Wazazi Taifa CCM - Mbeya Mhe. Bahati Keneth Ndingo kwa kushirikiana na Haji Manara ambaye alisoma Shule ya Wazazi Chimala Secondary iliyopo Wilayani Mbarali Mkoani Mbeya pamoja na Wadau mbalimbali wa Mbarali Mkoani Mbeya wamefanikisha harambee ya ukarabati wa madarasa na...
  16. JamiiForums Tanzania Contact ya shule ya Nyiwa iliyoko Dar

    Habari, mwenye namba za simu za shule ya Nyiwa naomba tafadhali
  17. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwanafunzi wa Shule ya Msingi afariki Dunia kwa kujinyonga, yadaiwa chanzo ni kukaripiwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amesema Februari 27, 2023 majira ya saa 02:00 usiku katika Mtaa wa Mwafute uliopo Kata ya Ilemi, Tarafa ya Sisimba, Jijini Mbeya, Mwanafunzi wa darasa la VI katika Shule ya Msingi Lyoto aitwaye IBRAHIM EDSON [12] alikutwa akiwa amefariki baada...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanafunzi wengi wenye uwezo mkubwa darasani huwa watundu na wasumbufu?

    Mara nyingi sana katika safari yangu ya elimu, walimu wamekuwa na tabia ya kusema kwamba uwezo wa mwanafunzi darasani lazima awe anawahi namba, hapigi kelele, awe mara hivi mara vile lakini unakuta wale vipanga wanaokuwa na uwezo (sio wa kariri) na maanisha wale waliokua wanaweza kusolve kila...
  19. JamiiForums Tanzania Watoto wa shule wanapata shida sana, kuwe na maazimio ya kitaifa

    Baada ya kusikia watoto waliofariki kwa kuzama mtoni, nikakumbuka takwimu zinazoonesha idadi ya watoto wanaovuka maji kufika shule, idadi ya watoto wanaovuka maeneo yenye wanyama hatarishi kufika shule. Serikali inajua kuhusu hilo, kwa kuwa takwimu hizi nazitoa kwao. Basi nikaingia niangalie...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya watoto wa shule kufariki wakivuka ndio Serikali ya CCM inafikiria kujenga daraja

    Mabilioni ya pesa za umma mnatafuna. Mnajenga madarasa hewa kwa tril 1.3 Watoto wanafariki wakivuka mto kwa mtumbwi kwenda shule. Mnakula pesa. Hamjali maisha ya wananchi mpaka wafe. ======== Serikali kujenga daraja mto uliouwa wanafunzi Kigoma Kigoma. Wakati miili ya wanafunzi wawili kati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…