samalema89
New Member
- May 9, 2025
- 2
- 1
Kwanini lugha ya kiingereza ni tatizo kwa Watanzania na wanafunzi wengi wa Tanzania hususan wa shule za kata
Kwahiyo? Kama ugali unalika ni cha nini?Kingereza ndio lunga namba moja duniani ndio mana hapa tanzania imepewa hadhi kuanzia sekondary mpaka vyuo vikuu kufundishia?Kiswahili ndio ni lugha yetu lakini bado kinatumika maeneo machache sana kama kenya,uganda na tanzania na baazi ya nchi chache za afrika mashariki.
Wakijue ili iweje? Kiswahili hakina power nje ya mipaka ya nchiKwani waingereza wao wanajua kiswahili vizuri?
NAKAZIA..Kiswahili kwanza
Actualy wachina wanajua, maybe si kiufasaha lakini wanajua.umewahi kuona mchina anajua kiingereza
acha fikra potofu
Huo tunauita ukoloni mambo leo.Wakijue ili iweje? Kiswahili hakina power nje ya mipaka ya nchi
Kingereza ndio bussiness language , almost kila kitu viwandan juna ligha ya kiingereza, mitaa ya elimu, uchumi , rearch nying zimeandikwa kwa kingereza
Sio ukoloni mambo leo, ni reality.Huo tunauita ukoloni mambo leo.