shuhuda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BIG BROTHER ALEX

    Maajabu ya Mungu yalivo muumbua daktari

    Rafiki yangu yani best man, tulikua mkoa flani, hivi kusini MWA bongo, JAMAA qlikuwaga na DEMU wake HUKO KANDA ya ZIWA, akanitonya kuwa DEMU wake kamaliza CHUO HIVO kaona amlete HAPO mkoa tulipo, akae NAE, mana ashatoa mahali kwao na anafahamika, basi demu kweli kaja wakaanza maisha jamaa yuko...
  2. M

    Tume inayojichunguza itasaidia nini kuliponya taifa? Ushuhuda uliotolewa unaonyesha watu waliuliwa na nguvu kubwa ilitumika.

    Mfano mzuri ni ushahidi wa yule bibi wa Magomeni kota ambae alilazwa na maiti bahati nzuri akazinduka na akapatiwa matibabu Mungu akamsaidia akapona. Kwa ujumla nguvu kubwa ilitumika kulinda watawala wabaki madarakani. Mpaka sasa Tume inayojichunguza itasaidia nini kuliponya taifa?
  3. The Burning Spear

    GE2025 Uzi maalumu: Shuhuda mbalimbali uchakachuzi wa kura kutoka kwa Mwakala wa Uchaguzi

    GT Kinachoendelea ni maajabu ndugu zangu hakuna mtu kapiga kura nina shuhuda zifuatazo. 1. Dar tabata mawakala wamekimbia vituo.sa4 asubuhi hakukuwa na uchaguzi 2 Singida kituo kimoja waliojiandikisha 1000 waliopiga kura 50 wamepewa maelekezo wajaze 800. 3. Meatu huko kituo kimoja...
  4. Mr Why

    Hongera sana NMB Bank kwa kuthamini utu, hakika ninyi ni bank bora kila Mtanzania ni shuhuda wa maneno haya, mnasifika kwa kuepuka dhuluma

    Hongera sana NMB Bank kwa kuthamini utu, hakika ninyi ni bank bora kila Mtanzania ni shuhuda wa maneno haya, mnasifika kwa kuepuka dhuluma kwa wateja wenu Mnaonesha uaminifu wa hali ya juu na taarifa zote za miamala kwa wateja wenu ni za wazi na zenye maelezo yanayojitosheleza Tangu mtoe...
  5. Royal Son

    Kuna shuhuda nyingine zinatia ukakasi. Angalia hii

    KAMA PICHA INVYOJIELEZA
  6. youngkato

    SHUHUDA: Alipataje $1000 Upwork?

    SHUHUDA: Alipataje $1000 Upwork? Ni kijana wa kawaida kabisa. Hakuwahi kufanya kazi yoyote online. Alinitafuta akaniambia: mimi sina ujuzi wowote, na sijui nianzie wapi.” Nikamuambia: “Sawa, usijali, kila mtu huanzia sifuri. Nitakuongoza hatua kwa hatua.” Sasa nataka nikueleze hatua zote...
  7. youngkato

    JINSI YA KUTUMIA SHUHUDA ZA WATEJA (SOCIAL PROOF) ILI KUVUTA WATEJA WENGINE ZAIDI

    JINSI YA KUTUMIA SHUHUDA ZA WATEJA (SOCIAL PROOF) ILI KUVUTA WATEJA WENGINE ZAIDI Zinagtia ya 8 Watu hawaamini tu kuwaambia unachofanya Wanaamini ushuhuda kutoka kwa watu uliofanya nao kazi, waliokwishatumia huduma bidhaa zako Shuhuda ni muhimu sana kwenye kutafuta wateja 1. Weka Shuhuda...
  8. Imani rubaba

    Shuhuda ya Mzee Sharif Kwezi: Mfugaji wa Ng'ombe Anayetengeneza Zaidi ya Laki 3 kila Siku na Milioni 9 Kila Mwezi! 🐄💰

    Mzee Sharif Kwezi kutoka Mwanza ni mmoja wa wafugaji wa ng'ombe wa maziwa walionufaika na mafunzo bora kutoka kwetu. Kwa sasa, anafuga ng'ombe 10 na hukamua mara 3 kwa siku, akipata takribani lita 214 za maziwa. Kwa bei ya 1,500 TZS kwa lita, anaingiza 321,000 TZS kila siku—zaidi ya milioni 9...
  9. Meneja Wa Makampuni

    Shuhuda anashuhudia jinsi ilivyokua chini ya kifusi baada ya ghorofa kuporomoka Kariakoo

  10. kengele maziwa

    Umeshawahi kupitia situation gani ukasema hii ni habari njema ya kusikitisha?

    Weekend ndio hivyo imeshafika wandugu wa jukwaa hili habari zenu nyote. kama tittle inavyosema umeshawahi kukutana na situation gani ukasema hii ni HABARI NJEMA YA KUSIKITISHA . Miaka flani muda kidogo nilishawahi kuwa na mpenzi ambaye akapata mimba japo sikuihitajia kwa kipindi kile...
  11. GENTAMYCINE

    Shuhuda: Tiketi za Yanga ( Wananchi Day ) ziligawiwa bure kuanzia Agha Khan, Mbagala walipofungua Tawi na kwenye Supu ziligawiwa bure kupitia Matawi

    Nendeni Mtandao wa Facebook wa Kapesah Sports Update mkamsikie mwana Yanga SC asiye Mnafiki alivyofunguka.
  12. Melki Wamatukio

    Mliowahi kutongozwa na wanawake njooni mtoe shuhuda

    Za siku nyingi familia yangu, familia ya MMU. Niliwakumbuka sana kwa kweli. Nilipotea kutokana na majukumu mazito ya kifamilia, lakini kwa sasa u-busy umepungua kwa namna moja ama nyingine Nisiwe msemaji sana, kuna ile situation ya baadhi ya wanaume kutongozwa na watoto wa kike. Kusema kweli...
  13. mwaibile

    Kwani Mahubiri bila shuhuda kwani hayawezikani?

    Natumaini wote tuko pao kabisa kwa uwezo wa Mungu Hivi kuna ulazima gani kwa hawa ndugu zetu wanao jiita Wachungaji sijui waubili sijui mitume maana naona kama ushuhuda mwingi umejaa uwongo sana na watu kuingizana mkenge. Maana naongea haya nimeyashuhudia hapa ninapo kaa kuna mzee mmoja...
  14. kevin strootman

    Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

    Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliyekuwa akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowassa Sio kwa ngumi hii aisee halafu huyu aliyepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisa.
  15. GoldDhahabu

    Shuhuda za utajiri utokanao na kilimo Tanzania

    Kuna matajiri wakubwa Tanzania ambao utajiri wao waliupatia kwenye kilimo. Kuna ambao ni wakulima matajiri wanaoendelea na kilimo mpaka sasa. Na kuna matajiri walioamua kuingia kwenye kilimo baada ya kugundua kuwa kilimo kinalipa kuliko biashara zao za awali. Na, kwa mujibu wa huu uzi, kilimo...
  16. A

    DOKEZO Uchunguzi: 'Makanisa ya Kiroho' na shuhuda FEKI kuwahadaa Watanzania - 2

    Andiko hili ni mwendelezo wa kilichoandikwa katika Makala iliyopita ambayo ilielezea yanayofanyika nyuma ya pazia kwenye nyumba za ibada hasa katika makanisa maarufu kwa jina la 'Makanisa ya Kisasa' Nchini Tanzania. Zaidi andiko lilielezea mbinu na shuhuda za uongo (feki/za mchongo)...
  17. A

    DOKEZO Uchunguzi: 'Makanisa ya Kiroho' na shuhuda FEKI kuwahadaa watanzania

    Wakati ongezeko la nyumba za ibada maarufu 'Makanisa ya Kisasa' likizidi kushika kasi Nchini Tanzania, kuna baadhi ya makanisa hayo yanatumia shuhuda za uongo (feki/za mchongo), kujizolea maelfu ya waumini kisha kujipatia fedha kwa mgongo wa sadaka. Uchunguzi ulioufanywa na kikundi cha...
  18. Surya

    Shuhuda au Mikasa ya kimaisha katika kumtumikia shetani

    Ukiweza jaribu kufanya tafiti wewe mwenyewe alafu uchague njia ya kwenda. Dunia kwa sasa imekua kijiji, hasa kwa hii technology ya mawasiliano. Katika mitandao ya kijamii kwa sasa utakutana na watu wanafundisha kuroga kabisa, kutumia majini na mafundisho ya ibada za kimiungu. Mchaguzi wewe...
  19. GENTAMYCINE

    Mwamposa huyu mtoa shuhuda wako anayejifanya ni Mkongo amekosea Script ya uongo na maelekezo yako ya Kitapeli?

    Kaanza kwanza Kujitambulisha kuwa Yeye ni Mkongo ( kutoka DRC ) kisha akaanza Kuzungumza kwa Lafudhi Feki ya Kikongo baadae akajisahau akarejea katika Lafudhi yake ya Asili ya Wanawake wa Kiuswahilini wa Temeke Mtongani. Mwamposa Mimi GENTAMYCINE nimekaa na kuishi na Wakongo na labda tu...
  20. T

    Wale mliofungiwa NIDA zenu (Blacklist) na TCRA kusajili line mpya njooni hapa mtoe shuhuda zenu na jinsi mlivyopata solution

    Mimi ni kiongozi wa timu za usajili wa line mpya. Hivi karibuni kumetokea wimbi la wateja wengi wanaotaka kusajili line mpya na vitambulisho havijajaa lakini wanaambiwa (nin blacklisted). Je wewe ni mmoja wao? Na je ulitumia njia gani kuondoa tatizo hilo? Karibu utuelezee ili na wengine wenye...
Back
Top Bottom