Shuhuda au Mikasa ya kimaisha katika kumtumikia shetani

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,378
12,573
Ukiweza jaribu kufanya tafiti wewe mwenyewe alafu uchague njia ya kwenda.
Dunia kwa sasa imekua kijiji, hasa kwa hii technology ya mawasiliano.
Katika mitandao ya kijamii kwa sasa utakutana na watu wanafundisha kuroga kabisa, kutumia majini na mafundisho ya ibada za kimiungu.

Mchaguzi wewe ufate maovu au ufate mema. Mungu anayehukumu anaona kila kitu.

Agenda.
Ukisikiliza shuhuda au mikasa ya watu wengi waliopitia maisha ya kumwaga damu za watu, waliokwenda kuzimu, waliofanya maagano ya kishetani, walikuwa waganga, na hata waenda kwa waganga, utagundua mwisho kabisa baada ya kuacha mambo hayo alimua Kumpokea Yesu na kulitegemea jina la Yesu.

Kwa akili ya kibinadamu mtu anayetoa simulizi ya maisha yake kwa zaidi ya masaa 6 ni ngumu sana kudanganya.
Na ukisema utoe story ya kutunga ya maisha yako kusudi Kutetea upande fulani ni rahis sana watu kugundua.

Mfano mzuri nimesikiliza Ushuhuda wa Prophet IPM
huyu jamaa alikuwa muislamu tena muislamu anayeijua dini yake vizuri sana.
Lakini alikuja kuama na anasimulia kwanini kaachana na uislamu. Na kwasasa anamtumikia Yesu.

Ukikuta mtu anasema nimeamua kuwa Muislamu utakuta hawezi kujieleza sababu za msingi kwanini ameama kubadili dini.

Shuhuda nilizosikiliza ni nyingi sana na zimebeba siri nyingi sana.
Quran kutumika kwenye ushirikina,
Majini ya kwenda kufanya uharibifu kuvutwa kwa visomo vya quran.
Na simulizi zote zipo kama ukitaka kusikiliza nakujifunza.

Knowledge come by hearing or study.

Yote tisa kumi maisha ni kuchagua mema au mauvu starehe au kusaidia wasionacho.
 
Kwani vipi kiongozi mbona umezunguka mbali hivyo tupe darasa au kuna uliyo yapitia?🤔
 
Ulikua unazunguka weee kumbe ulichomaanisha ndo apo,uyo ipm asipo uponda uislam atawapataje wajinga
 
Ukiweza jaribu kufanya tafiti wewe mwenyewe alafu uchague njia ya kwenda.
Dunia kwa sasa imekua kijiji, hasa kwa hii technology ya mawasiliano.
Katika mitandao ya kijamii kwa sasa utakutana na watu wanafundisha kuroga kabisa, kutumia majini na mafundisho ya ibada za kimiungu.

Mchaguzi wewe ufate maovu au ifate mema Mungu anayehukumu anaona kila kitu.

Agenda.
Ukisikiliza shuhuda au mikasa ya watu wengi waliopitia maisha ya kumwaga damu za watu, waliokwenda kuzimu, waliofanya maagano ya kishetani, walikuwa waganga, na hata waenda kwa waganga, utagundua mwisho kabisa baada ya kuacha mambo hayo alimua Kumpokea Yesu na kulitegemea jina la Yesu.

Kwa akili ya kibinadamu mtu anayetoa simulizi ya maisha yake kwa zaidi ya masaa 6 ni ngumu sana kudanganya.
Na ukisema utoe story ya kutunga ya maisha yako kusudi Kutetea upande fulani ni rahis sana watu kugundua.

Mfano mzuri nimesikiliza Ushuhuda wa Prophet IPM
huyu jamaa alikuwa muislamu tena muislamu anayeijua dini yake vizuri sana.
Lakini alikuja kuama na anasimulia kwanini kaachana na uislamu. Na kwasasa anamtumikia Yesu.

Ukikuta mtu anasema nimeamua kuwa Muislamu utakuta hawezi kujieleza sababu za msingi kwanini ameama kubadili dini.

Shuhuda nilizosikiliza ni nyingi sana na zimebeba siri nyingi sana.
Quran kutumika kwenye ushirikina,
Majini ya kwenda kufanya uharibifu kuvutwa kwa visomo vya quran.
Na simulizi zote zipo kama ukitaka kusikiliza nakujifunza.

Knowledge come by hearing or study.

Yote tisa kumi maisha ni kuchagua mema au mauvu starehe au kusaidia wasionacho.
Tutapataje audio yake huyo IPM
 
Duuuh! Kazi kwelili sasa labda nikuambie hii din na uchawi vitu viwili tofaut sana. Uislamu haukuja kufundisha uchawi
 
Back
Top Bottom