shughuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete, kama hamtaki Dini Kuchanganywa na Siasa mbona CCM na Serikali mnawatumia Kimaombi katika Shughuli zenu?

    GENTAMYCINE sijawahi kuona Shughuli yoyote ile ya Kiserikali na hata ya Chama Tawala CCM ambayo huwa haiwatumii Viongozi wa Dini Kimaombi / Dua. Leo hii namshangaa kumuona Mtu ambaye aliharibu kwa kiasi Kikubwa Misingi imara ya nchi (Rais Mstaafu Kikwete) kwa tabia yake ile ile ya Unafiki...
  2. JamiiForums Tanzania Shughuli ikiandaliwa na wanawake inafana Sana.

    Hakika shughuli yao imejaa Sana kutokana na wingi wao hata takwimu za sensa zinathibitisha hilo kuwa wapo wengi kutuzidi. Pia bei ya vijora ni nafuu kuliko bei ya suti😅 Alisikika mwana Yanga mmoja kwenye kibanda umiza.. NB: sote ni wanawake Mungu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga Wenzangu kwanini tunaumia Shughuli ya Simba kuwa MC's wengi? Sisi tulizuiwa kuwa nao wa Kuwazidi?

    Mimi ni mwana Yanga SC nikitokea hapa Kwetu Kisiwani Pemba ( Zanzibar ) ila Nikiri tu kuwa kwa Maandalizi ya Matamasha na Mvuto Simba SC wametuzidi mbali na tunatakiwa Kujifunza badala ya Kuwashangaa kwa mambo ambayo hata Sisi tulikuwa tunaweza Kuyafanya na Kuwazidi pia. Happy Simba Day leo kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini hackers wanavaa Mask na Kofia wakiwa katika shughuli zao?

    Hello I.T fans.. naomba kupewa majibu mujarab. Naona wengi mnaovunja mifumo ya computer huwa mnavaa Hizo nyenzo (mask, gloves, kofia za mzula) hivi sababu ni zipi hasa? Halafu bado wengine mnakamatwa😅😅😅😂😂
  5. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wasitisha shughuli zake nchini Niger

    Uamuzi huo unakuja saa 24 baada kikundi cha Wanajeshi kumuondoa Rais Mohamed Bazoum kwa kile kilichoelezwa kuwa ameshindwa kusimamia Uchumi wa Nchi pamoja na hali mbaya ya Usalama. Pia, Katibu Mkuu wa UN, Antonio Guterres amelisihi Jeshi limwachie huru na bila masharti, Rais Bazoum ambaye...
  6. JamiiForums Tanzania Kiuchumi kukaa kwa ndugu ni mzigo anaaona aibu kukwambia uutue. Mageto ya elf 10 hayapo kwa bahati mbaya. Tafuta shughuli yoyote halali ujitegemee

    Haihusiani na kwenda kumjulia ndugu hali kwa wiki moja ama mbili, haihusiani na kukaa kwa ndugu ukienda mkoa wake kikazi. Walengwa ni watu wazima miaka 24+ wenye kuweza kufanya shughuli yoyote halali. INAVURUGA BAJETI - Ndugu yako kapanga nyumba anaanza kujibana ajenge kwake ila wewe unaenda...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna umri ukifika kukaa kwa ndugu mwenye familia si uungwana hata kama ni kaka au dada, mpishe tafuta shughuli uende kwako!

    Kuna umri unafika kwenda kwa ndugu iwe ni kwajili ya kumjulia hali unarudi kwako, umeenda mkoa wake kikazi kakuhost ukae kwake ukimaliza unarudi kwako, unaumwa kakupeleka kwake akuuguze ukipona tafta shughuli nenda kwako Ndugu yako kashaanza maisha ya familia ni vema umpishe, Haya ni mambo...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Tathimini ya taratibu za uendeshaji wa shughuli za biashara nchini Tanzania

    Habari! Ndugu wana JamiiForums, ni matumaini yangu kuwa sote tu bukheri wa afya. Leo hii ninapenda kuwashirikisha katika uzi huu unaoangazia tathimini yenye madhumuni ya kuibua njia madhubuti ambazo zinaweza kuchochea matokeo chanya katika shughuli mbalimbali za biashara kwa maendeleo ya taifa...
  9. JamiiForums Tanzania Mfahamu 'Kamchape' mkamata wachawi na shughuli zake kwa ujumla kutokea hapa Mkoani Kigoma

    Kamchape ni mganga wa jadi hupatikana Africa hasa nchini DRC Congo na wengine wao hupatikana hapa mkoani Kigoma. Katika makala hii nitakujulisha kunako tasnia hii ya Uganga na nguvu za giza kutokea hapa Kigoma, nitakusafirisha na kukujuza kinagaubaga ili uweze kutambua Kamchape ni na nani? wapi...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Namshauri Ummy Mwalimu Waziri wa Afya kutengua Kauli ya kuruhusu Clinic binafsi katika hospitali za umma

    Ndugu zangu watanzania, Muda mfupi nimetoka kumsikiliza Waziri wa Afya mh Ummy mwalimu kiongozi mchapa kazi na ambaye siku zote na wakati wote amefanya kazi kubwa Sana na ya kutukuka katika kila Wizara aliyopelekwa na kuaminiwa . Kauli ya Waziri inatoa ruhusa kwa madaktari kuwa na private...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Bunge la Amerika lilivyomzuia Rais wao kuridhia DP World kuendesha shughuli za bandari zao

    Mwaka 2006 DP World ya Dubai ilinunua kandarasi ya kuendesha shughuli za Bandari sita za Marekani. Wabunge wa chama tawala na upinzani kwa pamoja waliopinga DPW kupewa kazi hiyo. Wananchi nao walipinga 3:1 katika kura za maoni. Bunge likapitisha muswada wa Sheria kuzuia kampuni za kigeni...
  12. JamiiForums Tanzania Huu ndio muda unaotumia kwa shughuli mbalimbali katika maisha yako yote

    Kulala: miaka 26 Kazi: miaka 12 Kuangalia TV: miaka 8.8 Ununuzi: miaka 8.5 Kula na kunywa: miaka 3.6 Kuvinjari mtandaoni: miaka 3.2 Mitandao ya kijamii: miaka 3 Mikutano: miaka 2 Utayarishaji: miaka 1.5 Kusafiri: miaka 1.5 Kufanya kazi za nyumbani: miaka 1.25 Mazoezi: miaka 1.2 Katika baa na...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania tumekopa kwa shughuli binafsi zaidi kuliko kwa ajili ya biashara na kilimo

  14. M

    JamiiForums Tanzania Meja Jenerali wa Kirusi auawa huko Ukraine

    Meja General wa Kirusi kauawa huko Zaporizhzhia baada ya sehemu alipokuwa kupigwa Mzinga. =========== Russian media reported on Monday that a Ukrainian missile strike on the southern Zaporizhzhia front killed an experienced Russian general. “As a result of an enemy missile attack, the Chief...
  15. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu (TPA): Mkataba hauna miaka 100, muda bado haujaamuliwa. Tumemchagua DP World kwakuwa tuna uhakika tutakwenda kutatua changamoto zetu

    Plasduce Mkeli Mbossa, Mkurugenzi Mkuu TPA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mkeli Mbossa akiwa katika Clubhouse ya Msemaji Mkuu wa Serikali Juni 7, 2023. Ametoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali kuhusu Mkataba wa Bandari ambao umezua mijadala mingi. Akioa...
  16. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Rorya watakiwa kushiriki shughuli za maendeleo baada ya Rais Samia kutoa Tsh Milioni 540

    Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Juma Chikoka amewataka wananchi wa vijiji vya Mkengwa na Kibuyi kushiriki katika shughuli za maendeleo kutokana na Serikali kutoa kiasi cha shilingi milioni 540 kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Msingi katika Kijiji cha Mkengwa. Juma Chikoka, DC Rorya amesema...
  17. JamiiForums Tanzania Wanasimba wenzangu naomba niwapongeze kwa shughuli kubwa tuliyoifanya hapo jana

    Sisi ndiyo Simba, ile kauli ya nguvu moja huwa ina balaaa usiombe ukutane nayo. Makelele yalikuwa mengi sana hapa mjini, oohhhh kombe kombe, kibaya zaidi wakatutukania kocha wetu. 😡 Nyie Yanga mkae mkijua shughuli haijaisha tunapanda ndege na nyie tunaenda kuwazika huko ngeledeki.🤫
  18. JamiiForums Tanzania Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini shughuli ndio imeishia hapa kwa Yanga

    Mtu yoyote anayesema bingwa keshapatikana naamini bado haujui mpira vizuri, ninaamini bado hajauona ubora wa Yanga. Zipo dakika 90 nyingine za kutetea hiki kilichotokea jana uwanja wa Mkapa. Njoo nikejeli, nitukane ila Jumamosi utakuja kusema nilitabiri. Naandika hivi nikifahamu vyema home...
  19. JamiiForums Tanzania Njoo kwetu ukodishe magari ya harusi msiba, study tour, sherehe na bata mbalimbali

    Ukurasa huu ni maalumu kwa ajili ya magari ya kukodisha ya aina mbalimbali kadri yanavyotufikia kwenye ofisi yetu ya ubungo Kwasasa huduma zetu za kiofisi zinapatikana Dar es salaam Dodoma Mwanza Arusha Kilimanjaro Mbeya Uliza maswali yako yanayohusu magari ya kukodisha,trips,gharama,ushauri wa...
  20. JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuacha kujichua

    Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "Nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakini siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia. Nakirusha tu shwaaa, dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee please, hali ni mbaya. ======== Ushauri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…