Hawa jamaa nimependa wanavyopiga show kwenye miaka 30 ya Bongo flavor
Hawana mbwembwe nyingi zisizo za maana, pia sauti Yao haijamezwa na beat, sauti Yao sio kavu, na wala hawafuatishi CD,
Best performance show ya Dar na ya Mwanza, labda hawazungungumziwi sana sababu nyimbo zao sio popular...