Hiyo ni contempt of courtCourt imeshatoa Summons kwa hao miamba vipi wasipotokea??? Mahakama ita issue warrant of arrest? Vitu vingine vinafikirisha sana.
Kangaroo CourtCourt imeshatoa Summons kwa hao miamba vipi wasipotokea??? Mahakama ita issue warrant of arrest? Vitu vingine vinafikirisha sana.
Itathibitisha nchi haina utawala wa sheria na mahakama haziko huru. Ni mbaya sana kama wakifanya hivyo. Bora waende wakazuge kimtindo. And I think wataenda.Court imeshatoa Summons kwa hao miamba vipi wasipotokea??? Mahakama ita issue warrant of arrest? Vitu vingine vinafikirisha sana.
Kwa mahakama zetu sifahamu adhabu itakuwa ni ipi labda wajuvi waeleze.So warrant of arrest itakua issued ku compel appearance?
Watakuwa compelledCourt imeshatoa Summons kwa hao miamba vipi wasipotokea??? Mahakama ita issue warrant of arrest? Vitu vingine vinafikirisha sana.
Tanzania hii...?? Hakuna kituuWatakuwa compelled
ITakuwa hivyo then watagoma kutoea ndipo dci atafanya the usual, hamna mpango wa kuendelea na kesiTanzania hii...?? Hakuna kituu
Kimsingi Jamhuri itakuwa haina nia ya kuendelea na shauri ili IGP na wenzie wasije kuyumbishwa wakaivua nguo nchiKwa mahakama zetu sifahamu adhabu itakuwa ni ipi labda wajuvi waeleze.
Ila kikawaida ni faini kubwa au jela au adhabu zingine kali.
Peter Madeleka alikumbwa na hii.
Court imeshatoa Summons kwa hao miamba vipi wasipotokea??? Mahakama ita issue warrant of arrest? Vitu vingine vinafikirisha sana.
Kwani Nchimbi ameshikiliwa mahali?Mkuu sheria ni tamu sana, Kama wa Tanzania tunatakiwa kupigania uhuru wa mahakama kwa nguvu zoote.
Itakua nzuri kwa watawala na watawaliwa, Mfano saivi kungekua na uhuru wa mahakama ndugu wa Nchim.. wangefungua kesi kumuamuru aachiwe huru.
Lini Madeleka alikumbwa nayo ?Kwa mahakama zetu sifahamu adhabu itakuwa ni ipi labda wajuvi waeleze.
Ila kikawaida ni faini kubwa au jela au adhabu zingine kali.
Peter Madeleka alikumbwa na hii.
Nadhani ni mwezi ulopita alikamatwa na polisi kwa amri ya mahakama.Lini Madeleka alikumbwa nayo ?
Simu Moja Toka Juu ChaliKangaroo Court