and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,215
- 39,693
Zile showroom uchwara jijini zimeficha magari yao zile open space zote leo zipo wazi kama uwanja wa mpira. Tuolinde amani kwa wivu mkubwa.
Mtu anayeweza kukuchezea akili na kukukimbiza kindumbwrndumbwe nchi nzima kama mwanasesere wa Joyce wowowo,utamuitaje hana akili/busara?😛😛😛😛😛😛😛ChADEMA hamna busara
Nawaonea huruma tu wale askari na hii mvua iliyomiminika, sijui walijificha wapi!Nyie upinzani uchwara hembu leteni hoja positive, hii kiki ya maandamano imeshafeli
Nimeona wamejibana kwenye Hard Top pickup haina hata turubai masikini!Nawaonea huruma tu wale askari na hii mvua iliyomiminika, sijui walijificha wapi!
Hapo wanaloana chepe chepe sasa jichanganye uone hasira zao za kuloana watavyozimalizia kwako . Kimtindo inachekesha ila sio poa.Nimeona wamejibana kwenye Hard Top pickup haina hata turubai masikini!
Zile showroom uchwara jijini zimeficha magari yao zile open space zote leo zipo wazi kama uwanja wa mpira. Tuolinde amani kwa wivu mkubwa.
Leo Bado haijaisha .Tarehe 8 hatutanii tutachoma moto chochote tutakachokiona njian
Hahahaaa maisha yanabadilika sanaLeo Bado haijaisha .
Yaani😂,kama nawaona hao polisi wanavyosonya😂Hahahaaa maisha yanabadilika sana
Yaan leo hii genz ndo wanaamua leo watu walale kesho watu wafanye kazi
Duh