show

A talk show (or chat show in British English) is a television programming or radio programming genre structured around the act of spontaneous conversation. A talk show is distinguished from other television programs by certain common attributes. In a talk show, one person (or group of people or guests) discusses various topics put forth by a talk show host. This discussion can be in the form of an interview or a simple conversation about important social, political or religious issues and events. The personality of the host shapes the tone of the show, which also defines the "trademark" of the show. A common feature or unwritten rule of talk shows is to be based on "fresh talk", which is talk that is spontaneous or has the appearance of spontaneity.The history of the talk show spans back from the 1950s to the present.Talk shows can also have several different subgenres, which all have unique material and can air at different times of the day via different avenues.

View More On Wikipedia.org
  1. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Ukiwasikiliza Kina Maulid Kitenge kwenye hii Morning Show ya Wasafi Utaelewa kwanini wananchi wana hulka ya Mazombie

    Kipindi Cha Asubuhi, Mazungumzo ya Maudhi: Tunalelewa na Vyombo vya Habari au Tunadhalilishwa? Je, tumewahi kukaa chini kama taifa na kujiuliza: tunapata nini tunapowasha redio zetu asubuhi? Ni maarifa, ni uelewa, ni mwelekeo wa kujenga taifa au ni mzaha, upuuzi na mazoea ya kihuni...
  2. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

    Video inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka. Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja lalamika kuwa jamaa wa huko ni wajeuri hawataki kuimbishwa. Wanasikika wakisema wanamtaka mke wa P.Diddy...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wasanii wanaamini Live show bila kelele wala fujo haiwezekani?

    Nimehudhuria baadhi ya matamasha na LIVE SHOWS za Wasanii wetu. Ila sikuwahi kufurahia tamasha hizo kutokana na kelele zisizo na mpangilio kutoka kwa wasanii wenyewe. Mara , Kushoto Kulia, mko wapi? mara Ruka juu!, mara mnataka niendelee au niwaachie? Yote haya yanaonekana kuwa ni sehemu ya...
  4. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Kama We ni Real Physics OG – Hebu Show Up na Usolve Hii Beast Problem ya Form Six. Only for Genius Heads!

    Umeshawahi kukutana na swali linakudhalilisha hadi unajiuliza kama ulisoma au ulilizwa? Basi leo nakuletea beast yenyewe, yenye kuhitaji hesabu za ukweli, concept za deep physics, na akili ya kutopea – sio tu kuwa good class, lazima uwe street smart na physics sharp! Sasa naomba majibu ya hilo...
  5. kali linux

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona directors makatili kama walioandaa TV Show ya GANGS OF LONDON

    Itoshe kusema hawa jamaa ni makatili sana, uuaji na ukatili unaofanyika mule ni ngumu kuufikiria tu kwa imagination unless uwe umewahi kuuona live kwenye uhalisia au umewahi kuwa muhanga wa vita. Anyway, ndo naanza season 3 hapa. flixbaba.net
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hussein Machozi: Nilitaka nimpige risasi Ruge, show nililipwa milioni 12 akanipa milioni 1 tu

    Msaani wa kitambo wa Bongo Flava anayejulikana kwa jina la Hussein Machozi ambaye kwa sasa anaishi nchini Italy anasema mwaka 2015 almanusura 'ampige chuma' aliyekuwa boss wa THT Ruge Mutahaba Machozi alisema hivyo alipokuwa akihojiwa na kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio Machozi...
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Updates: Shangai Auto Show 2025 | 23 April - 2 May 2025

    Uko Shangai, kuanzia tarehe 23 April hadi May 2, kuna maonesho ya magari yanayoitwa Shangai International Automobile Industry Exhibition. Maonesho haya yanatokea kila baada ya miaka 2, ya mwisho yakiwa ni 2023.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanangu aende kuitikisa Talent Show tutayohudhuria wazazi, Aimbe wimbo gani wa kiingereza Hiphop usio na matusi tuanze mazoezi ?

    Nina mtoto wa kiume yupo darasa la 6, Nimepewa barua kuna Talent show itafanyika shule zitapofungwa mwezi wa sita, Shule imetuasa wazazi tuwasaidie watoto kushiriki. Kitu anachokiweza zaidi ni kuimba Nimejaribu kumpa mkwaju wa kihenga kama I know i can - Nas, kabaki kunishangaa na akaniuliza...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Nature doesn't always show us its tender side, it can also be raw and shocking.

  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sometimes telling you plans isn't a good idea. Instead show them your results.

    Jifunzeni sana yani watu waone matokeo sio maneno yanaweza kuwa mazuri ila kwao yakawa vibaya.
  11. 888I

    JamiiForums Tanzania Kipindi Cha Nijuze Radio Show at Orkonerei Fm Radio

    Tumewasikiliza vijana wa Mirerani kuhusu huduma rafiki za afya ya uzazi, na tumepata maoni ya wanakijiji wa Naisinyai kuhusu ushiriki wa watu wenye ulemavu kwenye uongozi na mikutano ya maamuzi. Kupitia kipindi cha #Nijuze, sauti zao zimepata nafasi ya kusikika na viongozi wametoa ahadi ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Ghana Shatta Wale agomea show kwa $200,000 baada ya kugundua Diamond kalipwa $600,000 (Tsh Bilioni 1.5) na Davido $500,000 (Tsh Bilioni 1.3)

    Tumezoea kusikia wasanii wa nchi kama Kenya wakilalamika wasanii wa nje kulipwa zaidi yao lakini hawaiachi pesa iende, Huko Ghana hali imekuwa tofauti, bilionea aliita wasanii watoe burudani kwenye Birthday yake, msanii maarufu wa Ghana alipogundua wasanii wa nje wamelipwa zaidi yake alirudisha...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: urembo wa sebuleni.. Tv show case za mbao

  14. F

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta kijana mdogo anafanya uwekezaji wa kibabe bila makelele wala show offs

  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ulifanyaje baada ya kukutana na show mbovu?

    Ulichukua hatua gani? Nini kilifanyika hata ukaona, kwamba hiyo show ni mbovu na hujwahi kukutana nayo tangu uyajue mapenzi? Muafaka ulikuaje sasa baada ya show hiyo mbovu na ya kiwango cha chini sana ya kimapenzi? nani alikua kikwazo na mzigo kwenye show hiyo mbovu kati yenu? :NoGodNo...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kuna haja na sisi kuwa na Halftime show kwenye Kariakoo Derby?

    Kuna weza kuwa na faida iwapo tutakuwa na halftime show ya muziki kwenye Kariakoo Derby kama ambavyo US wanayo kwenye superbowl?
  17. Archnemesis 2-0

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kama hujawahi kutamkiwa haya katikati/baada ya show jua kiwango chako bado

    Mambo vp wakuu, Kutokana na nyuzi nyingi nazosoma humu ndugu zangu wengi wanapitia mazito kwenye mahusiano yao, swala la kukaa ndani nyumba moja bila kusemeshana, au mwanamke kuchepuka au kususiwa unyumba imekua too much.. inasikitisha sana. Kwa kweli hali za mahusiano ni mbaya sana, sio...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hongereni tamthilia ya Jua Kali. Mmewekeza zaidi katika uhalisia na uelewedi na sio makalio na show off.

  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tv show cases series

    Hizi ni picha za mtandaoni.. Hivyo si lazima uagize nje kwa gharama kubwa ama uingie dukani Ukipata vipimo sahihi kulingana na ukubwa wako na ukawapata mafundi mahiri basi unaweza kupendezesha sebule yako kea gharama nafuu sana
  20. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Paradise inaweza kuwa moja ya show yenye pilot episode kali zaidi

    Achana na trailer, synopsis ama kitu chochote. Tafuta means ya kustream hii kitu ama kudownload kupitia torrents. Utakuja kukubali.
Back
Top Bottom