shida

Hikaru Shida (志田 光, Shida Hikaru, born June 11, 1988) is a Japanese professional wrestler, martial artist, actress, and model, currently signed to All Elite Wrestling (AEW), where she is a former and the longest-reigning AEW Women's World Champion. On February 25, 2021, she became the longest reigning overall champion in AEW history, breaking the previous record of 277 days set by former AEW World Champion Jon Moxley.She also works for the Makai company, and makes appearances for the Oz Academy and Pro Wrestling Wave promotions.
She started her professional wrestling career in 2008, when she joined the Ice Ribbon promotion, after taking part in a film titled Three Count, set in the world of professional wrestling. She remained with the promotion until 2014, becoming a one-time ICE×60 Champion and four-time International Ribbon Tag Team Champion. Outside of Ice Ribbon, Shida has held the Wave Single Championship, the Oz Academy Tag Team Championship and the Sendai Girls World Tag Team Championship.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sina shida na Ubingwa wetu wa Ngao ya Jamii ila kwenye suala la Kipa mmetuangusha!

    Tuliaminishwa Kipa Jefferson Luis ni bonge la Kipa mara ghafla akalazimishwa ajifanye kaumia ili aachwe na achukue hela yake ya bure ya Tsh. 150 milioni na wapigaji wachukue Tsh. 250 milioni na ikaishia hapo. Simba Day tukatambulishwa Kipa Abel ambaye alishafungwa na Simba SC goli 6 au 7...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hakuna atakayeuza Tanzania. Sitaki Shida nataka Watanzania Waishi Maisha mazuri

    Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na baadhi ya Wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) pamoja na Chama cha Wanasheria Zanzibar (ZLS) Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Akizungumza katika mkutano huo Rais Samia amekumbusha juu ya wajibu wa TLS...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt. Nchimbi ametenguliwa ubalozi Brazili Disemba 2021, kwanini habari zitolewe rasmi Agosti 2023? Ipo shida serikalini?

    Hili Jambo la Nchimbi kutenguliwa Ubalozi ni la siku nyingi. Kuanza yupo nchini tangu December 2021. Hizi habari za kuachishwa ubalozi kwani zimeibuka upya tena Jana? Je mwanzo walimwona tishu au hafai na Sasa anafaa na taarifa kutolewa rasmi ili kumpa jukumu muhimu?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi wapate shida ya mafuta lakini viongozi husika wanazidi kuneemeka

    Wananchi wanapata tabu kubwa kwenye suala la mafuta lakini familia za kina Makamba, Tulia na mumewe Bosi wa Ewura ziendelee kuneemeka huku Watanzania wakiteseka kwenye nchi yao. Nimeona huko Kiteto mafuta lita Tsh. 5,000 wao wanaona sawa tu. Ili mradi waendelee kubaki kwenye nafasi zao. Nchi...
  5. Mdeke_Pileme

    JamiiForums Tanzania Shida hapa itakuwa nini kwenye app ya NMB Mkononi

    Habari wana jukwa!!! Leo nnimepakua app ya NMB Mkononi kwenye simu yangu ya Android, Lakini kila nikijaribu kujisajili naletewa maneno haya kwenye screen.. Je, Shida itakua nini hapo? Nimeamua kuyaandika haya maneno kwa sababu nimeshindwa kupiga screen shot, app yao imeblock kupiga screenshot...
  6. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Vijiji vingi vya uchagani vilishatatua zamani matatizo yanayosumbua vijiji vingi hadi nchini. Shida ni nini kwa vijiji vingine?

    Maji Umeme Shule, Madarasa, Madawati Hospitali Barabara n.k. Hivi ni vitu ambavyo hadi leo hii vijiji vingi sana bado wanakwama. Ajabu ni kwamba uchagani hivi vitu tangu 70, 80's huko walishafika stage nzuri, shule zipo nyingi sana, madarasa yanakarabatiwa, wanafunzi hawakai chini wala...
  7. Nkaburu

    JamiiForums Tanzania Wakili wa Serikali Mayunge: IGA Kama ilikuwa na shida sisi tunaona ipo proper

    Huyo ndiye Wakili wa Serikali ambaye ni miongoni mwa wale wanaoshindwa na Kesi za Masuluhisho nje. Yaani Dunia nzima ione kuna kasoro, halafu yeye ndiye anayeiona ni "Proper"?
  8. machiaveli

    JamiiForums Tanzania Kamari imekua zaidi ya cocaine!

    Habari zenu wakuu!!? Binafsi Mimi kama Mimi hii michezo ya kubahatisha sijawahi jaribu tangu mtoto! Zamani kipindi Niko nyokaa chuga huku nilikuwaga napewa tu shilingi 50 nikachenchi,nikiwaletea makachala chenchi wananipa Lile li shilingi Tano kubwa nanua ngubiti Wao wanaendelea na kamari...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Shida ya Mwafrika ni kwamba kwenye vikao vyetu tunajadili akili za wapinzani wetu na siyo kujadili hoja

    Umaskini wa mwafrika uko kwenye kushindwa kutumia siasa katika kuamua mambo yetu.si kila kitu utatumia siasa.kwa mfano ukitumia siasa hovyo kwa mambo ya afya ujue utaua wengi. Kosa letu zinpokuja hoja, tunaacha kujadili hoja badala yake tunajadili akili za wapinzani wetu. Kwamba yule mpinzani...
  10. C

    JamiiForums Tanzania NMB mna shida gani kwenye huduma zenu kupitia mawakala?

    NMB huduma za kibenki kupitia kwa mawakala imekuwa ni changamoto. Unaweza kwenda kwa mawakala hata 5 mfululizo, kila mtu atakuambia mara huduma hamna, mashine hamna etc. Sijui shida ipo kwa nani. Yaani kama una shida ya haraka na hela yako lazima ukione cha moto, ukiachilia mbali ATM...
  11. The Boss

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa hivi Wana shida gani?

    Siku hizi kuna wajasiriamali Wengi Sana WA vyakula sehemu mbalimbali. Ukiingia online karibu kila kitongoji kina wapishi mbalimbali wanapika kuanzia pilau,Biriani n.k. Na wengine wanakuwa maarufu Sana. Sasa basi kuna aina ya wanawake usiombe umpeleke sehemu muende Kula chakula Kwenye...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Shida ilivyonichochea kuwa mlafi wa kuisoma Biblia

    Shida haina adabu! Huo ni usemi ambao nilizoea kuusikia kwa wakubwa nilipokuwa mdogo. Lakini baada ya kuwa mtu mzima, nimebaini kuwa japo shida si nzuri, lakini wakati mwingine huweza kukusababisha kukutana na mambo mazuri. Miaka mingi imeshapita, lakini ningali nikikumbuka jinsi changamoto...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DAWASA Kinyerezi mna shida gani?

    Kabla ya malipo niliwauliza inachukuwa muda gani kuunganishiwa maji wakajibu siku 7 hadi 21 za kazi sasa baada ya malipo imepita miezi miwili sasa nikiwapigia wanadai vifaa hakuna hadi nafikiria wanatengeneza mazingira ya rushwa maana sio sawa hii.
  14. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Nina shida ya millioni 30, naombeni mbinu ya kuzipata

    Nataka ninunue vipande UTT au niweke fixed account Ili nipate "mshahara" wa Kila mwezi kupitia gawio la mwezi. Nikipata 500k kwenye gawio Kwa mwezi itatatosha maana tayari nina njia zingine za kuniingizia mia mbili mia tatu. Nataka nikafanye mambo mengine huku nikiwa na sure na cashflow kwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ukiwasikiliza hawa watu kila mtu ana hoja ya msingi sana, shida huwa hatukubali kukubaliana katika kutofautiana

    Binadamu anapozaliwa huwa kakusudiwa aishi miaka mingi hata buku lakini harakati zake za maisha ndiyo huanza kuipunguza hiyo miaka taratibu au kwa mpigo! Anyway! Tuachane na hilo turudi kwenye hoja ya hawa watu! 1. Wanandoa: Ukiwasikiliza wanandoa kwa makini vile wanazungumza umhimu wa ndoa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nadhani kuhusu issue ya DP WORLD shida kubwa iko kwenye hizi 35% za wazawa

    Leo 14/7/2023 katika mkutano wa Wahariri na Viongozi wa wizara mbali na kuambiwa mikataba itakayo fuata ya kibiashara itakuwa ni SIRI iki maanisha kuna uwezekano tusije jua Ukomo wala Mapato baada ya hii IGA ,shida kubwa nliyoiona ni hii 35% hisa wazawa . Ni kwamba katika mikataba ya kibiashara...
  17. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa bandari hauna shida kabisa

    Kwa yanayoendelea kuhusu uwekezaji wa bandari maoni yangu ni kwamba wasiwasi ndio akili lakini ndugu zangu Watanzania hakuna jambo baya linalofanyika au litakalofanyika. Huu uwekezaji hauna shida kwani utakuwa na faida kadha wa kadha kwa nchi na sisi wananchi kwa ujumla. Tutambue kwamba...
  18. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mtakaochangia mchango wa kufungua kesi hela zenu hazina kazi na kichwani kidogo kuna shida

    Hivi hao mawakili wameshindwa kweli kujichanga ndio wafungue kesi? Walifungua kesi wakitegemea pesa za watz? Na serikali mliwapaje kibari cha kutuchangisha uhuu ninupumbavu wafutiwe kibari cha kuchangisha Watz siku zote wanawaza kuwapiga watu uhuu ninupumbavu uhu upepo utaenda na pesa za watu...
  19. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania Paypal Tanzania kuna shida gani?

    Wakuu salamu, Nimejaribu kununua bidhaa Ebay kwa kutumia Paypal nashindwa kabisa kulipia. Inaleta kitu kama hiki chini. Lakini siwezi kuproceed na Payment. Any idea kwa mtu aliyefanya manunuzi recently na Paypal?
  20. T

    JamiiForums Tanzania Je Television ya ITV wanajua watazamaji tunawapata kwa shida

    Idara ya matangazo ya ITV hawana budi kufuwatilia kwa umakini kwanini wakati wa taarifa ya Habari au matangazo muhimu channel yao inakuwa inakatika katika tunakuwa hatuwapati live je ni hujuma ndani kwa ndani au tatizo la mitambo yao. Nawasilisha
Back
Top Bottom