Kamari imekua zaidi ya cocaine!

machiaveli

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
1,883
3,937
Habari zenu wakuu!!?

Binafsi Mimi kama Mimi hii michezo ya kubahatisha sijawahi jaribu tangu mtoto! Zamani kipindi Niko nyokaa chuga huku nilikuwaga napewa tu shilingi 50 nikachenchi,nikiwaletea makachala chenchi wananipa Lile li shilingi Tano kubwa nanua ngubiti

Wao wanaendelea na kamari zao,ngumi zilikua zinapigwa kinyama,Kuna chalii pale mianzi alipigwa kisu ya shingo damu ziliruka kama unachinja mbuzi!

Ilikua ndio mara ya kwanza kuona mtu anakufa mpaka kidole Cha mwisho I was only 9

Tuachane na hayo!!

Iko hivi siku hizi kumeshamiri kamari Kila Kona mpaka serikali inajichukulia Kodi

Yaani machalii yamesoma yana nguvu nikukaa kuanzia asubuhi mpaka jioni kubahatisha yaani mpaka wazee!!
Mi kwa Sasa Niko hapa soko la kilombero wamama wanauza nyanya wakipata mia mbili mbili wanadumbukiza kwenye zile mashine za kichina!

Mi sielewi
 
Mnaona sifa hizo lugha zenu za kishenzi mngejua mnavyotia kinyaa!
 
Gubiti ,new generation won't understand I
 
Nilikua na mtazamo km wako Ila siku niliyoshinda 1,000,000 kwenye kizibo cha bia ya Serengeti nilibadiri mtazamo
Wewe ndiye chambo wa kuvuta wenzako, wanafanya hivyo makusudi ili uwe inspiration ya ku-hook samaki wengi zaidi mtegoni
 
Habari zenu wakuu!!?

Binafsi Mimi kama Mimi hii michezo ya kubahatisha sijawahi jaribu tangu mtoto! Zamani kipindi Niko nyokaa chuga huku nilikuwaga napewa tu shilingi 50 nikachenchi,nikiwaletea makachala chenchi wananipa Lile li shilingi Tano kubwa nanua ngubiti

Wao wanaendelea na kamari zao,ngumi zilikua zinapigwa kinyama,Kuna chalii pale mianzi alipigwa kisu ya shingo damu ziliruka kama unachinja mbuzi!

Ilikua ndio mara ya kwanza kuona mtu anakufa mpaka kidole Cha mwisho I was only 9

Tuachane na hayo!!

Iko hivi siku hizi kumeshamiri kamari Kila Kona mpaka serikali inajichukulia Kodi

Yaani machalii yamesoma yana nguvu nikukaa kuanzia asubuhi mpaka jioni kubahatisha yaani mpaka wazee!!
Mi kwa Sasa Niko hapa soko la kilombero wamama wanauza nyanya wakipata mia mbili mbili wanadumbukiza kwenye zile mashine za kichina!

Mi sielewi
Achana na Hilo mashine mkuu

Huku mtaani tunaliita Dubwi sio poa yaani vijana wa Boda hawapeleki hesabu wamama nao linawapelekesha hadi kodi ya meza Dubwi anakwala sio poa
 
Alooooooooo.
vijana wa sasa huwaambii kitu kuhusu betting.
 
Sijawahi kucheza kamari tangu nizaliwe.Ila zitakuwa zinalipa ,la sivyo wangekuwa hawachezi.
 
Habari zenu wakuu!!?

Binafsi Mimi kama Mimi hii michezo ya kubahatisha sijawahi jaribu tangu mtoto! Zamani kipindi Niko nyokaa chuga huku nilikuwaga napewa tu shilingi 50 nikachenchi,nikiwaletea makachala chenchi wananipa Lile li shilingi Tano kubwa nanua ngubiti

Wao wanaendelea na kamari zao,ngumi zilikua zinapigwa kinyama,Kuna chalii pale mianzi alipigwa kisu ya shingo damu ziliruka kama unachinja mbuzi!

Ilikua ndio mara ya kwanza kuona mtu anakufa mpaka kidole Cha mwisho I was only 9

Tuachane na hayo!!

Iko hivi siku hizi kumeshamiri kamari Kila Kona mpaka serikali inajichukulia Kodi

Yaani machalii yamesoma yana nguvu nikukaa kuanzia asubuhi mpaka jioni kubahatisha yaani mpaka wazee!!
Mi kwa Sasa Niko hapa soko la kilombero wamama wanauza nyanya wakipata mia mbili mbili wanadumbukiza kwenye zile mashine za kichina!

Mi sielewi
Achana nao fanya mambo yako mkuu....
 
Back
Top Bottom