sheria

  1. JamiiForums Tanzania Tabora: Serikali yamsaka muuguzi aliyebaka mgonjwa

    Wizara ya Afya inafuatilia sakata la muuguzi anayedaiwa kumbaka msichana mgonjwa na kisha kukimbia kusikojulikana. Akizungumza na watumishi wa hospitali ya wilaya ya Igunga na viongozi wa sekta ya afya mkoa wa Tabora, Naibu katibu mkuu (Tamisemi-Afya), Dk Dorothy Gwajima alisema lengo ni kuona...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali kupeleka bungeni muswada wa Sheria juu ya chama cha siasa kujitoa kwenye uchaguzi

    Hizi tetesi juu ya vyama/chama cha siasa kitakachojiondoa Kwenye uchaguzi automatically kitakuwa kimejifuta moja Kwa moja kuwa chama halali cha siasa. Baadhi ya wapambe ambao wanajifanya wanaijuwa Sana Sheria wamepekeka proposal Kwa jiwe huku wakimpa na vifungu vya kuongezea(Sheria ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ajira za utotoni: Sheria inawalindaje watoto katika hili?

    Habari za muda wakuu. Katika pita pita zangu nimekutana na hii Sheria, kuna baadhi ya vitu najiuliza. Naomba muongozo kutoka kwa ndugu zetu wataalamu wa sheria. “Kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini ya Kazi, 2004, mtoto chini ya miaka 14 hapaswi kuajiriwa. Mtoto mwenye umri wa...
  5. JamiiForums Tanzania Je shida ni wale tuliowapa mamlaka ya kuenforce na kusimamia sheria zetu kutojitambua au shida ni sisi wadanganyika?

    Wana jamvi, Tangu awamu ya tano iingie madarakani, kumekuwa na malalamiko mengi ya wafanyakazi kuondolewa kwenye nafasi zao kinyume cha sheria na wengine kuteuliwa kushika nafasi mbalimbali kinyume cha sheria na taratibu pia. Mambo haya kwa wengine inaonekana ni sawa tu. Sasa swali langu ni...
  6. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Novemba 4, 2019 kuanzia majira ya saa tatu na nusu (3:30) asubuhi atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni Wanaoapishwa ni pamoja na; 1. Charles Edward Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi! Mbaya zaidi, hawatoi ufafanuzi wa matumizi ya neno SHALL kwa mujibu wa sheria zetu! Nimelazimika...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania ina sheria basi Mume wa Zamaradi atafungwa miaka mitatu, ila pesa na kujuana ni zaidi ya sheria

    Ndio, kila mtanzania anajua mume wa zamaradi anapaswa kwenda jela, na pia kila mtu anajua kuwa hatoenda jela na ataachiwa, na kila mtanzania anajua ni kwanini hatoenda jela, hii ndio tanzania mtu anabaka ushaidi upo ila hafungwi, huku uingereza ninapoishi sasa huwezi kukuta mambo hizo. Asante...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri: JKT kwa Mujibu wa sheria ifutwe, badala yake vijana wapelekwe VETA miezi 3 au 6

    Habari zenu wanajukwaa? Ngoja nijikite kwenye lengo la uzi. Naishauri Serikali sasa wabadili mwelekeo katika kuelekea Serikali ya viwanda. Vijana wanaomaliza kidato cha sita wapelekwe VETA kwa miezi 3 ili wakapate mafunzo ya awali (basic) ya ufundi mbalimbali. Kwa kufanya hivi itasaidia...
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu hapa sheria inasemaje? Nani yuko sahihi?

    Jamaa alikuwa na shamba pori. Serikali ikalitifaisha kwa sababu ya kutoendelezwa muda mrefu. Wakauziwa wengine kama viwanja na wana hati za serikali za mitaa. Miaka mingi imepita, jamaa kaibuka anadai kashinda kesi na wanunuzi wote ni wavamizi. Kwa Harakaharaka nani yuko sahihi. Mwenye shamba...
  11. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar ataka sheria ziandikwe kwa lugha ya Kiswahili ili wananchi wajue haki zao

    NA RAJAB MKASABA, IKULU RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameitaka Jumuiya ya Majaji na Mahakimu ya Nchi za Afrika Mashariki (EAMJA) kuhakikisha sheria zinatafsiriwa kutoka lugha ya Kiingereza kwenda lugha ya Kiswahili. Alisema hatua hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Tuzungumze suala la kumuongezea Rais muda au sheria?

    Na Elius Ndabila ewndabila@yahoo.com Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na hoja ambayo imeshikiwa bango na baadhi ya Watanzania wakiomba Mh RAIS Dkt John Magufuli aongezewe muda wa kuliongoza taifa hili. Hoja hii mwanzo ilianza kama utani na Mh Juma Nkamia Mbunge wa Chemba. Ninaweza kusema...
  13. JamiiForums Tanzania Tuwe na sheria itakayowazuia wenye mamlaka kushabikia mambo ya kishirikina

    Siku chache zilizopita niliwahi kuja na uzi humu kumlaumu Waziri wa habari, ambaye pia ni Dokta pale alipojaribu kumsifia hadharani Mama Mshirikina/Mchawi. Niaminivyo mimi Mtu yeyote anayeogopa, kukubali au kusifia vitendo vya kishirikina naye pia ni mshirikina. Hakuna maana yoyote Mtu kujiita...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kweli tuidai Serikali maji, au tudai sheria ya kuhifadhi vyanzo vya maji?

    Bunge litunge sheria kali ya kutunza mazingira. Baada ya sheria kali ya money laundering ambayo haina dhamana, basi ninatamani Bunge lije na sheria kali ya mazingira. Ninadhani bado sheria ya mazingira tuliyonayo haijakidhi haja au imeshindwa kusimamiwa. Udhaifu wa usimamizi au ubutu wa sheria...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Sheria za kazi: Kufanya kazi kampuni ya nje ukiwa Tanzania

    Sijajua kama kuna sheria na utaratibu wa kufanya kazi kwenye kampuni ambayo haipo Tanzania lakini wamekuajiri na kukulipa. Kwa teknologia ya siku hizi unaweza kufanya kazi ukiwa popote duniani kwa kutumia software za siku hizi na internet. Sasa je unalipaje kodi? Ni kodi zipi hizo? Na ni...
  16. JamiiForums Tanzania Umri wa kuolewa hupangwa na Mungu, siyo sheria

    Sheria inaweza kumlazimisha mwanamke kusoma lakini siyo kuzaa. Kuolewa ni jambo moja na kuzaa ni jambo lingine la Kimungu. Damu ya hedhi ndicho kipimo na taarifa ya Kimungu kuwa msichana amekua na yuko tayari kuzaa kwa kuolewa au kwa kutokuolewa. Hata mama na bibi zetu walizaa kwa njia hizo za...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Itungwe sheria ya kufuatilia na kudhibiti mapato na matumizi katika Nyumba za Ibada

    Wotu tunafahamu kuwa serikali haina dini ila ni serikali hii hii inayosimamia uanzishwaji wa makanisa na misikiti na hata kuyasajili. Binafsi naona wakati umefika serikali isiishie katika kuyasajali tu makanisa haya bali tuwe na sheria itakayoruhusu serikali kupitia chombo/maafisa maalumu...
  18. JamiiForums Tanzania Kuwe na somo la katiba na sheria za nchi kuanzia kidato cha kwanza hadi chuo kikuu

    Wakuu mimi nashauri tui"shape" vizuri vizazi vijavyo vya JMT kwa kuwafundisha katiba na sheria za nchi na umuhimu wake. Hii itawasaidia watoto kuelewa vizuri hata wakiwa watu wazima, mithali inatufundisha hivyo. (A) Itawasaidia watoto wetu kuelewa: 1.wakati wa kusema mambo fulani yahusuyo...
  19. JamiiForums Tanzania Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

    Spika Ndugai ameipongeza Serikali kwa kazi nzuri na Muswada umepita kwa kura za Ndiyo ====== BAADHI YA NUKUU (KUTOKA UPINZANI) Kambi ya rasmi ya upinzani bungeni imekosoa muswada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa wa mwaka 2018 ikisema ni uonevu mkubwa dhidi ya vyama hivyo...
  20. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 2018

    Kwanini tunajali kuhusu marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa? 1: Marekebisho yanampa Msajili mamlaka kubwa isiyo na mipaka. Kimsingi, marekebisho yanayopendekezwa hayatoi fursa ya ushindani huru kwenye jukwaa la kisiasa. Msajili anateuliwa na Rais, ambaye ni mwenyekiA wa chama kimoja cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…