sheria

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ni kama sheria ya Mbunge kuhama chama na Ubunge wake imeshabarikiwa na bunge mfano Mwambe na Silinde!

    Cecil Mwambe na David Silinde kwa sasa ni wabunge wa CCM japokuwa Wananchi waliwachagua kupitia Chadema. Kadhalika Joseph Selasini na Anthony Komu kwa sasa ni wabunge wa NCCR Mageuzi japokuwa Wananchi waliwachagua kupitia Chadema Na Wilfred Lwakatare na Sabrina Sungura kwa sasa ni wabunge wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika Mashariki yatupilia mbali pingamizi la Serikali juu ya sheria ya habari iliyofunguliwa na watetezi wa habari

    #HABARI Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Serikali, baada ya ushindi wa kesi ya kupinga baadhi ya vifungu vilivyoonekena kuwa kandamizi katika sheria ya huduma za vyombo vya habari ya mwaka 2016./ Serikali yabwagwa kesi sheria huduma vyombo vya habari ====...
  3. JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya CHADEMA kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria mbalimbali namba 3 wa Mwaka 2020

    https://www.jamiiforums.com/attachments/mapendekezo_kuhusu_muswada_wa_sheria_ya_marekebisho_ya_sheria_mbalimbali-pdf.1471889/?hash=8c5c56399efd75722553347ad36a681e
  4. JamiiForums Tanzania Bunge tengueni sheria ya mitandao taifa lisiadhirike na wasiojulikana!!!

    Za mida tena wakuu! Kuna sheria ya mitandao ilitungwa kwa pupa na Bunge letu hili ili kutuziba midomo tusiripoti taarifa za kuikosoa serikali ya mtakatifu!mfalme!asiekosea! Malaika!mungu wa tz! Rais wa milele na mzalendo wa kule Chato! Sasa kwa kuwa maji hayazuiliki kwa mikono wala huwezi...
  5. JamiiForums Tanzania Marekebisho ya sheria: inaenda kuuwa dhana watu wote kuwa sawa mbele ya sheria. Jaji akikuhukumu ndivyo sivyo anakuwa na kinga huna cha kumfanya

    MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA NAMBA 3(2020): UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI WA UMMA Watumishi wa Mahakama na Viongozi wa juu wa nchi wanapopewa kinga dhidi ya mashtaka hata kwa makosa ya uvunjifu wa #Katiba, wanapewa mwanya wa kukiuka viapo vyao vya kuilinda Katiba. Hii inatengeneza tabaka la...
  6. JamiiForums Tanzania Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

    Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
  7. JamiiForums Tanzania Bunge linalotegemewa kupitisha Sheria za Nchi lasema limebaini dosari kwenye upitishaji wa sheria ya kumiliki laini zaidi ya 1

    BUNGE limebaini dosari katika utungaji wa sheria ndogo nchini, ikiwamo sheria inayoweka zuio kwa Mwananchi kuwa na laini ya simu zaidi ya moja Akiwasilisha bungeni jijini hapa jana, taarifa ya Kamati ya Sheria Ndogo kuhusu uchambuzi wa sheria ndogo zilizowasilishwa katika mikutano ya 18 na 19...
  8. JamiiForums Tanzania Ligi kuu Uingereza: Sheria moya zaruhusu timu kubadilisha wachezaji 5 katika mechi ili kulinda afya za wachezaji

    Timu zinazoshiriki ligi kuu ya Uingereza, sasa zitakuwa na uwezo wa kufanya mabadiliko ya wachezaji watano, badala ya watatu kama ilivyozoeleka katika mechi, mabadiliko ambayo yataenda hadi mwishoni mwa msimu, baada ya vilabu kuidhinisha sheria hizi mpya. Katika sheria hizi mpya, timu pia...
  9. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria: Rais, Makamu wake, Jaji Mkuu, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge kutofunguliwa kesi Mahakamani

    MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamepinga muswada wa sheria wa marekebiaho ya sheria mbalimbali nchini namba 3 wa mwaka 2020. THRDC na LHRC wametoa tamko la kupinga muswada huo leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020 mbele...
  10. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Polisi hawatawaingilia wanasiasa watakaofuata sheria

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro akiwa Mkoani Simiyu amesema Jeshi hilo kamwe halitawaingilia Wanasiasa katika shughuli zao endapo hawatavunja sheria zilizowekwa wakati wakifanya kazi zao, huku akiwaonya baadhi ya Wanasiasa wenye tabia za kuingilia majukumu ya vyombo vya ulinzi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu Wabunge walioaga Dunia?

    Zimepita siku karibu mwezi sijamsikia spika wa bunge letu kusema lolote kuhusu nafasi za wabunge wetu waliyochukuliwa kwa mapenzi ya mungu. Na sijasikia hata sisi wananchi ambao tunalipa kodi na kuwalipa wabunge kusikia chochote kuzungumzia kuhusu nafasi zilizo wazi kwa waliochukuliwa na muumba...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Elimu kwa Umma juu ya matumizi sahihi ya alama barabarani na uzingatiaji wa sheria

    Hongereni sana Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia kitengo chenu cha usalama barabarani kwa kazi mnayofanya kupambana na waharifu wa barabara,pia hongereni wizara ya afya kwa kushirikiana na vyombo vyote vya ahabari nchini, mitandao ya kijamii n.k. katika kutoa elimu juu ya madhara ,namna ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tujiandae kisaikolojia: Kama itathibitika pasi na shaka kuwa CHADEMA ilitumia ruzuku kinyume na sheria, Msajili atakifuta

    Ni vema tukalielewa hili mapema wakati uchunguzi kuhusu matumizi ya ruzuku kwa vyama mbalimbali ukiendelea. Wabunge wa Chadema wameeleza wazi kuwa matumizi ya ruzuku ndani ya chama hicho kwa muda mrefu yamekuwa ya "kienyeji" mno. Tusisahau kuwa Mh. Komu aliwahi kuwa mtunza hazina wa Chadema na...
  14. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Serikali yetu kwenye Sheria za Uchaguzi

    Ninaombi kwenye sheria zetu za uchaguzi kipengele kimoja tu kibadilishwe au kiongezwe. Kwa maoni yangu ningependa iwe hivi Mbunge yeyote " Akijihudhuru au kuhama chama" basi aliyekuwa anafuatia kwenye kura wakati wa uchaguzi Mkuu yaani wa pili aapishwe ili kuchukua nafasi iliyoachwa wazi...
  15. JamiiForums Tanzania Malezi - Sheria ya Mtoto inasemaje kuhusu picha za watoto mitandaoni?

    Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 inatamka wazi kwamba 'Mtu hatachapisha, kutengeneza, kuonyesha au kuagiza kuchapishwa, kuendeshwa au kuonyeshwa picha au taswira ya mtoto au mtoto aliyefariki, inayoonyesha ukatili au katika pozi za ngono.' Ama kwa kujua au bila kujua, jamii hukiuka sheria hii...
  16. JamiiForums Tanzania Video: Wazee wa Sheria kibongobongo mbona hua hamli pesa za bure hizi

    Tahadhari: Kama ulikimbia umande hii haikuhusu maana yai linatemwa na mwenye yai mwemyewe
  17. JamiiForums Tanzania Wajuzi wa sheria, je kwa hukumu hii Mh. Zitto ataweza kugombea nafasi yoyote ya katika Uchaguzi Mkuu?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Je, uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu, ndugu Zitto sheria za uchaguzi zinamruhusu kugombea nafasi yoyote, mfano nafasi ya ubunge nk?
  18. JamiiForums Tanzania Trump asaini sheria inayolenga Kuibana Mitandao Ya Kijamii Ikiwemo Twitter, Facebook na Youtube

    Rais Donald Trump wa Marekani jana Alhamisi alisaini Amri ya Utendaji (Executive Order on Preventing Online Censorship) inayolenga kuongeza uwezo wa serikali kusimamia na kuibana mitandao ya kijamii. Amri hiyo inalenga kampuni zilizopewa ulinzi wa kisheria kupitia kifungu cha 230 cha Sheria ya...
  19. JamiiForums Tanzania Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

    Wanabodi, Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho...
  20. JamiiForums Tanzania Tumbushane sheria ambazo unahisi watungaji wenyewe wanazivunja

    Kiukweli kuna sheria /taratibu zingine kuzifuata ni mtihani sana..yaani inakubidi tu uivunje ili vingine viendelee... Kuna siku nipo class form 1..shule yetu kuanzia getini yamejaa mabango tu SPEAK ENGLISH ONLY Sasa haja imenibana hatari nimevumilia karibu dk 20 nikashindwa na ticha hatoki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…