sheria

  1. JamiiForums Tanzania Nafasi zimetangazwa 12 Utumishi interview tumeenda 8. Je, kuna uwezekano kweli wa kupata kazi wote au sheria ndo inafuata mkondo?

    Msaada kwa wadau mwenye uzoefu au aliyewahi kukutana na situation hii
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia Suluhu, Freeman Mbowe angeozea jela. Upinzani fuateni sheria

    Kaka yangu Freeman Mbowe Pole na hongera kwa kuachiwa huru kwa amri ya amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, Karibu tena uraiani,Sisi Watanzania kwa sasa ni wamoja pengine kuliko wakati wowote wa historia ya Taifa hili. Pole pia tumetaarifiwa unatatizo la...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

    Mhalifu hawi mhalifu hadi pale itakapothibitika! Sakata la mfalme Zumaridi (Kiongozi wa kanisa la Zumaridi huko Mwanza) Linaacha midomo wazi kwa wapenda haki na utii wa sheria! Sipo hapa kumtetea Mfalme Zumaridi, Bali nashangaa namna ya uharamu wa ukamtaji! Taratibu za ukamataji kwa mujibu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia toa tamko kuhusu NSSF kujiamulia Sheria iliyozuiliwa na Hayati Magufuli mpaka 2023

    Kuna ile sheria ya kikokoto kipya kilichoibua vurugu mpaka bosi wa nssf alitenguliwa madaraka kwa sasa NSSF wamejiamulia wenyewe kutumia hiyo sheria pasipo kauli ya Rais je huu siyo ubabe Watu wa sekta binafsi wanaumizwa na kikokotoo hicho au mnataka watu waingie barabarani na mapanga Tumieni...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali: Sheria ya Makosa ya Mitandao ingetumika ipasavyo, mahabusu zingejaa

    Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mathew Kundo amesema kama Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 ingetumika kama inavyotakiwa, mahabusu zingejaa. Kundo ameyasema hayo leo Jumatatu Februari 21, 2022 wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo maofisa upelelezi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Pakistan yaanzisha sheria ya uhalifu inayolenga ukosoaji mtandaoni

    Serikali ya Pakistan imeanzisha sheria mpya ya uhalifu wa mtandaoni ambayo inaweza kuwafanya watumiaji wa mitandao ya kijamii kufungwa hadi miaka mitano jela kwa kuchapisha "habari za kughushi " kuhusu jeshi, mahakama au maafisa wa umma. Sheria hiyo iliidhinishwa na baraza la mawaziri la Waziri...
  7. JamiiForums Tanzania Sheria inasema nini kuhusu faragha za watu?

    Faragha inayohusisha wapenzi wawili ambao wao kwa utashi na akili yao wameamua kuburudisha miili yao katika mazingira tofauti ila yanayohusisha faragha madhali kwenye boma, ndani ya gari binafsi. Je, inapotokea uvamizi ama kuingiliwa na watu wengine katika starehe zao sheria inatafsirije hilo?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kumsujudia Jaji au Hakimu Mahakamani ni kumchukiza Mwenyenzi MUNGU; hakuna sheria inayolazimisha kusujudu

    Mahakamani pamekuwa kama kwenye nyumba za Ibada; watu wakifika mahakamani lazima wasujudu Sijui huu utamaduni wa kimiungu ulitokana na Nani. Mahakimu na Majaji siyo watu wa kuabudiwa ni Watumishi wa Umma. Mahakama siyo nyumba ya ibada NDIYO maana kila mtu uapa Kwa Imani yake. Mfano kwa Wakristo...
  9. JamiiForums Tanzania Februari 20: Siku ya Kimataifa ya Haki za Kijamii (Social Justice Day)

    Haki ya Kijamii Humaanisha uwepo wa Haki sawa kwa watu wote na uwezekano wa kila mtu, bila ubaguzi, kufaidika na Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii Duniani kote Ni mtazamo kwamba kila Mtu anastahili Haki na Fursa sawa. Baadhi ya Haki za Kijamii ni pamoja na kushiriki Uchaguzi, Usawa wa Fursa za...
  10. JamiiForums Tanzania Nape: Sheria ya Habari inalenga kufungia mtu na sio chombo cha habari

    "Sheria hii ya mwaka 2016 ambayo mimi niliisimamia nikiwa waziri, imelenga kuifanya tasnia ya habari kuwa taaluma, ukikosea tukuchukulie hatua wewe, na ndio maana tumesema tutoe leseni, najua kuna maneno mengi lakini tukifika hapo pakutoa leseni maana yake tuna uwezo wa kuichukua leseni yetu kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Sheria Kandamizi: Rais Samia asema Serikali ipo tayari kupokea Mapendekezo kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Habari

    Picha: Rais Samia akihojiwa na DW Akiulizwa ikiwa Vyombo vya Habari kufungiwa kutategemea Hisani ya Kiongozi mmoja hadi mwingine au upo utaratibu wa kuhakikisha vinafanya kazi kama taratibu zinavyoelekeza, Rais Samia amesema Vyombo vya Habari vitafanya kazi kwa Mujibu wa Sheria Katika...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Muda wa Mawakili wa Serikali kesi ya Mbowe kulipwa perdiem na Serikali umeisha (maximum miezi 6), Je, wanalipwa kwa sheria Gani?

    Nimesoma utaratibu wa malipo ya serikali Kwa Mtumishi anayefanya kazi nje kituo chake cha kazi, utaratibu unaeleza kwamba Mwisho wa malipo ni miezi sita baada ya muda huo utafutwe mfumo mwingine wa kuwalipa ila siyo perdiem. Mawakili wa Serikali wanatoka Mikoani na hivyo huko Dsm siyo kituo...
  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Ufukuaji wa Machifu unavunja Katiba na Sheria. Samia akemewe

    Kupitia mtandao wa ClubHouse Mzalendo wa Kweli Tundu Lissu anahutubia na anaeleza kwa kina historia ya machif. Ameeleza chimbuko la machif wakati wa ukoloni na kufutwa kwake 1965. Anasema katika utawala wa Mwalimu Nyerere bunge la Tz chini ya Katibu Pius Msekwa lilitunga sheria kupiga marufuku...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu Wizara ya Afya; Haya mambo yatungiwe sheria na nchi nzima kila hospitali zote zizingatie

    Ni kama vile hayana umhimu vile lakini usiombe! Serikali ikiwapendeza yawekeni kwenye utaratibu! Kama hujawahi kuuguliwa au kuuguza huwezi kunielewa kirahisi! Iko hivi mwaka Jana wakati nikiuguza mzee wangu kabla hajatwaliwa! Yapo mambo yaliniumiza sana! Ni vigumu kuyaelezea yote hapa...
  15. JamiiForums Tanzania Hata Simba wakizidi Mbugani hupunguzwa, Wamaasai wa Ngorongoro wapunguzwe na iundwe sheria

    Kwema Wakuu! Mimi sina mengi ya kuzungumza. Nilikuwa naishauri serikali, iweke utaratibu muhimu na wakudumu. Iunde sheria ya idadi ya watu wanaotakiwa kuishi hifadhi ya Ngorongoro kulingana na Ecosystem ya pale. Kisha idadi inayozidi wawe wanahamishwa. Maasai ni Watanzania wenzatu hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yasogeza mbele sheria ya ukomo wa elimu kwa waandishi wa habari

    Serikali imetangaza kuongeza mwaka mmoja mbele kabla ya kuanza kutumika sheria ya elimu kuanzia ngazi ya Stashahada kwa waandishi wa habari kwa mujibu wa Sheria ya Huduma ya Habari ya Mwaka 2016. Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye alipokuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu sheria mpya

    wiki hii kuna miswada imepelekwa bungeni kufanyiwa marekebisho, ikiwemo sheria ya kwamba polisi hawaruhusiwi kumpeleka mtu mahakaman had wakamilishe upelelezi. Je na ile sheria inayowapa nguvu upande wa mashtaka na police kumkamata mtu pindi mahakama inapomuachia baada yakukaa ndani muda...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio VAR, hao marefa wanazijua vizuri sheria za mpira?

    VAR ije Tanzania ili iweje? Matukio tata kwenye ligi yetu yanatokea ni kwasababu tu MAREFA hawajui kutafasiri Sheria za mpira unakuta refa hajui kuwa mkono hauhusiki kwenye offside. Mimi labda ingependekezwa waingie na simu zenye internet nzuri ili likitokea tukio refa aingie Google kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Data: Sheria zinalenga kuwapa watu binafsi uwezo wa kujua jinsi Taarifa zao zinavyotumiwa

    Faragha ya Data/Taarifa limekuwa suala muhimu siku zote, lakini kadri Taarifa zetu zinavyozidi kuwekwa kidigitali na kutolewa zaidi Mitandaoni, umuhimu wake umezidi kuongezeka Kampuni moja inaweza kuwa na Mamilioni ya taarifa za wateja ambazo inapaswa kuzilinda. Sheria za Kulinda Taarifa...
  20. JamiiForums Tanzania Tunisia: Rais Kais Saied avunja Baraza Kuu la Mahakama, Majaji wasema ni kinyume na Sheria

    Hali ya Kisiasa Nchini Tunisia imezidi kudorora baada ya Rais Kais Saied kusema anavunja Baraza Kuu la Mahakama, kitendo ambacho kimetajwa kuwa kinyume na Sheria, huku Majaji wakisema hawatokaa kimya. Rais Saied amewashutumu Majaji kwa upendeleo na ufisadi. Mwezi Julai 2021, alijiimarishia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…