sheria

  1. B

    Tozo ni matokeo ya malalamiko yetu

    Wigo Wa Kodi Uongezwe Kuelekea Wapi? Kwa miaka mingi tumekua tukiilalamikia serikali iongeze wigo wa kodi na isiangalie vyanzo vile vile vilivyo zoeleka kama vinywaji baridi, pombe, sigara na mafuta ya petroli. Kwa bahati sasa hivi vitu vile vilivyozoeleka vingi havijaguswa na vingine...
  2. S

    Waziri wa Utumishi, sheria ya kutaka kila Mtumishi abaki na walau moja ya tatu ya mshara wake, haizingatii tofauti kubwa mishahara baina ya watumishi

    Hili jambo nimeliongea mara kadhaa huko nyuma na leo napenda kuliriudia kwani ni kikwazo kwa watu katika kujitafutia maendeledo yao na pia katika kutatua changamato zao za kifedha. Kwa wasiolewa, sheria hii inalenga kuhakiksha mtumishi habaki na take home ndogo isiyokidhi mahitaji yake na ya...
  3. Sheria ya kulinda taarifa zetu na faragha ipo wapi?

    Baada ya kupita katika zoezi hili la sensa ya makazi na watu 2022 na kuona namna taarifa nyingi nyingi sana zinakusanywa kupitia maswali yanayoulizwa na karani, kwa kweli nimepata ukakasi na kujiuliza maswali mengi juu ya uhakika wa ulinzi na usalama wa mambo niliyoyaweka wazi “kwa nia njema...
  4. Lile "jicho ona", limeona si vema Jeshi la Polisi kuwa sponsored! Sponsors wakifanya makosa, polisi atapat kigugumizi! Vipi sisi media na sponsors?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kitu kipya humu kinachoitwa "Jicho Ona". Jicho Ona ni vile vitu ambavyo kwa jicho la kawaida vinaonekana kama ni vitu vizuri jambo jema, jambo zuri, jambo la kawaida, ila jicho ona linaona kuliko jicho la kawaida, linaona visivyo onekana na jicho la kawaida, jicho...
  5. Maxence Melo: Kukosa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni hatari kwa usalama wa nchi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums amesema ukusanyaji holela na kuzagaa kwa taarifa binafsi za watu mitaani ikiwemo makaratasi yanayotumika kama vifungashio vya chakula au madawa ni madhara ya kutokuwa na sheria inayolinda taarifa binafsi za watu jambo ambalo linaiweka pia nchi kwenye hali...
  6. F

    SoC02 Athari za siasa katika Utawala wa Sheria

    Katika siku za hivi karibuni limeibuka wimbi la watu wanaodai kuwa siasa ni kila kitu katika maisha. Je ni kweli kuwa siasa ni zaidi ya sheria ambayo ndio uti wa mgongo katika utawala bora? Kwa Jicho pevu kabisa naweza kusema hapana si kweli kuwa siasa ni zaidi ya sheria. Ili kupata utawala...
  7. Australia: Sheria ya Usalama wa Mitandao kuzibana Apple, Meta na Microsoft

    Kampuni za #Meta (Facebook), #AppleInc na #Microsoft zimeandikiwa barua ya kutakiwa kushiriki mikakati ya kukomesha unyanyasaji wa watoto kwenye majukwaa yao vinginevyo yatapigwa faini. Idara ya Usalama wa Kielektroniki imesema kwa mujibu wa sheria mpya za Mitandao zilizoanza kutumika Januari...
  8. Kama Bunge ni chombo cha kutunga sheria kwanini wabunge wengi sio Wanasheria?

    Jamani wanajf habari. Jamani samahani naomba ufafanuzi Kama tunasema Bunge Ni chombo Cha kutunga sheria kwa Nini wabunge wengi sio Wanasheria? Watungaje sheria wakati hawajui sheria? Mimi nafkiri kungekuwa na vigezo maalum vya kuwa mbunge kigezo mojawapo angalau mtu awe na certificate ya...
  9. C

    SoC02 Mtoto na Runinga, na je kuna sheria ya inayodhibiti Hilo?

    mtoto na runinga
  10. Marekani: Wizara ya Sheria yathibitisha Donald Trump aliondoka na Nyaraka za Siri za White House

    Kupitia nyaraka 184 zilizowekwa wazi mbele ya Mahakama inayosikiliza kesi dhidi ya Rais huyo wa zamani, Wziara hiyo imethibitisha kuwa Trump aliondoka Ikulu akiwa na nyaraka za siri ikiwemo za Idara za Usalama wa Taifa. Katika Hati hiyo ya Kiapo, Afisa wa siri wa FBI amesema walipitia na...
  11. maana ya chitchat nini? kwanini mnafuta uzi wakati sijavunja sheria

    mi nimeanzisha uzi wangu nizungumzie mambo yangu mwenyewe, sasa shida iko wapi mnafuta? mod muache kuchukulia mambo sirias
  12. Sheria ya vyombo vya usafiri.

    Ndg wanajukwaa salam.Naomba kufahamu sheria inasemaje kwa wanaondesha vyombo vya moto bila plate namba?Hususanh pikipiki mana gari sijaona sana.
  13. Makarani wa sensa tuwaamini bila uwepo wa sheria yoyote nchini inayolinda taarifa binafsi na faragha zetu?

    Wakuu. Awali ya yote nitoe pongezi kwa kila Raia wa nchi hii aliye bahatika kuhesabiwa. Wengine hatukupata bahati ya kufikiwa siku ya jana, natumani kwa muda muafaka, tutapata pia fursa hii ya kuingia kwenye rekodi ya takwimu muhimu za wakazi wa nchi hii. Baada ya kutoa pongezi hili naomba...
  14. Pakistan: Waziri Mkuu wa Zamani ashtakiwa chini ya Sheria ya Ugaidi

    Polisi nchini humo wamemfungulia mashtaka Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Imran Khan, chini ya sheria za kupambana na ugaidi kwa madai ya kutoa vitisho dhidi ya Maafisa wa Serikali. Mashtaka hayo ni siku moja baada ya Mwanasiasa huyo kushutumu Jeshi la Polisi kwa kumtesa Mwanachama...
  15. Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

    Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake…. Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la polisi na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA...
  16. N

    SoC02 Vyombo vya Habari na sheria nchini Tanzania tasnia ya habari kwa hapa nchini Tanzania inakuwa kwa kiwango kikubwa sana. Tofauti na zamani

    VYOMBO VYA HABARI NA SHERIA NCHINI TANZANIA Tasnia ya habari kwa hapa nchini Tanzania inakuwa kwa kiwango kikubwa sana. Tofauti na zamani, vyanzo vya habari vikuu vilikuwa ni Televisheni, Redio na Magazeti. Ila kutokana na ukuaji wa teknolojia na utandawazi kwasasa kuna vyanzo vya habari vya...
  17. SoC02 Watanzania tuzijue sheria za nchi yetu

    UTANGULIZI Imepita takribani miaka sitini tangu Watanzania tupate uhuru mwaka 1961 chini ya baba wa taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere na sasa ni awamu ya sita chini ya rais wa Jamhhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Kwanza natoa pongezi kwa Serikali za awamu zote kwa kupambana...
  18. Binafsi nakataa kuhesabiwa, kuna sheria yoyote ninavunja?

    Naomba nitoe dukuduku langu na naamini katiba ya nchi hii inanipa uhuru huu kwa maana sivunji sheria yoyote. Miaka ya hivi karibuni, serikali imeingilia sana uhuru wetu. Kuna wakati watu walikuwa wananyakuliwa kwa sababu tu wametoa maoni yao mitandaoni na wengi wao wakaenda kufunguliwa kesi za...
  19. SoC02 Ukaidi wa sheria kutoka kwa madereva na wamiliki vyombo vya usafiri maarufu kama bodaboda

    Katika nyakati hizi tofauti na nyakati za nyuma kidogo, dunia imejaliwa kufanya gunduzi mbalimbali za sayansi na tekinolojia ikiwemo gunduzi bora kabisa za vyombo mbalimbali vya usafiri ikiwemo pikipiki. Vivyo hivyo kwa Tanzania usafiri huu wa pikipiki maarufu kama boda boda umeleta ufanisi...
  20. BALILE: Sheria ya Habari bado ina Vifungu kandamizi

    MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Deodatus Balile amesema kuwa bado kuna maeneo katika vifungu vya Sheria ya Habari vimekuwa vikwazo na vinahitaji kufanyiwa marekebisho. Hayo ameyasema jana katika kipindi cha Kipima Joto kinachorushwa na Televisheni ya ITV kuhusiana na Marekebisho ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…