sheria

  1. JamiiForums Tanzania IGA ya DPW imetusaidia mambo mengi. Kwanza kuonyeshea tuna wanasheria wa aina gani, pili kuidogosha fani ya sheria na sasa kila mtu ni Mwanasheria?

    Wanabodi Hii IGA ya DPW Imetusaidia sana kujua mambo mengi, sio tuu imetusaidia kutuonyesha matundu kwe paa la nyumba yetu kwa kutuonyesha panapovuja, pia umetufungua macho kuona tuna wanasheria wa aina gani, wenye uwezo gani, ndio maana tunaingia mikataba ya hovyo!, tukishtuka, tunavunja hiyo...
  2. JamiiForums Tanzania HAKI JINAI: Inachohitaji Afrika ni viongozi waaminifu na sheria zisizopendelea

    Hakuna demokrasia inayoweza kuletwa kwa magunia kutoka sehemu nyingine kwenda sehemu nyingine. Hakuna demokrasia inayopatikana kwa mazungumzo bali kwa uhalisia wa mambo. Mfano, China wako karibia watu bilioni 2 chini ya matawala mmoja, serikali moja na nchi moja, ni demokrasia gani inafaa kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Balozi Sefue: Baadhi ya Wakuu wa Wilaya na Mikoa wanatumia vibaya Mamlaka yao

    Fuatilia yanayojiri kwenye Kikao cha Wajumbe wa Tume ya Haki Jinai, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Wahariri wa vyombo vya habari, leo Julai 20, 2024. Kikao hiki kinafanyika Ikulu ya Dar es Salaam. Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inaongozwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania unaweza kusema uongo hadharani na usiwajibike popote. Sheria ya kulinda maadili itungwe

    Toka sakata la Bandari lianze nimepitia na kusoma sheria nyingi sana. Nikasoma na sheria mbalimbli za nchi nyingine. Nikagundua nchi haina sheria ya Uongo na upotoshaji wa umma. Kwa nchi ya Tanzania unaweza kwenye vyombo vya habari ukasema uongo tu ambao si wa kichochezi na usiwajibike popote...
  5. JamiiForums Tanzania Sheria za kutoruhusu Mapadre na Masista kushiriki tendo zinachukulia cheo kina zima viungo?

    Tumbo limeumbwa likipata njaa mtu anatafuta chakula apunguze njaa, Yes kuna kufunga lakini sio moja kwa moja, labda iwe ni muujiza wa nguvu za ziada nje ya uumbaji wetu. Hamu ya kutaka kusex kwa mwanaume asie hanithi huwa haipekiki bila kujali ni mkimya kiasi gani, ni mstaarabu kiasi gani. hii...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kinga dhidi ya kushtakiwa kwa Marais ni Sheria mfu

    Ndio, Uraisi ni Wadhifa nyeti Duniani kote na Raisi anapaswa kulindwa na mfumo na Sheria za Nchi akiwa ndani na hata nje ya madaraka. Lakini swali ni Je, Kinga za kisheria wanazopewa viongozi Hawa haswa Hawa Executive Presidents, zinalinda maslahi na madudu yao, au zina Linda maslahi ya Taifa...
  7. JamiiForums Tanzania Katiba mbovu, sheria mbovu, mikataba mibovu. Leo tumetozwa zaidi ya Tsh. Bilioni 260. Kufanywa kichwa cha Mwendawazimu hadi lini?

    Wanabodi, Hizi kelele za wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kuhusu hii IGA ya DPW na Bandari zetu, sio za kuzipuuzia!. Katiba hii mbovu tuliyonayo!, Sheria zetu mbovu tuliyonayo, mikataba mibovu ya kimataifa tunayoingia, mwisho wa siku tunajikuta tumepigwa!, tunafunguliwa mashitaka...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Phillipo Mwakilima amtaka Spika Tulia Ackson aache kuchanganya sheria na siasa

    Akihojiwa na chombo kimoja cha habari, Mwanasheria Phillipo Mwakilima anemkosoa vikali Spika Tulia Ackson kwa staili yake ya kujifanya ni mtafsiri sheria na mwalimu wa sheria kila sehemu anayokuwepo. Wakili Mwakilima, akaponda kauli za spika kuwa eti bungeni walipitisha makubaliano na siyo...
  9. JamiiForums Tanzania Sheria hazina maana Kwa asiyenacho: Ijapokua ni afadhali ziwepo kwani zinawalinda wasionacho dhidi ya wasionacho!

    Members, Sheria zinawalinda wenye nguvu tu. Yaani nguvu hapa namanisha pesa/madaraka/umaarufu(fame) Mwenye nguvu akiua Kwa makusudi kesi yake itageuzwa geuzwa kuwa "kuua bila kukusudia" na jela haendi aue kabwela akaozee jela! Mwenye nguvu anaweza fanya chochote na jamii ikamuunga mkono...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari linaidhalilisha Taaluma ya Sheria!

    Katika kipindi Cha mwezi mmoja Sasa .. Bila shaka Taifa limeingia kwenye sitofahamu kubwa ! HII ni kuhusu Mkataba wa Uwekezaji baina ya JMT na DPW! Mengi yamesemwa ,Kuandikwa na kujadiliwa ! Kinachoshagaza ni namna tasinia ya Sheria inayotumika kukosoa au kutetea Mkataba au Makubaliano haya...
  11. JamiiForums Tanzania Bunge la Ghana lipitisha Muswada wa Sheria inayoruhusu Kilimo cha Bangi Kibiashara

    Kwa Sheria hiyo mpya sasa, Serikali ya Ghana itaachana na mazoea na kuungana na Mataifa mengine takriban 10 ya Afrika yaliyoamua kuhalalisha Bangi kwa matumizi ya Dawa, Viwandani na Biashara nje ya Nchi. Pamoja na ruhusa hiyo, mimea ya Bangi itakayozalishwa chini ya Sheria hiyo itakuwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Sheria ya Umiliki wa Rasilimali na Maliasili iliyotungwa Awamu ya Tano, chini ya Hayati Magufuli

    Ikumbukwe wakati sheria ya kulinda rasilimali za taifa inatungwa mwaka 2017 Mh Waziri mkuu alikuwepo,Spika alikuwepo wakati huo alikuwa Naibu Spika,Rais alikuwepo wakati huo alikuwa Makamu wa Rais,Waziri wa fedha alikuwepo wakati huo alikuwa Waziri wa Sheria, na wabunge waliopitisha bungeni ni...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Je, kulingana Sheria zetu za Ardhi watanzania tuna OWN au tuna POSSESS Ardhi kama DP WORLD?

    Kulingana na mkataba -IGA ni kwamba DP WORLD watapossess Ardhi sio ku own nikaangalia maana ya haya maneno mawili 1 Own land - indicate that land belongs to a particular person or group . 2.Posses land -control or occupancy of land without regard to ownership . Kwa katiba yetu Kama nimeielewa...
  14. JamiiForums Tanzania Mawakili wa DKT. Rugemeleza Nshala wadai Askari wamepekua maktaba ya mteja wao kinyume cha Sheria

    Siku chache baada ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumpa wito Wakili Rugemeleza Nshala aliyewahi kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kufika Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es Salaam, kuna mambo kadhaa yameibuka. Ikumbukwe kuwa Ofisi ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanahabari tambueni kwamba sheria ya uwekezaji wowote wa maliasili kujadiliwa bungeni ni kwa mujibu wa sheria ya 2017, si fadhila za viongozi

    Ni upuuzi Kibanda na wenzake kuwaambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa mijadala hii miaka mitano iliyopita isingekuwepo. Hivi hiyo Sheria ya mikataba ya Maliasili kujadiliwa si ni kwa mujibu wa Sheria na aliyefanikisha hayo Si JPM Kwa Sababu ya uzalendo wake kwa nchi ndio hiyo Sheria...
  16. JamiiForums Tanzania Maoni ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kuhusu tozo za miamala ya simu

  17. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Watu wote wanaozungumza kwa kufoka kwenye suala la Mkataba wa DP World wamenunuliwa

    Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa anazungumza na waandishi wa habari Muda huu kuhusu sakata la Bandari na uwekezaji wa DP World. === Kuna watu wanatumika kwa maslahi yao binafsi kumuondoa kwenye reli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye utendaji wake wa kazi...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala wa Sheria: Misingi, Changamoto na Utekelezaji Wake Nchini Tanzania

    UTAWALA WA SHERIA: MISINGI, CHANGAMOTO NA UTEKELEZAJI WAKE NCHINI TANZANIA Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Utawala wa sheria ni dhana muhimu katika jamii yoyote inayotaka kuendelea na kuwa na amani. Utawala wa sheria unamaanisha kuwa kila kitu kifanyike kwa mujibu wa sheria, kanuni na...
  19. JamiiForums Tanzania Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Utungaji wa Sheria nchini uzingatie Mtiririko Mzuri na Matumizi ya Lugha Rahisi

    Ili wananchi waweze kuelewa vizuri Sheria mbalimbali nchini pamoja na vifungu vyake, kunatakiwa kuwe na mtiririko mzuri katika uandishi wake pamoja na matumizi ya lugha rahisi. Wananchi wanapaswa kuwa na uwezo wa kuelewa sheria bila kuhitaji msaada wa kisheria au ufafanuzi wa ziada. Hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…