sheria

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya goli ni kwamba ni lazima mpira uvuke mstari kwa asilimia 100

    Kwa maneno mengine ni kwamba ukichora mstari juu sambamba na ule wa chini halafu uchore mstari mwingine kutoka juu hadi chini perpendicular (nyuzi 90) hapo ulipo mpira, huo mstari wa kutoka juu kuja chini haupaswi kuugusa mpira! Kwa hiyo hata kama mpira umebaki. Nje kwa milimita 1 Hilo dogo...
  2. JamiiForums Tanzania Kupata Haki ni gharama sana kwa nchi yetu, mnasabisha watu kujichukulia sheria mkononi na kuachana na mifumo ya haki jinai

    Leo niliibiwa materials kutoka eneo langu la kazi Mkoa A, baada ya kufatilia nikagundua mwizi amesafiri kwa njia ya Bus kuelekea mkoa B, nikafanya mawasiliano na Police wa mkoa B, wakanipa ushirikiano na kumkamata mwizi wangu akiwa na hayo material kwenye Bus kama nilivo report, na bahati nzuri...
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Sheria ya Mpira inasemaje juu ya goli la Yanga? Je, kuna uwezekano wa kufungua kesi?

  4. JamiiForums Tanzania MASELE:Yanga inaweza Kukata Rufaa mapema na Kurudishiwa Point Tatu kisha Kuingia Nusu Fainali kulingana na Kifungu cha XVI (3) Cha sheria za CAF

    Klabu ya Yanga inaweza kukata rufaa kwa baraza linalosimamia soka na kuripoti rasmi kesi ya upangaji matokeo chini ya kifungu XVI kifungu kidogo cha 3 kinachosema;XVI. FRAUD -ADMINISTRATIVE ERROR - MATCH FIXING. na Kama itathibitishwa basi Mamelodi inaweza kuondolewa kwenye michuano na Young...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu?

    Juzi (03.04.2024) tumeshuhudia Mh. Raisi akizindua Tume ya ulinzi wa taarifa binafsi na kusisitiza juu ya ulinzi wa taarifa binafsi kwakufata sheria. Sasa, je ni kwanini Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu kwetu watanzania? Leo nitawasanua wadau juu ya umuhimu wa sheria hii mpya nchini...
  6. JamiiForums Tanzania Naiomba Serikali yetu itunge sheria kali ya kuwalinda wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa n.k

    Mimi Mjanja M1 sikuwahi kuwaza kama kuna siku nitaandika uzi kwaajili ya wanyama hususani wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa na wengine ambao tunawafuga. Kwenye pilika zangu nimekutana na Vitoto vya Paka vikiwa vimetupwa jalalani na muhusika (Mfugaji) hajulikani. NILIUMIA SANA 😢 Ukiachana na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Akili ya Zitto Kabwe kuwa sheria za uchaguzi zinakidhi haja ni "Tukose wote"

    Anajua fika kuwa chama chake hata sheria zikawa kama zilivyopendekezwa na wadau wote, hawezi kupata wabunge/madiwani etc. Anajua Chadema kinaweza kuzoa viti vingi tu kwenye uchaguzi huru na haki. Kwa vile amejinasibu kuwa "rival" wa Upinzani particularly chadema, basi anaona afadhali sheria ziwe...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 LHRC: Sheria Mpya za Uchaguzi zimeacha maoni ya Wadau kuhusu maamuzi ya Tume ya Uchaguzi kuhojiwa Mahakamani

    Siku chache baada ya uwepo wa taarifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kusaini miswaada ya Sheria za Uchaguzi na kutangazwa kuwa Sheria, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC, kimeeleza kuwa Sheria hiyo hajazingatia baadhi ya mambo muhumu kama ilivyoshauriwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika CCM ikiondoka madarakani kwa njia yoyote ile haki na sheria, itadai haya yanayodaiwa na CHADEMA

    CCM hawataki mabadiliko ya haki kwa vile ubatili wa sasa unawanufaisha/yanawanufaisha. Siku ikitoka madarakani, CCM itayadai haya haya yanayopiganiwa na chadema maana ndio UKWELI NA HAKI. CCM tendeni haki ili kesho HAKI iweze kuwalinda, vinginevyo mnajipalia mkaa! Mkitoka mtakuwa kama KANU...
  10. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mahakama yakazia sheria ya ushoga

    Mahakama ya katiba nchini Uganda imetupilia mbali shauri lililowasilishwa Mahakamani kupinga sheria dhidi ya mapenzi kati ya Watu wa jinsia moja na kusisitiza kuwa sheria hiyo inalinda utamaduni na hadhi ya Watu wa Uganda. DW ( @dw_kiswahili ) imeripoti kwamba Walalamikaji walitaja sababu...
  11. JamiiForums Tanzania Sheria ya Maafa ya mwaka 2022 inasaidia vipi wananchi kipindi cha maafa?

    Hapa katikati Tanzania tumekua na maafa kadhaa. Kubwa kuliko yote lilikua la Hanang Manyara. Lakini leo pia kumekua na taarifa kwamba zaidi ya wanakujiji 895 kutoka katika kaya 179 za kijiji cha Taweta kilichopo kilombelo Morogoro hawana mahala pa kuishi wala chakula kutokana na janga la...
  12. JamiiForums Tanzania Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Makundi ya WhatsApp kusajiliwa Kisheria kwa TZS 200,000/-

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa, amesema kampeni ya usajili wa jumuiya zisizo za kidini iliyoanza mkoani Dar es Salaam, inahusisha vyama au vikundi vikiwamo vinavyoendeshwa kwa njia ya mtandao wa WhatsApp. Amesisitiza kuwa ni muhimu vyama...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni sheria kila mkazi wa Dar kulipa hela ya taka?

    Wakuu salamu, Naomba kujuzwa, hivi ni sheria kuwa kila mkazi wa dar kulipa hela ya taka kwenye eneo lake la biashara hata kama biashara yako haizalishi taka? Kumekuwa na tendency ya wakusanya taka kutoza hela kwa kila mwananchi hata kama kwa mwezi huo hawakuzoa taka kwenye eneo lake. Je, ni...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia asaini miswada ya Sheria za Uchaguzi

    Taarifa zilizosambazwa kwa vyombo vya Habari Nchini Tanzania zinaeleza kwamba Rais wa Nchi hiyo amesaini ile Miswada mibovu inayopingwa na kila mwenye akili timamu Bila Shaka kwa kitendo hiki inamaanisha kwamba Rais Samia AMEWAPUUZA KABISA WALE WOTE WANAOPINGA MISWADA HIYO MIBOVU YA SHERIA ZA...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Hakuna sheria Zanzibar inayokataza kula mchana wakati wa ramadhani

    Polisi zanzibar ni waongo sana, hakuna sheria yoyote Zanzibar inamkataza mtu kula wakati wa ramadhani. Miaka ya nyuma kesi zote zilizopelekwa mahakamani mashitaka yalisomeka tofauti, badala ya shitaka la kula mchana wakati wa ramadhani, mashitaka yote yaliletwa mahakamani kwa kosa la uzururaji...
  16. JamiiForums Tanzania Watu 12 wakamatwa kwa kula hadharani mchana Zanzibar

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa idadi ya watu waliokamatwa kwa tuhuma za kutenda makosa mbalimbali kufikia sitini na mbili Akitoa...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

    Zanzibar sio Nchi inayoongozwa na Sheria za Kiislamu, Zanzibar ni nchi inayoongozwa na katiba huru. Inakuwaje unamkamata mtu kwa sababu ya kutokufunga Ramadhan, ni wapi kwenye katiba wamesema kwamba usipofunga inapaswa kuswekwa Ndani. Mkianza kutuletea sheria za kiarabu Kwenye ardhi za Tanzania...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu: Sheria ya Ukomo inayompa Waziri wa Katiba na sheria kuongeza muda wa ukomo wa kufugua mashauri ni batili

    Majaji 3 (MLYAMBINA, . KAKOLAKI, NA AGATHO) wa mahakama Kuu Dar wameto uamuzi huo tarehe 13/ 03/2024 kuwa kifungu cha 44(1) na 44(2) (section 44) vya sheria ya Ukomo (Law of limitation Act) vinapingana na katiba na hivyo ni Batili. 1. Vinamnyima mtu haki ya kusikilizwa 2. Vinamnyima mtu haki...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani yaishitaki kampuni ya Apple kwa kuhodhi soko la simu kinyume cha Sheria za Ushindani

    Hii taarifa ilitoka siku 2 zilizopita. Sijui kama imejadiliwa humu ama lah. Lakini hebu tuijadili. Serikali ya Marekani imeishitaki kampuni ya Apple kwa kuhodhi soko na biashara ya simu zake na kuzuia ushindani kwenye mfumo wake wa simu(Apple ecosystems). Serikali ya Marekani inaituhumu Apple...
  20. JamiiForums Tanzania Uelewa wa masuala ya kisheria ni mdogo sana Tanzania

    Binafsi nadhani kuna haja ya jambo kufanyika ili kuongeza uelewa wa masuala ya kisheria baina ya watanzania. Najua sheria ni noble professional lakini hii haimaanishi ni wale waliosoma sheria tu ndiyo wanapaswa kuijua sheria, NO kila raia anatakiwa awe japo na uelewa wa msingi kuhusu masuala ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…