PostGE2025 Tumesubiria mpaka tumechoka. Zifanyike sherehe za ushindi wa CCM

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
886
Reaction score
3,073
Si kila baada ya dili kutiki watu hukutana na kujipongeza kama bingwa wa ligi anavyosherehekea na ashabiki wake baada ya msimu kuisha,

Sasa inashangaza kuona hali ikiwa kimya hadi sasa.

Baiskeli hazionekani tena mtaani na pikipiki pia zimepotea kabisa au pengine mnazipaka rangi upya.
 
Sherehe na mwaka huu watakula nyama iliyokaushwa ya watu walio waua na kushushia na damu.
Wale watu ambao hawajaoneka ndio miili yao inakaushwa na super chef tayari kwa sherehe ya ushindi
 
Si kila baada ya dili kutiki watu hukutana na kujipongeza kama bingwa wa ligi anavyosherehekea na ashabiki wake baada ya msimu kuisha,

Sasa inashangaza kuona hali ikiwa kimya hadi sasa.

Baiskeli hazionekani tena mtaani na pikipiki pia zimepotea kabisa au pengine mnazipaka rangi upya.
Wamepoteana si unajua wale jamaa wote wamewekwa kwenye friji
 
CCM kwa namna hawana aibu wanaweza kupost picha na sare zao
 
Si kila baada ya dili kutiki watu hukutana na kujipongeza kama bingwa wa ligi anavyosherehekea na ashabiki wake baada ya msimu kuisha,

Sasa inashangaza kuona hali ikiwa kimya hadi sasa.

Baiskeli hazionekani tena mtaani na pikipiki pia zimepotea kabisa au pengine mnazipaka rangi upya.
Zile baiskeli na pikipiki kwel sijui zipo wap?
 
Back
Top Bottom