sherehe

  1. guzman_

    JamiiForums Tanzania Gen Z kazeni hapo hapo, msikae kizembe

    Kuna moshi unafuka. Trust me. Gen-z kazeni hapo hapo na ongezeni umakini msikae kizembe. Baada ya kudis-arm wajeshk nataarifiwa alternative imepatikana. Ni wao au sisi. Full stop. Hata wazee sasa tumechoka na huu uk..da. Lakini bado wana mwezi mzima wa kujitafakari. Mungu ni wetu sote...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hivi mtoto kumaliza darasa la Saba ni kitu cha kuandalia sherehe?

    Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
  3. Mad Max

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna swali hapa kwa waliooa au kuolewa na kufanya sherehe: Hivi uwa mrudi kuangalia video za shughuli yenu?

    Katika heka heka za kupunguza gharama za uendeshaji wa harusi, kuna hii budget ya videography. Hii sekta inaongeza sana gharama na inaweza kufika Mil 2-3 kizembe sana. Mara nyingi ukienda kwenye harusi utaona TV kadhaa zinaonesha live, macamera man kadhaa, drones na mataa ya picha. Hao ndigo...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kinachoshangaza ni hawa vijana wa kiume kujishebedua zaidi hata ya wanawake walioalikwa. Iwe jinai kwa sherehe ya aina yoyote yenye maudhui haya

    Generation ya vijana chapati haiwezi koma kama normalization ya namn hii inaendelea katika jamii.
  5. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Vibe za sherehe ukumbini: Ipe maneno clip hii

  6. Eli Cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

    LINDENI WATOTO WENU LA SIVYO WATAISHIA KUFANYIWA USODOMA Ukiwa masikini hawa wanawake wa mjini wanakuita mdhaifu ila ndio hao hao wa kwanza kufurahia kampani ya hawa chapati
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete ungeachana tu na mambo ya siasa. Haitapendeza siku ukitutoka watu wafanye sherehe

    Umeifanyia mengi nchi hii Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
  8. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Viongozi wasiopaza sauti zao kupinga utekaji na mauaji mkifa kwetu wananchi ni sherehe

    Habari hii iwafikie wote na napenda kutoa angalizo tusije kulaumiana baadae na kutafutiana ubaya Kama wewe unajijua ni kiongozi wa serikali au ni kiongozi wa kidini au kama wewe ni msanii au mwanamuziki au mtu mwingine yeyote wenye ushawishi katika jamii ambae mpaka sasa haujatumia nafasi yako...
  9. M

    JamiiForums Tanzania CCM wametufikisha hapa, Tangazo la kuzuwia maandamano ya wananchi wakifurahia pindi anapokufa mwana ccm litataanza kutolewa soon

    Tayari tumefika kubaya na hakuelezeki kabisa Haya yote yanajiri ni kwa sababu tu, CCM mmekosa huruma, mmekosa utu, mnazurumu, mnateka na kuuwa watu peupe pe na bila aibu Wananchi wataanzia wapi kuwaona kuwa nyinyi ni binadamu wenzao Kifo??? Wananchi wanaandamana kufanya sherehe? Kufurahia...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nataka nimuoe huyu Lovely Emmy wana JF mje mshiriki sherehe napoopoa mtoto mzuri kipenzi cha dhati

    Lovely Emmy nahisi atakuwa mtoto mzuri laini laini na nyoronyoro mpya humu JF. Nataka nimuwahi kabla watu hawajamwaribu sana. Nimuoe Mimi nina wake wawili kwa sasa. Nahitaji mwingine wa 3 ila awe binti mdogo mdogo but na nyama awe nazo. Ndo maana naona lovely emmy ni chaguo sahihi mimi kumuoa...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Gharama za kufanya sherehe zinazidi kuchangamka

    Barua hii inajieleza yenyewe.
  12. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Misiba itayotokoea miaka ya 2040 - 50 itakuwa ni sherehe.

    Ni mawazo tu, misiba itayotokea miaka kumi ijayo haitakuwa huzuni itakuwa ni furaha. Miaka hiyo ndio watakufa hawa walipo sasa ambao hawana jema la kufanya tuhuzunike sisi Gen Z. Ile kauli ya "kufa ndio usemwe vizuri haitakuwepo" Gen Z watafurahi wakisema "bora amekufa alifanya kibaya hiki na...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini magroup ya michango ya sherehe yanakosa uwazi na uaminifu ? majina mengi katika orodha ya michango huwa ni ahadi sio kiasi wanachotoa

    Huwaga nachoka sana na michango ya harusi, sendoff na sherehe nyinginezo. Ahadi na Michango kwa ajii ya Harusi ya Bwana fulani inayotegemewa kufanyika tarehe xxxx Robert - 100,000 Wile - 200,000 Abdul - 150,000 Salma - 100,000 Katope - 100,000 Hapo aliechangia nzima unakuta ni moja tu Wile...
  14. Dr leader

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya msiba wangu, kwake iwe ni sherehe

    Siku ya msiba wangu Haoni navyoumia, sichoki kubembeleza Kila siku ninalia, huku nikimueleza Karibu nitajifia, Moyo ushajimaliza Siku ya msiba wangu, kwake iwe ni sherehe Aalike na vigoma, na wapiga vuvuzela Kwake nimetia koma, ila anipa madhila Aniona ja ukoma, haoni zangu fadhila Siku ya...
  15. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa dini, inakuwaje majini yanaswali na waislam kila swala lakini hawajitokezi kwenye sherehe za waislam au ni changa la macho?

    Kichwa cha habari kinajotosheleza. Inakuwaje majini yanaswali na waislam kila swala lakini hawajitokezi kwenye sherehe za waislam au ni changa la macho?
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwa nini sherehe za Muungano na Uhuru wa Tanganyika huwa zinafutwa lakini za Mapinduzi haizfutwi?

    Nahisi Kuna kitu hakipo sawa. Maana imekuwa ni rahisi sana kufuta maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika (Disemba 9) na Muungano (April 26) kuliko maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar (January 12). Nje ya mada. Ni sawa kwa mtu asiye mtanganyika kufuta sherehe za maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika?
  17. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Sherehe ya Kuaga Madiwani inatoka fungu gani la bajeti?

    Bajeti ya sherehe ya Kuwaaga Waheshimiwa Madiwani itakayofanyika kata ya WAZO inatoka fungu gani la bajeti?
  18. Jchris14

    JamiiForums Tanzania Una mashaka na chakula cha sherehe mfano harusi au msiba nini cha kufanya?

    Wakuu afya njema iwe nanyi. Nina swali kwenu, mfano una mashaka au wasiwasi na usalama wa chakula cha sherehe fulani kama vile harusi au msiba nikiwa na maana ya labda kimefanyiwa ulozi au mavitu fulani ili kuchukua faida fulani kwa walaji. Nini cha kufanya kwa haraka haraka hapo endapo kama...
  19. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mamia ya watu waliojitokeza kushangilia ushindi wa klabu yao ya mjini Liverpool

    26 May 2025 Liverpool , Uingereza Mamia ya watu waliojitokeza kushangilia ushindi wa klabu yao ya mjini Liverpool. Mamlaka za mji wa Liverpool zinasema uchunguzi wa shambulio hilo kwa kutumia gari kugonga umati wa watu waliokuwa wamejitokeza kusherehekea ushindi wa klabu ya mpira wa miguu...
  20. ngara23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ratiba ya sherehe za ubingwa wa RS Berkane kombe la shirikisho

    RS Berkane ana uhakika asilimia 💯 kuchukua ubingwa 1. Kesho saa 1 kamili asubuhi kombe litatua Dar es Salaam, na kupokelewa na mashabiki wao wa Tanzania. 2. Parade la ubingwa kuelekea viwanja vya jangwani, kupitia mitaa ya Msimbazi 3. Viongozi, wachezaji na mashabiki wa Simba watapata fursa...
Back
Top Bottom