Anaesema hivyo yeye mwenyewe anasubiria mto wa mvinyo na wanawake 90 huko peponi 😂😂
Mpaka unamfungulia nyuzi, inaonekana anakukosesha usingiziAnaesema hivyo yeye mwenyewe anasubiria mto wa mvinyo na wanawake 90 huko peponi 😂😂
Usali siku ya mwisho!?..hivi nyie mnayachukulia vipi maisha ya dunia,ibada na siku ya mwisho!?.. yaani siku ya hukumu usali!!Nadhani siku ya Mwisho kila mtu atabaki mdomo wazi, Picha linaanza siku ya kusali ni j4 sio jumapili ya makafiri, wala ijumaa ya wavaa kobaz, wala jumamosi ya Wasio kula iambale