PostGE2025 Je, sherehe za maadhimisho ya uhuru Desemba 9, 2025 zitafanyika kweli?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
24,839
Reaction score
33,532
Kulingana na taarifa za maandamano ya amani zilizopangwa kufanyika 9 december , je siku hiyo sherehe hizi zitafanyika kweli?

Tunajua vyombo vya usalama asilimia kubwa huwa vipo pale uwanja wa taifa kusherehekea sherehe hizi na maigizo yao ya kuvunja matofali kwa vichwa, hii inapelekea maeneo mengi kupelea hivyo inaleta urahisi kwa waandamanaji kuandamana watakavyo.

Sasa je , jamaa watavunja sherehe zao kukabiliana na waandamaji au wataendelea tu kama kawaida ila kwa uangalifu mkubwa au je wataazima jeshi la nchi jirani waje wawaangamize waandamanaji?

Nchi bado haijakaa stable mpaka sasa.
 
Sisi tujikamtie wanyonge wetu wasanii kuhakikisha mpaka 2030 hawapigi show wala comedy
 
Sherehe uwa azifanyiki barabarani kwaiyo ratiba hazitaingiliana, wenye kuandamana wao watakuwa barabarani kuendelea na shughulizao.
 
Naviona viingilio vya buku 2 kwa A-list artists kwa upepo ulivyo hata wale wanaotumia madawa watakuwa machizi kabisaa
 
Sherehe uwa azifanyiki barabarani kwaiyo ratiba hazitaingiliana, wenye kuandamana wao watakuwa barabarani kuendelea na shughulizao.
Wewe ndio kiongozi utasubutu kwenda uwanjani kuadhimisha sherehe za uhuru kwa situation ya sasa?
 
Back
Top Bottom