sherehe

  1. Robert Heriel Mtibeli

    Siku nikifa kama nilihusika kwenye kuwadhulumu na kuwatesa furahini na wekeni sherehe. Msilete unafiki wa kijinga kwamba marehemu hasemwi

    Hamjambo Wote! 1. Sijui kama naeleweka. Yaani nikuumize, nikutese, nikuharibie maisha alafu Siku yamenipata ulete ngonjera za ajabuajabu. Sijui UTU. Sijui Imani! 2. Aiseeh! Hakuna cha utu kwa mtu asiye na Utu. 3. Hakuna cha staha sijui stara kwa watu waliokosa stara na stags. 4. Hakuna cha...
  2. Yoyo Zhou

    Watalii wa kimataifa wajiunga na sherehe ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina nchini China

    Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina inakaribia. Siku hizi katika mitaa na vichochoro nchini China, kuna wageni wengi ambao wamekuja China kujionea na kupata uzoefu wa sikukuu hiyo muhimu sana kwa Wachina. Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina imekuwa kivutio kipya cha China kwa watalii...
  3. Inside10

    Wanahabari wapata Ajali wakitoka kwenye sherehe ya CCM

    Baadhi ya waandishi wa habari mkoani Iringa wamepata ajali ya gari leo Februari 5, 2026, wakati wakirejea kutoka kwenye sherehe za Maadhimisho ya Miaka 49 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), yaliyofanyika kimkoa katika Kata ya Idodi, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa. Kwa mujibu wa taarifa...
  4. Moto wa volcano

    Unapopanga Jambo lako la sherehe punguza matarajio

    Unapopanga jambo lako mfano haruc , birthday au sherehe yeyote ile tambua ya kwamba ratiba yako wewe sio sawa na ya mtu mwengine . Usichukie mtu kwasababu hajatokea kwenye jambo lako hauwezi jua ratiba yake / hali yake ikoje , punguza matarajio ya kwamba fulani atakuwepo
  5. Msanii

    Ni sherehe na faraja kubwa tukifanikiwa kuitokomeza CCM na machawa wake

    Chama cha Mapinduzi badala ya kuwa msaada, kimegeuka kampuni binafsi ya watawala na familia zao. Chama hiko kimegeuka kuwa saratani isiyotibika inayoitafuna Tanganyika. Tushikamane kupambana na hili jinamizi ili tufurahie uhuru na ustawi wa nchi yetu. Angalizo muhimu CCM imeungana na vyombo...
  6. ELI COHEN

    Mimi sio nabii ila kesho utaona nyuzi za yesu alikuwa ni mpalestina na christmas ni sherehe ya majini

    Anaesema hivyo yeye mwenyewe anasubiria mto wa mvinyo na wanawake 90 huko peponi 😂😂
  7. Hance Mtanashati

    PostGE2025 Je, sherehe za maadhimisho ya uhuru Desemba 9, 2025 zitafanyika kweli?

    Kulingana na taarifa za maandamano ya amani zilizopangwa kufanyika 9 december , je siku hiyo sherehe hizi zitafanyika kweli? Tunajua vyombo vya usalama asilimia kubwa huwa vipo pale uwanja wa taifa kusherehekea sherehe hizi na maigizo yao ya kuvunja matofali kwa vichwa, hii inapelekea maeneo...
  8. Desierto

    PostGE2025 Tumesubiria mpaka tumechoka. Zifanyike sherehe za ushindi wa CCM

    Si kila baada ya dili kutiki watu hukutana na kujipongeza kama bingwa wa ligi anavyosherehekea na ashabiki wake baada ya msimu kuisha, Sasa inashangaza kuona hali ikiwa kimya hadi sasa. Baiskeli hazionekani tena mtaani na pikipiki pia zimepotea kabisa au pengine mnazipaka rangi upya.
  9. guzman_

    Gen Z kazeni hapo hapo, msikae kizembe

    Kuna moshi unafuka. Trust me. Gen-z kazeni hapo hapo na ongezeni umakini msikae kizembe. Baada ya kudis-arm wajeshk nataarifiwa alternative imepatikana. Ni wao au sisi. Full stop. Hata wazee sasa tumechoka na huu uk..da. Lakini bado wana mwezi mzima wa kujitafakari. Mungu ni wetu sote...
  10. M

    KANISA KATOLIKI MLITAKIWA KUMTUMA KATEKISTA NA SIYO PADRE KWENYE SHEREHE ZA UAPISHO HALAMU.

    Wana bodi poleni kwa msiba mkubwa. 1.Pamoja na kuwa uapisho halamu wa tarehe 03.11.2025 uliwakilishwa na padre na siyo ASKOFU. 2. Pamoja na kuwa Padre aliyewakilisha hakutia baraka na hakumbariki Rais wala makamu wa wake(DR. NCHIMBI alikuwa FRATERI WA SEMINARI KUU YA PERAMIHO )alielewa...
  11. ndege JOHN

    Hivi mtoto kumaliza darasa la Saba ni kitu cha kuandalia sherehe?

    Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
  12. Mad Max

    Kuna swali hapa kwa waliooa au kuolewa na kufanya sherehe: Hivi uwa mrudi kuangalia video za shughuli yenu?

    Katika heka heka za kupunguza gharama za uendeshaji wa harusi, kuna hii budget ya videography. Hii sekta inaongeza sana gharama na inaweza kufika Mil 2-3 kizembe sana. Mara nyingi ukienda kwenye harusi utaona TV kadhaa zinaonesha live, macamera man kadhaa, drones na mataa ya picha. Hao ndigo...
  13. ELI COHEN

    Kinachoshangaza ni hawa vijana wa kiume kujishebedua zaidi hata ya wanawake walioalikwa. Iwe jinai kwa sherehe ya aina yoyote yenye maudhui haya

    Generation ya vijana chapati haiwezi koma kama normalization ya namn hii inaendelea katika jamii.
  14. Lupweko

    Vibe za sherehe ukumbini: Ipe maneno clip hii

  15. ELI COHEN

    Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

    LINDENI WATOTO WENU LA SIVYO WATAISHIA KUFANYIWA USODOMA Ukiwa masikini hawa wanawake wa mjini wanakuita mdhaifu ila ndio hao hao wa kwanza kufurahia kampani ya hawa chapati
  16. mdukuzi

    Jakaya Kikwete ungeachana tu na mambo ya siasa. Haitapendeza siku ukitutoka watu wafanye sherehe

    Umeifanyia mengi nchi hii Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
  17. Morning Glory1

    Viongozi wasiopaza sauti zao kupinga utekaji na mauaji mkifa kwetu wananchi ni sherehe

    Habari hii iwafikie wote na napenda kutoa angalizo tusije kulaumiana baadae na kutafutiana ubaya Kama wewe unajijua ni kiongozi wa serikali au ni kiongozi wa kidini au kama wewe ni msanii au mwanamuziki au mtu mwingine yeyote wenye ushawishi katika jamii ambae mpaka sasa haujatumia nafasi yako...
  18. M

    CCM wametufikisha hapa, Tangazo la kuzuwia maandamano ya wananchi wakifurahia pindi anapokufa mwana ccm litataanza kutolewa soon

    Tayari tumefika kubaya na hakuelezeki kabisa Haya yote yanajiri ni kwa sababu tu, CCM mmekosa huruma, mmekosa utu, mnazurumu, mnateka na kuuwa watu peupe pe na bila aibu Wananchi wataanzia wapi kuwaona kuwa nyinyi ni binadamu wenzao Kifo??? Wananchi wanaandamana kufanya sherehe? Kufurahia...
  19. Chizi Maarifa

    Nataka nimuoe huyu Lovely Emmy wana JF mje mshiriki sherehe napoopoa mtoto mzuri kipenzi cha dhati

    Lovely Emmy nahisi atakuwa mtoto mzuri laini laini na nyoronyoro mpya humu JF. Nataka nimuwahi kabla watu hawajamwaribu sana. Nimuoe Mimi nina wake wawili kwa sasa. Nahitaji mwingine wa 3 ila awe binti mdogo mdogo but na nyama awe nazo. Ndo maana naona lovely emmy ni chaguo sahihi mimi kumuoa...
  20. O

    Gharama za kufanya sherehe zinazidi kuchangamka

    Barua hii inajieleza yenyewe.
Back
Top Bottom