sheikh ponda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    LHRC, Sheikh Ponda wataka uchunguzi wa kina kifo cha mtuhumiwa wa ugaidi anayedaiwa kufia kwenye mikono ya Dola

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) pamoja na Jumuiya na Taasisi za Kiislamu (T), wametaka ufanyike uchunguzi wa kina juu ya chanzo cha kifo cha marehemu Sheikh Said Mohamed Ulatule ambaye anadaiwa kufia gerezani akiwa anatuhumiwa na makosa ya Ugaidi. Wito huo ambao umetolewa leo Machi...
  2. Mr Dudumizi

    Je, kuna usawa ndani ya CHADEMA?

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo chini. Ndugu wanajf wenzangu mimi pamoja na wapenda amani wengine tumekuwa tukishangazwa na siasa za vyama vya upinzani ambavyo vingi kama siyo vyote vimejaa udini na ukabila uliopitiliza...
  3. Mohamed Said

    Kitabu cha Sheikh Ponda "Juhudi na changamoto" kiko madukani

    KITABU CHA SHEIKH PONDA KATIKA MADUKA YA KUUZA VITABU Kitabu cha Sheikh Ponda ''Juhudi na Changamoto Kinapatikana Ibn Hazm Media Centre katika maduka yao ya kuuza vitabu yaliyopo katika Misikiti ya Mtoro, Manyema (Kariakoo) na Mtambani (Kinondoni). Kitabu In Shaa Allah kitapatikana mikoa yote...
  4. Mohamed Said

    Pitio la Kitabu cha Sheikh Ponda: "Juhudi na Changamoto" Peacock Hotel

  5. Mohamed Said

    Julius Nyerere, Julius Caesar, Sahib na vitabu vya Sheikh Ponda

    JULIUS NYERERE, JULIUS CAESAR, SAHIB NA VITABU VIJAVYO VYA SHEIKH PONDA Kuna rafiki yangu kaniambia kuwa wakati alipokuwa anafanyakazi katika shirika moja kubwa la kimataifa linaloshughulika na Afrika ndipo alipomjua Mwalimu Nyerere vizuri sana. Anasema hakuna kilichokuwa kinampita...
  6. Mohamed Said

    Kitabu kipya: ''Juhudi na Changamoto'' - kalamu ya Sheikh Ponda Issa Ponda

    KITABU KIPYA "JUHUDI NA CHANGAMOTO" KALAMU YA SHEIKH PONDA ISSA PONDA Sheikh Ponda Issa Ponda ameandika kitabu. Mwaka ni 1998 niko ndani ya basi la Raha Leo natokea Tanga. Karibu Maghrib inaingia basi linakaribia Msikiti wa Mwembechai. Msikiti huu ulivamiwa na askari wakakata umeme wakaingia...
  7. Mohamed Said

    Mabango ya kitabu cha Sheikh Ponda kwenye kuta za nyumba mitaani Dar es Salaam

    MABANGO YA KITABU CHA SHEIKH PONDA KWENYE KUTA ZA NYUMBA MITAANI DAR ES SALAAM Nakumbuka siku ya kwanza nilipokutana na Sheikh Ponda ilikuwa mwaka wa 1988 kwenye semina ya vijana Kiislam Iliyofanyika Chuo Cha Biashara Dodoma (CBE). Sheikh Ponda na kijana mmoja kutoka Zanzibar, Sheikh Salum...
  8. Mohamed Said

    Mna Nini Ndani ya Kitabu cha Sheikh Ponda?

    MNA NINI NDANI YA KITABU CHA SHEIKH PONDA? Ili kitabu kiwe kitabu lazima kiwe na elimu mpya yaani ile ambayo jamii haijui. Hii elimu mpya ndiyo roho, moyo na maisha ya kitabu kwani kitabu kina maisha na kifo kama binadamu. Kitabu kikikosa vitu hivyo kinaweza kufa mapema au kikafa katika...
  9. KING COBRA

    Sheikh Ponda: Haya ndiyo madai Muhimu ya Waislam

    Kumekuwepo na Upotoshaji juu ya Madai ya Waislam Juu ya kipengere Cha dini katika Sensa Kwanza kabisa Serikali ya CCM ndio wanaoleta Udini Katika Nchi na Kuwagawa Watanzania: 1. Mtu anapo kamatwa anaulizwa dini wakati polisi na serikali hawana dini. Hapa haki haiwezi kutendeka hasa...
Back
Top Bottom