sheikh ponda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Sheikh Ponda ajiunga rasmi na ACT Wazalendo

    Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda leo Alhamisi, Juni 5, 2025 ametangazwa kujiunga na Chama cha ACT-Wazalendo. === Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda leo Alhamisi, Juni 5, 2025 anatarajiwa kutangaza kujiunga na...
  2. M

    Sheikh Ponda alivyoeleza ukubwa wa tatizo la utekaji nchini.

    Gwajima yuko sahihi sana, alichokieleza siyo taarifa mpya kipya katika jamii. Taasisi na watu mbalimbali influential ikiwemo TLS, Shura ya maimamu, Maaskofu wamelipigia kelele sana hili tatizo la utekaji nchini. Hapa chini ni Sheikh Ponda akiwa katika kongamano la TLS akieleza ukubwa wa tatizo...
  3. Cute Wife

    PreGE2025 Sheikh Ponda: Spika anakuaje na wasiwasi wa taarifa za wananchi kuhusu utekaji badala ya kuzingatia wito wa kuchunguza?

    Wakuu, Hii ndio aina ya masheikh tunawataka huko BAKWATA, sio kukaa kuandaa dua za kumuombea mama wakati wananchi wanateketea. Tunahitaji viongozi wa dini wanaohimiza uwajibikaji na utawala bora. Sio mtu anajitokeza anaongea upuuzi mpaka aibu unaanza kuona wewe! ==== Sheikh Ponda amesema...
  4. Cute Wife

    PreGE2025 Sheikh Ponda: Inakatisha tamaa mtu kama Spika wa Bunge anapoelezwa kuhusu taarifa za utekaji anakanusha kuwa si sahihi

    Wakuu, Sheikh Ponda ametema cheche jinsi Spika Tulia alivyozingua na kucheza na maisha ya Watanzania kana kwamba matukio haya hayatokei na watu hawatekwei. ==== Sheikh Ponda amesema; "Namkumbusha Tulia Utekaji sio suala la kisiasa au la kubabaisha, ni suala linalohusu uhai wa watu. Ni suala...
  5. Inside10

    PreGE2025 Sheikh Ponda: Spika Tulia arejee taarifa za Bunge masuala ya utekaji yamewahi kufikishwa bungeni na Zitto Kabwe 2018

    Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa wito kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson kurejea kumbukumbu za Bunge, ili kuona namna Mbunge wa zamani wa jimbo la Kigoma mjini Zitto Kabwe alivyowasilisha hoja kuhusu uwepo wa matukio ya...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Sheikh Ponda: Hakuna Chama cha siasa nchini kinachohamasisha vurugu, viongozi wa dini wasipayuke bila utafiti

    Sheikh Ponda Issa Ponda amesema hakuna chama cha siasa nchini Tanzania kinachohamasisha vurugu, bali zinaakisi uwepo wa tatizo fulani. Ameeleza kuwa mtu mwenye busara anapobaini dalili za vurugu, anatakiwa kutafuta chanzo cha tatizo hilo ili kusaidia kulitafutia suluhisho. Kupata matukio na...
  7. Roving Journalist

    PreGE2025 Sheikh Ponda Issa Ponda: Ni muhimu kujiandikisha Kupiga Kura, unatumia haki yake ya Kikatiba

    Sheikh Ponda Issa Ponda ambaye ni Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania ametoa neno kuhusu mchakato wa Uandikishaji na uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura unaoendelea Dar es Salaam: Ulazima na Umuhimu uliokuwepo kwa Mwananchi kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Kupiga Kura ni kupata na...
  8. Inside10

    PreGE2025 Sheikh Ponda: Viongozi wa dini waache tabia ya UCHAWA

    Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda amesema anakereka na tabia za baadhi ya watu wakiwemo viongozi wa kidini kuwa na tabia za kusifia sana viongozi kupindukia(chawa) tabia ambayo pia imeingia hata kwa viongozi wa kidini. Sheikh Ponda amesema hayo alipokuwa akifanya...
  9. W

    PreGE2025 Sheikh Ponda: Watawala wamekaa sana madarakani kiasi kwamba wanaona wao ndiyo wamiliki wa nchi

    Sheikh Ponda ameeleza kuwa watawala nchi hii wamekaa madarakani zaidi ya miaka 60 wamefikia hatua wanaona kuwa hii nchi ni mali yao. Ameeleza kuwa ni muhimu kufanya mabadiliko kama mataifa mengine yafanyavyo ili kuleta maendeleo.
  10. Komeo Lachuma

    Sheikh Ponda Ahoji Uhalali wa Serikali: Vitendo vya Mauaji na Utekaji vinavyokithiri nchini. Watu wanauawa, Wanatekwa. Maisha ya Kinyama

    Siongezi wala sipunguzi. Sikilizeni kabla mods hawa delete huu uzi. Sheikh Ponda Issa Ponda ameibuka na kuonyesha kukerwa na vitendo vya mauaji na utekaji vinavyoendelea nchini. Katika maelezo yake, Sheikh Ponda amehoji uhalali wa serikali, akisema kuwa vitendo hivi vinaathiri usalama wa raia...
  11. Erythrocyte

    PreGE2025 Sheikh Ponda Issa Ponda aunga mkono Maandamano ya CHADEMA ya 24/01/2024

    Ponda Issa Ponda , ambaye ni miongoni mwa Mashehe Wachache wa eneo la Maziwa makuu wanaopigania haki , leo amejitokeza hadharani kuunga mkono maandamano ya Wananchi ya kupinga miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi Shehe Ponda amedai kwamba kimsingi yale maoni ya wananchi , Wadau na Taasisi...
  12. Roving Journalist

    Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

    SHURA YA MAIMAMU TANZANIA MASHEIKH SITA 6 WAHUKUMIWA KUNYONGWA ARUSHA LEO Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo tarehe 12/12/2023, imewasomea hukumu Masheikh tisa miongoni mwa wale wanaoshikiliwa na Serikali kwa zaidi ya miaka kumi katika Gereza Kuu la Kisonge Mkoani Arusha. Masheikh hao...
  13. Mohamed Said

    Sheikh Ponda Maktaba: Kadhia ya Kuwaunga Mkono Wapalestina

    Leo asubuhi Maktaba ilipata bahati ya kutembelewa na Sheikh Ponda. Kwangu ilikuwa furaha kubwa. Sheikh Ponda kaifuta vumbi Tanzania na kaifariji Palestina kwa kutoa mkono wa taazia kwa Wapalestina kwa msiba mkubwa unaowakabili. Wapalestina watawaandika wananchi wa Tanzania katika historia ya...
  14. Mohamed Said

    Sheikh Ponda Issa Ponda Alama ya Uadilifu

    Hapa ndipo penye mtihani wa BAKWATA. BAKWATA wanataka kuwa kiongozi wa Waislam. Kuwa kiongozi wa Waislam kunataka imani ya hali ya juu na kujitolea kwa lolote. . Kuwa kiongozi wa Waislam kunataka kumtegemea Allah na kutomuogopa yeyote ila Allah Pekee. Ponda kasimama dhidi ya dhulma za Baraza...
  15. Poppy Hatonn

    Kama Tanzania inataka kuwa neutral katika Gaza Crisis haina maana Sheikh Ponda anapaswa kupelekwa Mahakani

    Lazima tukubali kwamba watu wana uhuru wa kutoa maoni. Tufanye mambo ambayo yataonyesha kuwa Dr. Tulia alistahili kuwa rais wa IPU. Ni kama two sides of the coin. Tunazungumzia coin ile ile lakini kila mtu anatazama different side of the coin. Safarini kwenda Shinyanga.
  16. ELI COHEN

    Wewe Sheikh Ponda uanze kwanza kwa kuwaambia Hamas wawaachie vijana wetu waliowateka

    Eti maandamano kupinga vita dhidi ya palestina. Muisrael afanyi vita dhidi ya Palestina anafanya vita dhidi ya magaidi ya Hamas. Hakuna mnachoandamana cha maana dhaidi ya kutimiza itikadi zenu kama sio mbona hamjalia kupinga vijana Watanzania kuwa mateka chini ya hao Wapalestina wenzenu. Kisa...
  17. M

    Iwapo mwaka ujao Sheikh Ponda akisema kama Waislam tumeamua kumpigia kura Rais Samia

    Katika uchaguzi uliopita Sheikh Ponda allibukia kuiunga mkono CHADEMA na akatoa kuwa 'WAISLAM TUMEKUBALIANA KURA ZOTE ZA URAIS TUTAMPIGIA TUNDU LISSU'. Kauli hii iliungwa mkono kwa kiasi kikubwa na Waislam isipokuwa Bakwata ambao mkakati wao wamejiegemeza zaidi kwa CCM. Bahati mbaya kwa...
  18. J

    Shekhe Ponda: Kuna nini ndani ya "MUUNGANO" zaidi ya Fitna, majungu na kudumaza Maendeleo ya Raia? Ni heri turudi kama zamani

    Shekhe Ponda amesema: Tanganyika na Zanzibar ugomvi mpaka lini? Mara nyingi tumewazindua kutoka kwenye Jinamizi la " MUUNGANO' Dawa kila Taifa lirudi kama zamani tuishi kama Kenya na Uganda, Malawi na Msumbiji Shekhe Ponda amezungumza kupita Ukurasa wake wa twitter My take: Shekhe Ponda...
  19. Mohamed Said

    Kitabu Kipya: "Waliopotezwa Tanzania " Mwandishi: Sheikh Ponda Issa Ponda

    KITABU KINGINE CHA SHEIKH PONDA KIMEZINDULIWA: WALIOPOTEZWA TANZANIA. Katika kipindi cha miaka mitatu nimekuwa nikipokea vitabu kutoka kwa waandishi wakiniomba nifanye pitio yaani, "book review," kwa nia ya kuvitambulisha vitabu hivi kwa wasomaji na wananchi kwa jumla. Kitu kinachojitokeza kwa...
  20. Lord Denning

    Nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18

    Leo nimemsikia Sheikh Ponda akisema kuwa hakubaliana na Wizara ya Katiba na Sheria kupeleka muswada wa umri wa ndoa kuwa miaka 18. Anadai kuwa ni kinyume na dini ya Kiislamu kwa sababu miaka 18 ni sera ya Wakatoliki. Kusema kweli kwa maneno haya nimeanza rasmi kumdharau Sheikh Ponda kwa sababu...
Back
Top Bottom