sheikh ponda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Wanasiasa walifuta Baraza la Wazee TAA Siasa ikaanza kukosa watu muhimu

    Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, akizungumza kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa nchini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), amesema historia inaonyesha kuwa viongozi wa dini ndio waliotoa mchango mkubwa na kutafakari juu ya...
  2. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Jamii ya sasa inataka Tanganyika iwepo.

    Akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania leo Septemba 07, 2026, Sheikh Issa Ponda amesema suala la muungano linahitaji kufanyiwa maridhiano. "Kwa hivyo, jamii ya sasa, ndio hata tunapozungumzia G55, wao wanataka angalau hata hiyo nadharia iliyoelezwa ionekane...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Migogoro mingi tuliyokuwa nayo inatokana na muundo wa taifa, kuwe na maridhiano ya muungano

    Akizungumza leo Septemba 7, 2026, kwenye mkutano wa kujadili hali ya kisiasa, demokrasia Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema:
  4. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Uwajibikaji ni misingi mkubwa wa haki za binadamu, kama hakuna uwajibikaji, hakuna haki inaweza ikapatikana

    Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesisitiza kuwa uwajibikaji ndio msingi mkuu wa haki za binadamu na usalama wa wananchi. Akizungumza katika mahojiano na Crown Media, Agosti 28, 2026, Sheikh Ponda ameeleza kuwa uwajibikaji unahakikisha viongozi na watendaji...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Ponda: Tatizo lililopo ni kwamba watawala wetu hawaoni kama Tanzania kuna tatizo

    "Tatizo lililopo ni kwamba, yaani watawala wetu hawaoni kama Tanzania kuna tatizo. Yaani ukiwa ukiwaangalia, hawaoni kama kuna tatizo. Hawaoni kama kuna mapungufu makubwa katika mamlaka walizonazo na taifa letu kwa ujumla. Wao wanaona kama vile mambo yako vizuri, na vyombo vyao mbalimbali...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Viongozi wa Dini wana haki kama viongozi wengine

    Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM amesema Viongozi wa Dini wana haki kama viongozi wengine" Sheikh Ponda Issa Ponda Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania.
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Ponda: Tume ya Jaji Chande ilipaswa iseme mauaji ya Oktoba 29 yalikuwa halali au ya jinai

    Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza katika kipindi cha Kasri cha Crown FM amesema Tume ya Jaji Chande ilipaswa kuweka wazi iwapo mauaji yaliyotokea Oktoba 29 yalikuwa halali au ya jinai, pamoja na kueleza sababu zilizochangia kutokea kwa maandamano na kusababisha uvunjifu wa amani nchini. “Jaji...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Watawala wakubwa wanajihisi wao ni WATAKATIFU, Wananchi na wakosoaji ndio tatizo

    Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza na Wanahabari, Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mei 6, 2026. https://www.youtube.com/watch?v=1fog9mpal5Q UTANGULIZI Baada ya Tume ya Jaji Mohamed Othman Chande, kukabidhi vitabu vya ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 23 April, 2026 Ikulu ya Dar...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Mtu akikusanya matrilioni alafu akajenga banda la kuku huyo ni fisadi, BAKWATA wamekusanya matrilioni yako wapi?

    Sheikh Issa Ponda ambaye ni miongoni mwa Waislamu 12 waliofungua kesi dhidi ya Serikali (RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali) na BAKWATA leo Machi 12, 2026 amewavaa vikali BAKWATA juu ya matrilioni ya fedha wanayoyapata lakini...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Hatujashinda shauri kwa rushwa wala hatukupewa fedha yoyote na taasisi yoyote

    Sheikh Issa Ponda akijibu maswali ya Wanahabari hii leo Machi 12, 2026 katika uzinduzi wa Kitabu chenye tafsiri ya hukumu ya shauri namba 27603/2024 kati ya Waislamu 12 dhidi ya Serikali (RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali)...
  11. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Sauti ya kweli: Somo ya Sheikh Ponda kwa Jamii yetu leo

    Mimi sio Muislamu, lakini kauli yako wewe Sheik Ponda, ile iliyonukuliwa na vyombo vya habari leo hapa : https://www.youtube.com/live/kGULHq2MJVQ?si=6mc8j4GhNwZT6X3E imenigusa kwa kina. Kuna nyakati chache katika maisha ambapo mtu anasimama na kusema jambo ambalo linavuka mipaka ya imani...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Ponda awakataa BAKWATA, asema hajui vigezo walivyotumia kupongeza uchaguzi. Awafananisha na watu waliokaa sehemu nzuri na kutoa tamko

    - Asema Msimamo wa BAKWATA si wa waislamu wote - Pamoja na mambo mengine, Sheikh Ponda ameshangazwa na Rais kuipongeza Tume ya Uchaguzi kwa uchaguzi ulioonekana wazi haukuwa huru wala wa haki. - Asema kwa alichokisikia kwenye Hotuba ya Rais (akizindua Bunge la 13), haoni dhamira ya kweli ya...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Ponda alalama mawakala wake 35 kuzuiwa jimbo la Temeke

    Mgombea Ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya Chama cha ACT Sheikh Issa Ponda akielezea mchakato mzima wa usahili wa mawakala huku akisema kwenye zoezi hilo amefanikiwa kuweka mawakala wengi, licha ya mawakala 35 kuzuiwa, lakini bado yupo kwenye maongezi na tume kuhusu suala hilo.
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Ponda: Tutahakikisha katika uongozi wetu tunaboresha elimu, watoto watakula na kunywa bure

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Temeke kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema kuwa iwapo atachaguliwa kuongoza wananchi wa jimbo hilo, atahakikisha mfumo wa elimu unapewa uangalizi bora na unafanya kazi vizuri Akizungumza Oktoba 4,2025 kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Ponda Aomba Kura Temeke, Aahidi Kutetea Wananchi Kama Alivyofanya Mtwara

    Mgombea ubunge wa Temeke kupitia Chama cha ACT- Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, amewa-omba wakazi wa Temeke kumchagua kuwa mbunge wao ili kuweza kuwakilisha kero zao bungeni, ka-ma alivyowahi kufanya kwa wananchi wa Mtwara wakati wa mgogoro wa gesi na mambo yakawa sawa. Sheikh Ponda amesema...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Wanasiasa wanaamini wakiwepo viongozi wa dini kwenye siasa, dhamira zao za ubinafsi zitapata upizani mkubwa

    Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema wanasiasa wengi hawapendi viongozi wa dini kushiriki katika masuala ya siasa kwa sababu wanaamini hatua hiyo inaweza kuathiri maslahi yao binafsi. “Wanasiasa wanaamini kwamba wakiwepo viongozi wa dini kwenye siasa, dhamira zao za ubinafsi zitapata upinzani...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Zitto na Ponda Kupitia ACT wanafanya Islamic Radicalization kwenye Taifa Kwa kutumia Umaarufu wao wa Kidini na Kisiasa

    Hili wengi wenu hamlioni, na huenda linawapita kama Kivuli . Ushawishi wa Kidini alonalo Sheikh Ponda, SI wa kupuuza. Ushawishi wa Kisiasa alonalo Zito Kabwe nao pia SI wakupuuza hasa katika maeneo yaliyo na Idadi kubwa ya Uislam. Ukisikiliza Speech za Sheikh Ponda tangu ajiunge na ACT ...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Sheikh Ponda: Usigombee Ubunge

    Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu Mpendwa Sheikh Ponda, Assalaamu alaykum warahmatullah wabarakatuh, Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninakuandikia barua hii kama ndugu yako na Mtanzania ninayekuheshimu sana kwa mchango wako wa muda mrefu katika kupigania...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ameeingia ktk 18 za CCM

    Nasikia anaenda kugombea ubunge Kupitia Act wazalendo temeke. Nategemea atapewa na tume ya uchaguzi kura 50 ktk kura elfu 24 za mgombea wa ccm. Huu ndio utakuwa mwisho wa ushawishi wake Tanzania. Kabla ya hapo nguvu ya Ponda ilikua kubwa si kwa waislam nje ya Bakwata lkn hata ktk kupigania haki.
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo wathibitisha Sheikh Ponda kugombea Jimbo la Temeke

    Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, anatarajia kuchukuwa fomu ya kukombea ubunge na atawania nafasi hiyo katika jimbo la Temeke. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa jana Juni 23, 2025 kwa umma na ACT Wazalendo, Sheikh Ponda atachukua fomu saa tano asubuhi...
Back
Top Bottom