shamba

Sergei Shamba (Abkhazian: Сергеи Шамба, Georgian: სერგეი შამბა) is a senior politician from Abkhazia. He is currently a member of the People's Assembly of Abkhazia and Chairman of United Abkhazia. He was Prime Minister of Abkhazia under President Sergei Bagapsh from 13 February 2010 until 27 September 2011. Between 1997 and 2010 he had been Minister for Foreign Affairs under both Bagapsh and his predecessor Vladislav Ardzinba, with only a half-year interruption in 2004. Shamba has twice unsuccessfully participated in Presidential elections, in 2004 and 2011. He has been a staunch proponent for dialogue between Abkhazia and Georgia.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo?

    Swali kwa wataalamu: Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo? Nauliza kwasababu wagojwa wa figo wameongezeka sana Tanzania
  2. JamiiForums Tanzania Mgawo wa Umeme unaweza kuisha kwa kuanzisha Shamba la Kuvuna umeme wa Jua

    Kauli za Serikali kuhusu swala la Mgao wa Umeme zimekuwa kero zenyewe, maana kila siku kuna Vijisababu ambavyo havina majibu. Sasa mimi nashauri Serikali iangalie namna ya kupata mwekezaji, ambaye atatuletea huduma hii ya kuvuna umeme wa jua na kwa hili jua la Dar yaani umeme utakuwa unanguvu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Shamba la Kufugia Kigoma(Kasulu DC au TC, Uvinza au Kibondo), Karagwe au Biharamulo au Kahama. Kukodi au Kuuziwa Kabisa.

    Habari wanajamvi. Kama mada tajwa hapo juu. Natafuta shamba lenye ukubwa wa kuanzia hekari 20 hadi 100 kwa ajili ya kufugia. Vigezo! 1. Liwe na miti ya asili au vichaka au maotea/chipukizi za miti 2. Lisiwe na mgogoro wa aina yoyote 3. Muuzaji awe tayari kuonyesha nyaraka halali za umiliki wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kununua Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro

    Habari wakuu, Natafuta shamba kubwa ambalo limeshawai kulimwa au tambarare ambalo litakuwa rahisi kulimwa kwa mikoa niliyo orodhesha hapo juu. Siitaji shamba ambalo lina miti maana kuondoa miti ni gharama sana. Natafuta kwanzia heka 100 kwenda juu. Asante.
  5. JamiiForums Tanzania INAUZWA Massey Ferguson 135 na Massey Ferguson 158 Zinauzwa

    Habari, Ninauza hizi tractor mbili. Zote ni 2WD. Mtumba kutoka Uholanzi bila jembe/trailer. MF135-46Horsepower MF158-63 Horsepower Zimesajiliwa na kila kitu kinafanya kazi vizuri kabisa(Engine za Mbuni-Diff Kubwa, PTO, drawbar na zina connection za hydraulics). Hazijatumika Tanzania. Bei MF135...
  6. JamiiForums Tanzania Nataka niingie kwenye kilimo, kwa anayeuza eneo/shamba

    Habari zenu Wana JF, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, nataka niingie kwenye Kilimo na kama unavyojua kilimo chetu hapa kibongo bongo ni kwenye ardhi ingawa teknologia ya sasa unaweza ukalima hata ghorofani ila sana sana wengi wetu tumezoea kulima ardhini. Hivyo basi kama kuna mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa Bagamoyo

    Shamba lipo Zinga kwa Mtoro kilomita moja na nusu kutoka barabara kuu ya lami ya Bagamoyo(Bagamoyo road). Shamba lina ukubwa wa heka sita na nusu(6.5). Linafaa kwa matumizi ya kilimo, kujenga kiwanda, kujenga shule,kujenga godowns Shamba halina migogoro na document zote muhimu zipo. Bei ni...
  8. JamiiForums Tanzania Dondoo Muhimu Kuhusu Upimaji Wa Shamba/Kiwanja Chako Hapa Tanzania

    Utangulizi. Idadi ya mipango miji na vijiji kina kitengo cha upimaji na ramani. Kitengo hiki kimepewa jukumu la;- ✓ Kupima ardhi na ✓ Kutayarisha ramani (survey plan) za miji na vijiji. Ramani zinazo tayarishwa ni hatua za kubuni, kutekeleza na kuratibu mipango ya maendeleo juu ya ardhi kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Nilishauri Shamba la Mbagala tusilitumie kwani lina Nuksi na 'Citizens' wameshalizindika mno 'Kindumba' hamnielewi tu

    Sijui mnataka GENTAMYCINE niwe nawashauri vipi ili muwe mnanielewa na mfuate ninachowaambia. Yaani kila nikiwashtua mapema Wakulima wa Nyika ili msiumie huwa mnanipuuza. Na Wakulima wa Nyika tuna bahati sana leo kwani Nyuki Wakali waliotukamia kisawasawa, ila kwenye Vyura na Ice Cream huwa...
  10. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa Chalinze

    Shamba lipo Chalinze Pingo,usawa wa kiwanda cha tiles. Km 4 kutoka Morogoro road. Katika shamba kuna kijumba cha vyumba viwili choo na bafu Ukubwa eka 8 Pote milioni 12 Panafaa kwa kilimo na ufugaji
  11. JamiiForums Tanzania Mabwana Shamba wa Tanzania hupotelea wapi baada ya kuajiriwa Serikalini?

    Niliusikia msamiati "bwana shamba", tokea utotoni, lakini mpaka sasa sina uhakika kama nilishawahi kukutana nao, hasa walio katika ajira. "Madakatri" wa mifugo nimewaona. Na hata mabwana shamba wastaafu, lakini si aliyepo kazini Serikalini. Najua kila mwaka kuna wahitimu katika tasnia ya...
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji shamba la kulima Mahindi Mkoani Katavi

    Wakuu salama. Nahitaji shamba la kulima mahindi mkoa wa Katavi. Linaweza kuwa pori nisafishe au shamba la mtu anayehama. Wilaya ninazohitaji Ni: Tanganyika au Mlele Shamba la karibu na mto itapendza zaidi. Angalizo: Isiwe kwenye hifadhi yoyote. Leteni offa.
  13. JamiiForums Tanzania Sababu 30 Zinazopelekea Mmiliki Wa Kiwanja/Shamba/Jengo Kuuza Kwa Bei Nafuu

    Kuuza Kiwanja/Shamba/Jengo Kwa Hamasa Kubwa Hamasa ya muuzaji ni kile kinachomsukuma mmiliki auze ndani ya siku anazotegemea. Hamasa inaweza kuwa moja ya mambo yafuatayo:- ✓ Kutalakiana kwenye ndoa. ✓ Migogoro ya ubia miongoni mwa wamiliki wa kiwanja, au jengo. ✓ Kupoteza ajira. ✓...
  14. JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya endapo utakuta dhahabu kwenye shamba au kiwanja chako?

    Kwa Sheria za Tanzania, unaweza kumiliki ardhi lakini sio kilichopo chini ya ardhi kama madini. Ndivyo nijuavyo, labda kama utaratibu umeshabadilika. Inamaanisha kuwa hata ukigundua dhahabu kwenye shamba lako au kiwanja chako, hutaruhusiwa kuchimba mpaka uwe na leseni. Sasa chukulia ulikuwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba la heka 100 linauzwa Kibaha

    Shamba la heka 100 linauzwa lipo Kibaha: 1. Lipo umbali wa km5.4 kutoka morogoro road 2. Lipo barabarani 3. Limepimwa na lipo kwenye ramani ya mipango miji 4. Huduma za kijamii zipo kwa mawasiliano zaid +255674213079
  16. JamiiForums Tanzania Kijana wa Kukaa Shamba anahitajika

    Shamba lipo hapo Wilaya ya Kisarawe. Majukumu ya kijana ni kuweka mazingira sawa, kulima na kuhakikisha majani hayaoto kwenye shamba husika. Shamba ni la heka 2, halijapandwa zao lolote lina majani. Kuna nyumba katikati ya shamba ambayo ndio makazi ya kijana husika. Nyumba imekamilika inayofaa...
  17. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza shamba langu heka 3

    Habari wapendwa nauza shamba langu Lina heka 3 tu lipo kati kati ya Fukayosi na Kiwangwa karibu na Bakhresa, ni Mali halali lenye hati na linatambulika Serikali za mtaa kutoka barabaran kuu mpaka shamba lipo Ni dakika 25 Heka 1 - 1m WhatsApp 0715160365 Mimi ndio mmiliki
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kukodi Morogoro

    Habari za muda huu, Natafuta shamba la kukodi morogoro, ekari Moja au mbili. Liwe maeneo ambapo kilimo Cha umwagiliaji kinaweza kufanyika. Ahsanteni. Keygun Gershom
  19. JamiiForums Tanzania Pwani: Viongozi 24 wasakwa kwa kuuza Shamba la Wizara ya Mifugo na Uvuvi

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ametoa siku 14 wasakwe na kukamatwa viongozi 24 wanaotuhumiwa kujihusisha kuwatapeli watu na kuwauzia eneo la shamba la mitamba mali ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Viongozi wanaotafutwa ni pamoja na mabalozi, wenyeviti wa mitaa, watendaji walioshirikiana...
  20. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuoa mke mrembo ni sawa na kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya msingi?

    Nauliza tu wadau..si kwa ubaya...Nick wa pili alitumia muda mwingi sana kumnadi mkewe mtandaoni kwamba ni mrembo.Nahisi Kwa sasa anajutia sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…