shamba

Sergei Shamba (Abkhazian: Сергеи Шамба, Georgian: სერგეი შამბა) is a senior politician from Abkhazia. He is currently a member of the People's Assembly of Abkhazia and Chairman of United Abkhazia. He was Prime Minister of Abkhazia under President Sergei Bagapsh from 13 February 2010 until 27 September 2011. Between 1997 and 2010 he had been Minister for Foreign Affairs under both Bagapsh and his predecessor Vladislav Ardzinba, with only a half-year interruption in 2004. Shamba has twice unsuccessfully participated in Presidential elections, in 2004 and 2011. He has been a staunch proponent for dialogue between Abkhazia and Georgia.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Shamba heka 40

    Shamba linauza,lipo chalinze pwani Lina ukubwa wa heka 40 na kila heka moja inauzwa 1,500,000 Lipo umbali wa km6 kutoka morogoro road na huduma ya umeme ipo 📞 0719805851
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Zilipendwa Marijani Rajabu’Jogoo la shamba

  3. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja shamba budget yangu milioni 3 na nusu

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Nina 3.5 m cash kwa ajili ya Kiwanja kipatikane maeneo jirani na dsm km vile vikindu nk. Njoo na bei na sifa za Kiwanja chako. Mi ninataka kikubwa kiasi chake.
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duh! shamba la bibi linaendelea kuchumwa, shehena lakamatwa Marekani lililojaa wadudu kutokea Tanzania

    Wenzetu kwenu huko kila kitu kinachumwa kwa kwenda mbele, vyote hivyo ni dili, inashangaza kizazi cha sasa mnaojiita "walioelimika" bado mnaliwa kama ilivyokua kwa mababu zenu japo sitashangaa maana maprofesa wenu ndio hao wanafuata vikombe vya maji ya tangawizi Madagascar na kutangaza eti...
  5. J

    JamiiForums Tanzania DC Ole Sabaya: Siku CCM Arusha wakinishangilia nitajua nimeshaanguka kisiasa, nina hukumu ofisini ya kulifunga shamba la Mbowe

    Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mh Ole Sabaya amesema wanaccm wa Arusha wana kandarasi za majungu na ikitokea siku wakamshangilia au kumpongeza atajua anguko lake la kisiasa liko karibu. Sabaya amesema Greenhouse za Mbowe kule Hai zilikuwa zinatiririsha maji yenye kemikali kwenye vyanzo vya maji...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba pwani

    Wakuu natafuta shamba mkoa wa pwani ambalo litakidhi vigezo vifuatavyo: 1. Kuanzia heka 1 mpaka 5 2. Liwe wilaya ya kibaha, chalinze au bagamoyo 3. Karibu na barabara ya lami ya morogoro, au bagamoyo bypass (barabara mpya ya bagamoyo) 4.miundo mbinu muhimu kama barabara, maji na umeme iwe...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba mkoa wa Pwani

    Habari wadau wa ufugaji. Natafuta shamba liwe karibu na barabara za mitaa kiasi nilichonacho ni laki na nusu kwa kila heka. Nahitaji heka kumi. pia lisiwe Na migogoro yeyote.
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani (Covid19), tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya. Akemea Chanjo

    Kwa sasa kinachoendelea ni utambulisho wa viongozi ikiwemo wizara na idara za serikali. Waliokuwepo kwa uchache ni Dkt. Damass Ndumbaro, Medadi Kalemani ambae ni mbunge mwenyeji na waziri wa nishati, Dotto Biteko ambae ni waziri wa madini, Elias Kwandikwa waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa shamba la miti Chato kesho, Rais Magufuli kuwa mgeni Rasmi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya kuzindua Shamba la Miti Chato kesho Januari 27, 2021 katika eneo la Butengo, Wilaya ya Chato, Mkoani Geita. Wananchi maeneo husika pamoja na wananchi wote mnakaribishwa...
  10. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu zetu Watanzania, mtaacha kuwa shamba la bibi lini? Watu wanapiga hela kupitia kila kitu chenu, hadi vinyonga

    Naona hizi taarifa jamaa amekamatwa na furushi la vinyonga alilokua anasafirisha kimagendo kutokea Tanzania kupitia Ethiopia, yaani huko nje vitu kama hivi ni dili la kupiga hela, ila wenzetu wa kusini wao wapo wapo tu. Mambo kama haya yangetendeka enzi za mababu ingeeleweka, ila yanatendeka leo...
  11. ragin

    JamiiForums Tanzania Mheshimu yeye na uzao wake yule mwangalizi wa mirathi pale kijijini, kwakuwa hajauza hata robo ya shamba la urithi wenu

    Wale waangalizi wa Mali za wazee ambapo huteuliwa abaki kijijini ili kulinda ardhi na Mali zake pindi wazee wanapofariki kisha wenzake wanaenda mjini kujichanganya na maisha ya kimataifa. Kama mwangalizi huyo ameishi hapo mpaka amekuwa na wajukuu tangu mufiwe na wazee na hakuna hata kitu...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tunaiomba Serikali itueleze hatma ya shamba la mifugo la Utegi

    Sisi wananchi wa Vijiji sita vinavyozunguka shamba hilo tulipewa shamba hilo baada ya kukidhi masharti tuliopewa na Serikali. (1) Sharti mojawapo ni kutolipwa fidia ya uhamisho kwa wananchi waliokuwa wanaishi katika shamba hilo. (2) Kulipa kiasi cha Tshs.90,000,000 sharti lililotekelezwa na...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Geita: Mwanafunzi wa Kidato cha 2 auawa baada ya kutuhumiwa kuiba kuni kwenye Shamba la Miti

    Jesshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia Said Shabani (39) kwa kosa la kumuua Naomi James (17) mwanafunzi wa kidato cha pili, Shule ya Sekondari Kivukoni, mkazi wa Mtaa wa Nyatorotoro B, Kata ya Nyankumbu wilayani Geita Mkoani Geita kwa kumutuhumu kuiba kuni. Akizungumza tukio hilo leo...
  14. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba ekari 60 linauzwa Morogoro

    Shamba linauzwa Mkoani Morogoro, wilaya ya Mvomero, kata ya Turiani, kijiji cha Dihinda. Shamba lina mitiki ndani yake, minazi, michungwa na miembe. Shamba lina ukubwa wa hekari 60, lina bonde na miinuko, maji yapo karibu ukichimba kisima. Shamba liko umbali wa KM 5 Toka Barabara ya Turiani...
  15. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  16. hp4510

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba boy

    Jamani ni shamba langu liko Chanika, ndani yake kuna mazao kama migomba, mihogo na papai Sasa natafuta kijana ambae atakaa shamban na kuangalia mazao yangu na kumwagilia migomba Hapo shamban nimejenga chumba na sebule ambavyo anaweza kukaa Huduma za kijamii zipo za kutosha Kwa yoyote ambaye...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa

    Shamba linauzwa miono ,mkoa wa pwani,zipo eka Mia,Kila eka moja laki mbili na nusu,zipo pembeni ya mto wenye maji muda wote,linafaa kwa kilimo Cha umwagiliaji na Cha msimu,mazao yanakubali mahindi,matikiti,nanasi,mihogo,alizeti,ufuta,mitikiti,Nazi,migomba,embe ,michugwa n.k. Mawasiliano :0629075172
  18. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kanguru wanafukua mahindi shamba lote

    Jamani dunia inamajaribu kila ukijaribu kujikwamua kinaibuka kikwazo ufeli, Kunguru wanafukua mahindi yanayoanza kuota, wamekula shamba zima. Mwaka Jana panya walikagua kula mstari na kula mahindi yote niliopanda.Msaaada wa kuwadhibiti hawa viumbe. Panya nilijaribu kumwaga mahindi ya sumu...
  19. Snipper

    JamiiForums Tanzania Shamba eka 4 Kimbiji Kigamboni linauzwa

    Shamba lenye ukubwa wa ekari 4 linauzwa. Shamba liko Kimbiji wilaya ya Kigamboni, Dsm. Shamba liko mita 800 kutoka barabara kubwa ya Kigamboni Pembamnazi. Bei ni mil 7 kwa kila eka. Umeme upo karibu sana na shamba. Tuwasiliane kwa anayehitaji.
  20. Mduma Farms

    JamiiForums Tanzania Nauza vitunguu Maji, Shamba lipo Arusha 17km kutoka Arusha Mjini, Cash customer anicheki Kwa namba 0717329393

    Mjini, Cash customer anicheki Kwa namba 0717329393
Back
Top Bottom