House4Sale Shamba linauzwa kwa bei poa, Vikindu-Mkuranga

kifaulongo

JF-Expert Member
Nov 18, 2011
1,030
450
Hili Shamba lipo Inje kidogo ya Mji wa Vikindu-Mkuranga.

Siyo Mbali kutoka barabara ya Kilwa. Kutoka Vikindu kwenda Mbagala nahuri ya Daladala ni Tsh 400, k-koo nahuri ni TSH 600. Kwahiyo siyo Mbali na Dar.

Shamba lina ukubwa wa Hekali 3.
Kuna mikorosho 103 na Minazi 43.

Lipo sehemu nzuri. Barabara inafika. Lipo karibu na Umeme, Karibu na kiwanda cha Maji, Karibu na shule ya secondary, vilevile lipo kwenye makazi ya Watu.

Shamba linamilikiwa kihalari, kuna hati ya shamba nk.

Shamaba linaweza kutumika Kwa kilimo, makazi ya Watu, Biashara, Kujenga Shule, kufungua Kiwanda, pia Ufugaji nk.

Bei ya Shamba ni Tsh 20 kwa shamba lote.

Bei ya Shamba ni Tsh 9M kwa kila Heka Moja.

Wasiliana na 0753021619!!

Tangazo la 12/4/2021.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom