Natafuta shamba boy

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,451
6,325
Jamani ni shamba langu liko Chanika, ndani yake kuna mazao kama migomba, mihogo na papai

Sasa natafuta kijana ambae atakaa shamban na kuangalia mazao yangu na kumwagilia migomba

Hapo shamban nimejenga chumba na sebule ambavyo anaweza kukaa

Huduma za kijamii zipo za kutosha

Kwa yoyote ambaye yuko tayari anipm
 
Mshahara sh ngapi? Maana kulinda shamba na nyumba, kuangalia mazao, kumwagilia migomba, hiyo ni full time job. Usiseme kwa kuwa halipi kodi, bora mtu akulipe kodi na wewe umlipe mshahara wa hizo kazi zote
 
Nikushauri mkuu tafuta ndugu yake kijini aje kukaa hapo. La sivyo majuto yake hautokuja kusahau niulize hadithi yake naijua mimi. Unacheza na moto.
Ataiba ndizi au Ataiba kitu gani?
 
Kuna dogo ni mzoefu na amefanya sana hiyo shughuli nahakika atakufaa ilikua nimchukue mimi nikakwama mradi wa ngombe na kuku nakusogezea contacts anaweza kuwa bado yupo daslam
 
Jamani ni shamba langu liko Chanika, ndani yake kuna mazao kama migomba, mihogo na papai

Sasa natafuta kijana ambae atakaa shamban na kuangalia mazao yangu na kumwagilia migomba

Hapo shamban nimejenga chumba na sebule ambavyo anaweza kukaa

Huduma za kijamii zipo za kutosha

Kwa yoyote ambaye yuko tayari anipm
Nipo tayari.
Utanipa bei gani
 
ukihitaji miche zaidi ya migomba na papai,karibu sana SUA,tukuhudumie.Langu ni hilo tu boss😊
 
Back
Top Bottom