The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".
Mbunge wa Vunjo mh Kimei ameitaka Serikali kukopa fedha nje ili iweze kukamilishz miradi ya kimkakati ya SGR na Bwawa la umeme.
Kimei amesema ni lazima miradi mikubwa ikamilike kwa wakati hivyo Serikali ikakope kwenye soko la nje ambako riba ni nafuu kati ya 5% hadi 6%
Chanzo: Star tv...
Iwapo maamuzi ya kujenga mradi wa umeme wa rufiji yalifikiwa miaka ya 70 ningependa kujua ni hasara kiasi gani nchi imepata kwa kutotekeleza mradi huu.
Yaani kwa miaka takribani 50 CAG atueleze tumenunua umeme wa mitambo ya mafuta kwa Tsh ngapi?
Je, tumeshindwa kuendeleza uchumi kwa kiasi gani...
Maandalizi kwa ajiri ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Sgr kati ya Mwanza na Isaka yamekamilika. Na jiwe la msingi litawekwa wakati wowote na rais wa JMT, SSH.
Ziara ya kukagua maandalizi hayo imefanywa na waziri wa ujenzi Leonard Chamuriho akiwa na naibu wake Mwita Mwikabe na maandalizi...
Labda sielewi au nasikiliza vibaya pindi wataalam na viongozi wetu wanapo zungumzia usafiri wa reli kua eti ni usafiri wa gharama nafuu ukilinganisha na barabara.
Majuzi nilikua na tani 30 za mahindi ili nisafirishe kutoka Mbeya kuja Dar es Salam nilipoenda kuuliza bei nikaambiwa kilo moja...
Kuwa na reli ya kisasa inayokwenda kasi ni jambo la kiunchumi na kijamii/huduma. Lakini kutokana na hali yetu ya kiuchumi kuwa sio nzuri linafaa liwe la kiuchumi zaidi kuliko kihuduma. Yaani reli ya SGR lazima ituongezee mapato kuliko tutoa huduma, maana tanzania hatujaifikia luxury hiyo...
bbcCopyright: bbc
Waziri wa Afya nchini Kenya Ukur Yatani amekanusha taarifa kuwa nchi hiyo iko katika hatari ya kupoteza bandari yake kubwa kwa China ikiwa itashindwa kulipa deni lake kwa nchi hiyo, ambalo pesa zake zimetumika kwa ujenzi wa reli mpya.
Reli hiyo yenye umbali wa kilomita 472...
Hayo yamesemwa na Waziri wa ujenzi na uchukuzi Leonard Chamriho. Ameyasema haya baada ya kamati ya kudumu ya bunge ya miundo mbinu kutembelea na kukagua ujenzi wa mradi wa Sgr kipande cha Dodoma mpaka Dar es salaam.
Hivyo amesema kuwa safari za Dar mpaka Morogoro zitaanza mwezi Agost baada ya...
Kauli hii imetolewa na mkurugenzi wa TRC ndugu Masanja Kadogosa akiwa Malampaka mkoani Simiyu.
Kwa mujibu wa ndugu Kadogosa ni kuwa kutakuwa na kambi kubwa hapo Malampaka ambayo itachukua takribani watu 3000. Kipande hiki kina takribani KM 341 na kitagharimu tril tatu nukta sita za Kitanzania...
Kwa mujibu wa gazeti la The East African ni kuwa mfumo mzima wa umeme utakaotumika kuendesha treni kwenye awamu hii ya kwanza toka Dar mpaka Morogoro umekamilika. Na ulikuwa ufanyiwe majaribio mwezi mwishoni mwa mwezi April.
Mpaka sasa vituo vinne vikubwa vya kupoza umeme vimeshaunganishwa na...
Wazawa wazalendo wa nchi hii wanaendelea kurithi shughuli zote za SGR kutoka kwa Wachina, wamepokea mafunzo na elimu maalumu inayohusu teknolojia ya SGR, pia chuo kimeboreshwa kuendelea kupokea wanafunzi zaidi, safi sana ndugu zetu, tuiboreshe nchi yetu.
===========================
The Railways...
SGR NDIO MWAROBAINI KATIKA KASI YA UCHUMI WA TANZANIA.
Na Elius Ndabila
0768239284
Standard Geuge Railway (SGR) ni reli ya kisasa ambayo hutumia umeme. Ujenzi wa reli hii ya kisasa ya SGR tunaweza kusema inakuja kama mbadala iliyoachwa na Wakoloni. Historia inasema kuwa treni tunazotumia sasa...
Kenyans in the western region are set to enjoy the return of the rail service after a Ksh3.7 billion project to connect the Standard Gauge to the Malaba border was approved.
Treasury CS Ukur Yatani, in the supplementary budget for 2020/21, allocated funds for the line connecting Naivasha -...
Bandugu sehemu pekee ya kuambiana ukweli hapa Tanzania imebaki Jf maana sioni gazeti, radio au Tv ambayo inaweza kujilipua na kusema ukweli au kutoa wazo lenye mantiki ya ukweli ili kuiambia ukweli serikali yetu.
Mfano ni dhahiri kuwa ujenzi wa Sgr toka Dar to Morogoro ulipangwa kukamilika 2019...
The Ksh. 480 Billion ( $4.8 Billion ) Mombasa–Nairobi - Naivasha Standard Gauge Railway is a standard-gauge railway in Kenya that connects the large Indian Ocean city of Mombasa with Nairobi the country's capital and largest city and inland container depot of Naivasha. This SGR runs
Leo nimeenda kule chini kucheki ule mradi, nimebaki nashangaa tu yaani huu mradi mtasubiri sana. Wamemwaga hardcore alafu baadhi ya maeneo ardhi imeinuliwa hivyo kutengeneza mto ktkt ya SGR A na reli ya zamani sasa hapa drainage system ipo wapi au watatumia pump maana maji yana tabia ya kupenya...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa Kushirikiana na Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF) inapenda kuwaalika wafanyabiashara, watoa huduma, wakandarasi, wasafirishaji wa mizigo na wadau wote katika Kongamano la wadau utakaofanyika jijini Mwanza katika...
Kuna maeneo mawili ambapo wajenzi wa reli ya kisasa SGR wamefanya mchepuko wa barabara katika manispaa ya Morogoro,moja ni Kihonda na ya pili ni mbele kidogo Lutheran Junior seminary.
Shida kubwa ni kuwa hawamwagillii maji hizi diversion ni hii inasababisha vumbi jingi.
Mnaowakagua...
TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA)
Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka
Hicho ni kipande cha tano, ambapo kipande cha Kwanza ni kutoka Dar mpaka Morogoro, Cha pili ni...
Imeripotiwa na gazeti la Mwananchi la leo, januari 6;
Chato. Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya China, Wang Yi anatarajiwa kutua nchini Tanzania kesho Januari 7, ambapo pamoja na mambo mengine atashuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi wa awamu ya tano ya reli ya kisasa (SGR) inayotoka Mwanza...
Kenya ilikua imesitisha kukamilisha kipande kidogo kilichokua kimesalia cha kuunga hadi Uganda baada ya hao Waganda kutoonyesha "seriousness" kwenye hili la SGR, ila sasa wao wamesaka mkopo wenyewe na tayari wameanza mipango na mikakati ya ujenzi, kwa vile tulikua tumekamilisha asilimia kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.