sgr

The SGR-A1 is a type of sentry gun that was jointly developed by Samsung Techwin (now Hanwha Aerospace) and Korea University to assist South Korean troops in the Korean Demilitarized Zone. It is widely considered as the first unit of its kind to have an integrated system that includes surveillance, tracking, firing, and voice recognition. While units of the SGR-A1 have been reportedly deployed, their number is unknown due to the project being "highly classified".

View More On Wikipedia.org
  1. bahati93

    JamiiForums Tanzania Tahadhari nauli ya SGR itakuwa juu

    Habari Comrade, Nimekuwa nikihisi nauli ya SGR itakuwa kubwa hivyo natoa tahadhari kwa Comrade wenzangu msije pata mshituko siku zitakapotangazwa. Waweza kuwa unajiuliza kwa nini mtu huyu anadhani nauli itakuwa kubwa?, Sababu ni hizi UCHUMI kutokana na shilingi kupoteza thamani itakuwa na...
  2. juctn Mt

    JamiiForums Tanzania Mradi wa reli ya kisasa (SGR), mwamba wa changamoto za usafirishaji nchini

    MAY 27, 2019 HABARI, Na Paschal Dotto-MAELEZO Ni Takribani Miaka 120 ambapo historia iliandikwa, mwaka 1912, Serikali ya Kikoloni nchini iliamua kuimarisha sekta ya usafirishaji Kwa kujenga Reli, ambapo njia zake ziliunganisha Miji hasa maeneo ya kilimo, uzalishaji na kibiashara, reli kuu...
  3. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Zijue faida za mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa – SGR kipindi cha ujenzi na mara baada ya ujenzi kukamilika

    Kupitia sera ya kitaifa na mkakati wa nchi kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 ni Dhahiri na lazima kwa taifa kuwa na miundombinu imara. Ujenzi wa reli ni nguzo kubwa katika kuchochea na kupunguza gharama na muda wa safari kwa abiria na mizigo. Mataifa yenye nguvu duniani yamejengwa na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tukikamilisha miradi ya Stiegler's Gorge na SGR pekee. Ona habari hii na fanya hesabu kuhusu sisi kuendelea kukopesheka na utathimini tunaelekea wapi

    Jumatano iliyopita, Kampuni ya Arab Contractors ya Misri na Shirika la Umeme nchini (Tanesco), walisaini mkataba wa ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme kwenye Mto Rufiji, maarufu kama Stiegler’s Gorge. Utilianaji huo wa saini ulifanyika Ikulu, Dar es Salaam. Rais John Magufuli na Waziri Mkuu wa...
  5. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo changamoto kuu mbili mradi wa treni ya mwendokasi Dar ~ Moro

    Serikali ina wazo zuri. Serikali imeamua kuleta maendeleo hasa miundombinu ya usafiri. Mradi wa treni ya mwendokasi Dar Moro ambayo itakuwa inasafiri kwa speed ya 160 km/hr ni idea nzuri sana.Tatizo la mradi huu ni :- 1. Umeme wa uhakika muda wote treni iwapo kazini (?) 2. Reli zetu haziko...
Back
Top Bottom