serikali

  1. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mndolwa: Serikali ya Awamu ya Sita Imewekeza Trilioni 1.2 Katika Sekta ya Umwagiliaji

    📌NIRC Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi trilioni 1.2 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali katika sekta ya umwagiliaji nchini. Lengo ni kuboresha kilimo nchini, na kuongeza hali ya upatikanaji wa chakula ili kufikia adhima...
  2. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Serikali iongeze umri wa kuanza kubeti (na sisi wenye miaka 14 tupewe nafasi

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Nimeona serikali ikisema kubeti kuanzia ni miaka 18+. Sasa miaka 18+ niwazee hao na sisi vijana wa miaka 17- tunaitaka hii fursa ya mama samia ya kucheza kamari ambayo katuletea. Maana leo vituo vya habari vya taifa vyote vinahamasisha sasa hii inatunyima...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali Inaendelea na Ujenzi Barabara ya Amani - Muheza

    RAIS SAMIA: SERIKALI INAENDELEA NA UJENZI BARABARA YA AMANI - MUHEZA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea na ujenzi wa barabara ya Amani - Muheza (km 40) kwa kiwango cha lami ambapo Serikali inaendelea kutafuta fedha...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amezungumzia Mkataba wa Bagamoyo

    https://www.youtube.com/watch?v=VJmfnduWSJk The Chanzo imefanya mazungumzo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa juu ya masuala mtambuka ikiwemo suala la Serikali kuaminika kwenye taarifa inazozitoa kwa wananchi, Sakata la bandari Bagamoyo, matukio ya utekaji, utekelezaji wa miradi ya...
  5. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, hadi 1000 kwa sqm 1 au 500 kwa sqm 1. Ili kuongeza ajira kwa vijana kupitia viwanda vidogo

    Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, viwanja vya kuweka biashara. Kuuza kiwanja cha kiwanda kwa @20,000 kwa mita moja ya mraba au 30,000 kwa sqm au 50,000 kwa sqm ni bei juu mno na inaua uzalishaji wa bidhaa hasa kwa vijana na wazawa, hakuna kijana mwenye milioni 500 au 1B kwa...
  6. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Uingereza yasitisha msaada Rwanda kwa Kuunga Mkono waasi wa DRC

    Serikali ya Uingereza imetangaza kusitisha kuhudhuria matukio yanayoandaliwa na serikali ya Rwanda na kusimamisha msaada wake kwa taifa hilo la Afrika Mashariki kutokana na waasi wanaoungwa mkono na Kigali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Soma Pia: Serikali ya Uingereza yamuita...
  7. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto aoomba kukaa na upinzani kutengeneza serikali ya umoja

    WAKUU habarini za jion Naangalia itv hapa naona habari njema MH RAISI WA Kenya ameomba wakenya kuwa watulivu kwani sasa ameomba wapinzani kukaa pamoja kuunda serikali ya UMOJA Amesema hii nchi ya wakenya wotee na hakuna alie na HATI milki PEKEE Baba naona umerudi na nguvu mpya Ethiopia...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania NHC yaagizwa kuweka lengo la kutoa gawio la Tsh. Bilioni 10 kwa Serikali

    Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuweka lengo la kutoa gawio Serikalini la Tsh. Bilioni 10 kwa mwaka Ujao wa fedha. Kauli hiyo ameitoa katika Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa NHC kilichofanyika mkoani Pwani mapema, Februari 24, 2025. Akizungumza...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Serikali imuachie huru Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Wasio na Ajira, Joseph Kaheza

  10. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yatoa kanuni zitakazotumika kwenye Uchaguzi mkuu wa 2025

    Wakuu, Wakati CHADEMA ikikoleza moto wa ajenda ya No Reforms No Elections, Serikali ya Tanzania imetoa kanuni za Uchaguzi ambazo zitatumika kwenye uchaguzi wa mwaka huu. =========================================================== Serikali ya Tanzania imetangaza kanuni mpya za uchaguzi kwa...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zainab Katimba amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa Kubuni Miradi Ili Kuondokana na Utegemezi

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Zainab Katimba, amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kuendelea kubuni miradi ya maendeleo itakayoziwezesha kujisimamia badala ya kutegemea fedha kutoka Serikali Kuu. Mhe. Katimba ametoa maelekezo hayo...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Elon Musk awa mbogo kwa watumishi wakaidi wa serikali kukaidi kumtumia kwa email taarifa zao za kila wiki kuhusu kazi zao!

    Elon Musk amekuwa mbogo baada ya baadhi ya taasisi kukataa kutii amri yake ya wafanyakazi wote wa umma Marekani wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya wiki iliyoisha! Taasisi zilizokaidi amri yake ni pamoja Pentagon, FBI na State Department(Ofisi ya mambo ya nje) ambao...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami

    Serikali limetangaza imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami. Ujenzi huo utaanza rasmi baada ya kufunguliwa kwa zabuni ya mkandarasi mnamo Machi 6, 2025, ambapo awamu ya kwanza itahusisha kilomita 20 kutoka Soni hadi Bumbuli, hatua inayotajwa...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Serikali kujenga vituo vya polisi Ilala kuimarisha usalama

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema serikali itaendelea kusimamia na kutekeleza maagizo ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusu ujenzi wa vituo vya polisi ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao. Mpogolo amepongeza hatua za Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuhama kutoka Tamisemi kwenda Taasisi ya Serikali kwa kufanya usaili

    Habari wadau, Ivi mfano wew ni muajiriwa wa serikali Tamisemi, ukabahatika kupata kazi Taasisi kwa kufaulu usaili kama watu wengine, mchakato wa kuhama upo vipi? Naomba muongozo wenu natanguliza shukrani
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tandahimba: Serikali imekamilisha ujenzi wa kituo cha afya cha Maheha kilichogharimu milioni 400

    Baada ya miaka 16 ya kutembea kilomita 40 kutafuta huduma za afya, wananchi wa vijiji vitatu wilayani Tandahimba mkoani Mtwara hatimaye wamepata suluhisho. Kituo cha Afya cha Maheha kilichogharimu shilingi milioni 400 sasa kimeanza kutoa huduma na wananchi wengi hususan wanawake wamejitokeza...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Fisi wenye plate number: Ni kwamba Simiyu wapo mbele ya wakati au serikali ipo nyuma ya wakati?

    Tuziite plate number au chapa, kwa vyovyote ni utambulisho wenye mfumo unaoeleweka na wenye kuonesha umiliki. Kama kuna MALLA N7, basi MALLA N1, N2, N3, etc wapo pia, pengine kuna MALLA N2347, nani anajua? Huu mfumo wa utoaji plate number au chapa kwa fisi nani anausimamia? Tumezoea kuona plate...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yaendelea kutoa mafunzo kwa Walimu wa Sayansi na Hisabati, kupunguza uhaba wa Wataalam

    Mratibu wa Mafunzo Kituo cha Shule ya Sekondari Bagamoyo, Winchslaus Balige akizungumza katika mafunzo hayo. SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imechukua hatua madhubuti kukabiliana na uhaba wa wataalamu wa sayansi nchini kwa kuanzisha mafunzo endelevu kwa walimu wa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yaipongeza Benki ya CRDB kudhamini mashindano ya Quran

    Dar es Salaam. Tarehe 24 Februari 2025: Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kudhamini Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Quran yaliyofanyika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es Salaam. Pongezi hizo zimeetolewa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa aliyemwakilishwa Rais Samia...
  20. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Serikali ya JMT ambaye pia ni mgombea wa CCM akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    -
Back
Top Bottom