serikali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali hiki kitengo chenu cha mapato na leseni mbona hivi????

    Wafanyabiaahara na wajasiriamali wadogo wadogo mara kwa marq wamekuwa na malalamiko kwenye ulipaji wa leseni na kodi.Yani TRA hawaweki wazi kodi itakadiria kulingana na mtaji aliyowekeza mtu,mapato ghafi au faida,au kuwepo tu na biashara ndani ya frem imekula kwako utakamuliwa tu?Haya mambo...
  2. Trainee

    JamiiForums Tanzania Serikali iweke utaratibu wa kuhariri taarifa za NIDA kama tunavyohariri taarifa za mpiga kura

    Kama ilivyo kawaida yangu, Niliuliza kwanini kwenye uandikishaji wa wapiga kura watu wanarahisishiwa kwa kufuatwa kwenye vitongoji vyao na mambo yanaenda vizuri tu lakini kwenye swala la namba ya NIDA hawataki kuwasogezea wananchi huduma kwenye vitongoji vyao Nikajibiwa NIDA ni swala nyeti...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tuache utani, hivi inawezekanaje CCM na Serikali wakaupotezea msiba wa mtu muhimu sana kwa Taifa kama Profesa Sarungi?

    CV ya Profesa haihitaji kuelezewa sana. Huyu ni mtu, msomi wa mwanzoni kabisa wa nchi yetu, cream of the cream. Mtu aliyehudumia nchi yetu na wananchi, kwa moyo, vipaji na kwa nyadhifa kubwa kubwa. Mtu ambaye ni muasisi wa Kitengo cha MoI. Leo ukisikia maelfu ya vijana wanaopata ajali za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Prof. Sarungi: Serikali ililazimisha azikwe Dar ili kumkamata Maria Sarungi

    Hii ndio sababu kubwa ya Prof. Sarungi kuzikwa Kinondoni. Kwa ubavu serikali iliingilia kati na kuteka msiba na kulazimisha Marehemu Sarungi kuzikwa Dar. Kwa muda mrefu Serikali ya Samia inamtafuta Maria Sarungi kwa udi na uvumba. Hivyo walijua kuwa kama wakilazimisha msiba uwe Dar ni rahisi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie jicho mkata hotelini yanaposimama magari ya abiria kwa ajili ya chakula na" kuchimba dawa"

    Serikali ijikite kuangalia na kuchukua hatua kwa kituo cha mkata kwenye suala la Afya .Juzi wakati nasafiri kutokea Tanga tulisimama hapo kupata Chakula nilichukua takeaway wakati nipo kwenye gari nimeanza kula nikahisi nimekula Chakula kilicholala na kimechacha ilibidi nikitupe kwenye...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania TRA yavunja rekodi ya makusanyo miaka 4 ya serikali ya awamu ya 6

    TRA YAVUNJA REKODI YA MAKUSANYO MIAKA 4 YA SERIKALI YA AWAMU YA 6 Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda leo tarehe 12.03.2025 amewasilisha mafanikio ya TRA kwa kipindi cha miaka 4 ya Serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Katibu Tawala Mara asema Mikopo ya serikali sio zawadi rejesheni kwa wakati. Tusisahau mikopo waliopewa wasanii nao warejeshe harakaa

    Wakuu Katibu Tawala Mkoa wa Mara, Gerald Kusaya amewataka wananchi wa mkoa huo kutumia mikopo inayotolewa na Serikali kwa manufaa na kuirejesha kwa wakati ili iweze kuwanufaisha wengine wenye uhitaji. Akizungumza wakati alipokutana na timu ya wataalamu ya elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Serikali na TFF kusimama na Simba kipindi hiki.

    Wadau wa Michezo na Watanzania wote kwa ujumla,kama mlivyosikia ya kuwa uwanja wa Mkapa umefungiwa na CAF na timu yetu ya Simba hivi karibuni ina mechi ya Robo fainali ya mashindano ya CAF,kama Taifa,tunahitaji kuona serikali ikisimama na Simba kupigania maslahi ya Simba.Tarehe...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Bi. Mwanaamani Mtoo: Serikali imefanya jitihada kubwa kuwezesha wanawake kupiga hatua kimaendeleo

    Mkurugenzi Msaidizi, Sehemu ya Anuai za Jamii, Idara ya Uendelezaji Sera, Bi. Mwanaamani Mtoo amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya jitihada kubwa katika kuwawezesha wanawake kupiga hatua kimaendeleo. Bi. Mtoo ameyasema hayo leo kwenye Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Asema Serikali Imeruhusu Wananchi Walioajiriwa na Waliojiajiri Kujiwekea Akiba Katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

    MHE. RAIS DKT. SAMIA ASEMA SERIKALI IMERUHUSU WANANCHI WALIOAJIRIWA NA WALIOJIAJIRI KUJIWEKEA AKIBA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII *Amesema Tanzania mambo ni moto moto *Mhe. Makonda aishukuru NSSF kuwafikia wananchi waliojiajiri mkoani Arush *Kupitia kampeni ya Staa wa Mchezo wa NSSF...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KITIMOTO KUPANDA BEI WAKATI WA MFUNGO MNATUAMANISHA NN 11000-15000..SERIKALI MTUSAIDIE

    Habari za uzima Nkauliza tu mbona Hawa wah wanaouza kitimoto wakatili hivyo Toka tar 5 kitimoto inepanda JUMLA Toka 8000 mpaka 11000 Kawaida Toka 12000-15000 Hivi hamna dini NYIE wauzaji Mheshimun Mungu huu sio mda WA KUONGEZA bei ya vyakula kabisa
  12. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwa sisi ambao haipiti siku bila kugegeda,hili tangazo la serikali tulieleweje?

    Wakuu. Nimelia sana,kuona hili tangazo la serikali.
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa NSSF: Dhamira ya Serikali ni Kuhakikisha Wananchi Walioajiriwa Wananufaika na Hifadhi ya Jamii

    MKURUGENZI MKUU WA NSSF: DHAMIRA YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA NI KUHAKIKISHA WANANCHI WALIOJIAJIRI WANANUFAIKA NA HIFADHI YA JAMII. Awapongeza wananchi kwa muitikio wa kujiunga na kuchangia ili kujiwekea akiba kwa maisha bora ya sasa na ya baadaye kupitia kampeni ya NSSF Star Mchezo Mkurugenzi...
  14. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM ikubali kulamba matapishi ya makosa yake; yaani unatumia 5% ya GDP kujenga bwawa la umeme halafu uagize umeme nje? Mnajisikiliza??

    Watu wameng'ang'ania kujadili uhalali wa kuagiza umeme nje ya nchi. Kuna shida ingine kubwa haimulikwi. Tatizo haswa la Tanzania ni kwamba, baada ya ule mradi wa bwawa la umeme kupitishwa na kuanza rasmi, kuna kitu kingine kilipaswa kufanywa sambamba na mradi wa bwawa la Nyerere, nacho ni Power...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mshikaki wa serikali vs nyama choma ya wananchi unavyo watofautisha kwenye mipango yao swala ubaya .

    Mshikaki unabeba viungo ambavyo vinafanya mda mfupi kuiva haraka. Kwa mtazamo unaona kabisa serikali inaweza kuwa mshikaki sababu ina viungo vyote. Ukija upande wa nyama choma kwa wananchi hawa watu mpaka kuwa nyama choma wamechukua mda mrefu kuwa nyama choma. Maswala mengi ambayo yanafanywa...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni mtaji wa Serikali mnawalaumu TFF na Bodi ya ligi Bure tu

    Amini nawaambia hii issue isingekuwa simba/Yanga kuna timu ingekiona cha mtema kuni. Simba na yanga zinadekezwa na serikali na ndiyo jeuri yao kubwa TFF hawana meno. Kipindi kile game imesogezwa masa 3 mbele kisa birthday ya mwinyi yanga akachomoa bettry na hakufanywa kitu. Leo yametokea...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati haraka huu uharibifu wa akili unafanywa na Simba na Yanga; wakuu wa shule wameshaingiliwa nao

    Wanagroup huko linaitwa HMS TANZANIA. Huko tayari limejaa ujinga ujinga mtupu wa habari za Simba na Yanga. Lengo la group kujadili taaluma halipo tena.....muda wote ni mpira tu wa Simba na Yanga Huku Kila upande ukijitahidi kuwa muongo kwa Kadiri ya uwezo wake Ili tu kujifurahisha. Leo tena...
  18. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Zembwela Amkumbuka Magufuli, Asikitika namna serikali ya sasa inavyoibiwa kizembe

    "Siku moja mtanikumbuka, na mtanikumbuka kwa mazuri si mabaya" "Nimetoa maisha yangu kwaajili ya Watanzania, msifikiri mafisadi wanapenda" https://youtu.be/NaJCiQydU6U?si=i3Ux3On5vuQwMpuw
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Serikali kujenga mtandao mkubwa wa mabomba ya gesi pamoja na vituo vya kujazia gesi kwenye magari

    Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rashal Energies, Farhiya Warsame, inayojenga Bomba la Gesi kutoka Kisemvule hadi Mbagala (kilomita 19) jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo pia itajenga vituo vitano vya CNG...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Serikali yakamilisha ujenzi wa daraja linalounganisha Halmashauri ya Buchosa na Kijiji cha Lubanga, Wilaya ya Geita

    Wananchi wa Buchosa na Geita hatimaye wameondokana na kero ya usafiri baada ya ujenzi wa daraja linalounganisha Halmashauri ya Buchosa na Kijiji cha Lubanga, Wilaya ya Geita kukamilika. Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema daraja hilo lilikuwa moja ya changamoto kubwa aliyokuwa akiitafutia...
Back
Top Bottom