serikali

  1. JamiiForums Tanzania Serikali yafuta mradi wa Dege Eco Village

    Serikali imefuta ndoto ya kuendeleza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni jijini Dar es Salaam baada ya kujiridhisha kuwa itakuwa hasara kuendelea nao. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Juni 26, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti...
  2. JamiiForums Tanzania Je ni lini serikali itatua kero ya mawasiliano kwa maeneo yaliyo pembezoni mwa nchi?

    Katika halmashauri ya Wilaya ya Kyerwa Mkoani Kagera vipo vijiji ndani ya kata za Isingiro,Kaisho,Rutunguru Rubwera nk Hizi ni kata ambazo zimepakana na nchi za Rwanda pamoja na Uganda Huwapo ndani ya hizi kata mitandao ya mawasiliano ya simu ni shida kiasi kwamba ukiingia tu unaanza...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali inapokusanya Kodi inaweka AKIBA?

    Pamoja na kukusanya Kodi kwa ajili ya kazi za Serikali, jee Kila mwezi TRA wanapokusanya Kodi, watu wa Hazina huwa wanaweka AKIBA? Kuna mwaka tuliwahi kuweka akiba angalau ya asilimia kumi ya makusanyo ya Kodi? Au kila tunachokusanya tunakitumia?
  4. JamiiForums Tanzania Nimeiangalia Kenya kilichotokea jana. Serikali yetu msipuuze wananchi kamwe

    Kamwe msipuuze Wananchi. Wananchi wakipuuzwa na wakakasirika hugeuka kuwa wanyama tena zaidi ya wanyama wa mwituni. Msidhani kwamba yanayotokea Kenya hayatakuja hapa. Kenya ni karibu na Tanzania. Binadamu ni kiumbe kinachoiga. Mambo haya huanza kama moto ndani ya pori na kusambaza...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali mashabiki wa Simba ni muda wa kuipambania Simba

    Hapo vip! Kwa nature wa mpira wa Tanzania kuna umuhimu viongozi wa serikali ambao ni mashabiki wa Simba kama Majaliwa,Makonda,kigwangwala,zungu,speaker Tulia n.k kuipambania Simba kwa kuinusuru kugandamizwa na viongozi wahuni mashabiki wa yanga.
  6. JamiiForums Tanzania • Serikali yaipongeza tarura, miji 11 ikisaini utekelezaji mkataba wa Tactic

    SERIKALI YAIPONGEZA TARURA, MIJI 11 IKISAINI UTEKELEZAJI MKATABA WA TACTIC Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amebainisha kuwa Serikali inatambua jitihada na kazi nzuri inayofanywa na Wakala ya barabara za Mijini na Vijijini TARURA...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vituo vya Televisheni vya KTN na NTV vyaafungwa na Serikali ya Kenya baada ya kuendelea kurusha maandamano

    Wakuu, Vituo vya Televisheni vya KTN na NTV vimeondolewa hewani baada ya kuendelea kurusha matangazo ya moja kwa moja ya Maandamano, ikielezwa kuwa ni baada ya kukiuka amri ya kutoonesha matangazo hayo Soma Pia: Kenya: Serikali yaagiza vyombo vya habari kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya...
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yakataa kumshikilia Rais Ruto na maafisa wengine wa serikali kwa kudharau mahakama kuhusiana na uteuzi wa wajumbe wa IEBC

    Mahakama Kuu imekataa kushughulikia ombi la mdomo lililotaka Rais na maafisa wengine wa serikali watangazwe kuwa wameidharau mahakama kutokana na uteuzi wa wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), licha ya amri za awali za mahakama kusitisha mchakato huo. Katika uamuzi uliotolewa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania tusiruhusu tena Bunge Kibogoyo dhaifu kama hili, lisilo na Meno, kukosa Kambi ya Upinzani na kushindwa kuisimamia Serikali kikamilifu!

    Wanabodi Makala yangu gazeti la Mwananchi la leo Bunge la 12, linatarajiwa kuvunjwa hivi karibuni, hii ni makala ya kuwaomba Watanzania tusiruhusu tena Bunge lisilo na kambi rasmi ya upinzani kama Bunge hili la 12!, limekuwa ni Bunge dhaifu kutokana na kukosa meno, hivyo limekuwa kama ni Bunge...
  10. JamiiForums Tanzania TBT; DC Londigo: Serikali ilihusika wagombea kupita bila kupingwa 2020

    DC Longido akiri hadharani "Serikali ilihusika wagombea wa CCM kupita bila kupingwa 2020"
  11. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yawanasa na kuwaweka mbaroni wairan.700 kwa kushirikiana na Mossad wakati wa mapigano ya siku 12 na Israel

    Iran arrested 700 people accused of wartime ties with Israel, state-affiliated media says By Reuters and ToI Staff Today, 7:30 am Share 1 Iran has arrested 700 people accused of ties with Israel during the 12-day conflict, the state-affiliated Nournews reports. Iran has executed a number of...
  12. JamiiForums Tanzania Mwigulu afafanua utofauti wa deni la Serikali na deni la Taifa

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kutopata hofu kuhusu deni la Taifa pale linapotangazwa, kwani deni hilo lina sehemu kubwa inayoenda kwenye upande wa kampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa. Dkt. Nchemba amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali itafute njia sahihi ya Magari ya Mizigo yaliyopo eneo la DUCE

    Pale eneo la Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE) na karibu pia na ulipo Uwanja wa Benjamin Mkapa kuna magari makubwa yanaziba barabara na mbaya zaidi magari hayo yanageuzia kwenye geti la uwanja huo. Watu waonaotumia barabara ile kuelekea Mbagala na kwingineko wamekuwa na changamoto kubwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mwijaku ana immunity gani ya kumuwezesha kudhalilisha watu atakavyo?

    Inamaanisha kuwa chawa wa CCM ndio kunampa ruhusa ya kudhalilisha watu atakavyo. Japo kwa Tanzania kila kitu kinachukuliwa poa, ila kuwepo na ukomo wa udhalilishaji. Mwijaku amevuka mipaka ya udhalilishaji. Kwa nchi zinazojielewa Mwijaku ilipaswa iwe keshasimamishwa kazi hapo Crown kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinazotumia lugha zao asili za Kibantu kwenye elimu, serikali na jamii yote

    Hapa kuna muhtasari wa nchi za Afrika zinazotumia lugha zao za Kibantu kama lugha ya kufundishia na pia katika shughuli za kiserikali, kwa Kiswahili: 🇹🇿 Tanzania Lugha inayotumika: Kiswahili (lugha ya Kibantu) Elimu: Shule za msingi: Kiswahili ndicho kinatumika kama lugha kuu ya kufundishia...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanafunzi UDSM: kusipokuwepo uwajibikaji mwananchi ndiye anadhurika, No reforms, No election itaiwajibisha serikali

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Martin Samson Abdul ameeeleza kuwa kampeni mbalimbali za uchaguzi zinazoendelea kuhimizwa nchini Tanzania zipo kwa maslahi ya nchi lakini akibainisha kuwa kampeni ya No Reforms No Election inaweza kuangaliwa kwa jicho la kipekee dhidi ya kampeni...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wanaharakati kufungua kesi dhidi ya serikali juu ya kukamata mali zake kwa utekelezaji wa hukumu

    Habarini, Hili limekuwa janga kubwa wananchi wanaidai serikali halafu serikali haijali pamoja na waanchi kushinda kesi mahakamani. Viongozi wa serikali wanafuja pesa za serikali kwakununua maV8,posho,nk wakati wanadaiwa na wananchi. Hii haiingii akilini kabisa linapaswa kupingwa mahakamani vikali.
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yafyeka mishahara ya watumishi

    ….
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali kupunguza aya mateso ya UDART waruhusu njia hizo kuwe na daladala

    Ushauri kwa serikali kuhusu mfumo wa biashara hii ya mabus uwepo ushindani na mabasi ya daladala yawepo alafu mwananchi ataamua mwenyewe apande lipi tofauti na sasa
  20. JamiiForums Tanzania Mkristo anayejitambua anajua yeye ni Mwanadiplomasia wa Serikali ya Mungu. Haripoti chochote kwa mtu kabla ya kuongea na Serikali yake.

    Niwatakie jumapili (siku ya kwanza ya juma) njema. " Uraia wetu uko mbinguni" Wafilipi 3:20 Ni hayo tu Mtumishi Matunduizi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…