Hamjambo!
Kete pekee ambayo imebaki kubadili upepo wa kile kinachoendelea ndani ya taifa hili ni kumtoa Tundu Lissu hasa nyakati hizi ambapo Kampeni za uchaguzi zitakuwa zimepamba moto..
Kumtoa Tundu Lisu Mahabusu kutaipa nguvu Serikali na kuondoa kelele zinazoendelea na matukio mapya...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amesema kuwa Tunaishauri Serikali iondee kesi ya Lissu Mahakamani kupitia kwa DPP.
Amesema "Lissu hakuongea gizani, bali aliongea hadharani, na wote tunajua kuna kauli kali zaidi zilitoka kuliko za Lissu, lakini zile ni kauli za...
Vijana Kama Mdude , ni vijana waliopotezwa bila huruma
Hao Chadema ambao unawapambania , ukifa wanakuwa hawana habari na wewe wala familia yako.
MTU kama Mdude , Soka n.k wametumika kwenye chama wamepotezwa huku Mbowe akila bata na hawazi lolote.
Inasikitisha sana .
Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican?
Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo?
Ni udini ?
“Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu inataka maadili gani ambayo hayatokani na dini?"
"Lakini kupitia uongozi wako (Rais Samia Suluhu)...
Kumekuwa na wimbi kubwa la washauri na wakosoaji wa masuala mbalimbali yanayofanywa na Serikali jambo ambalo linaloteteresha utangamano wa Kitaifa.
Tumeshuhudia Wazee ambao kwa kweli ushauri wao ni muhimu wakishauri kwa kukosoa au wakishauri vijana kukosoa pale wanapoona kuna ukakasi...
Mtu namdai laki 1 tu,lakini huu unaenda mwezi wa 2 sasa,kila mshahara ukitoka jamaa anasema ana vipengele vingi hivyo nimvumilie.
Huu sio uungwana kabisa
Hamjambo!
Pamoja na Polepole kubwa muasi katika genge analolituhumu kwa uhalifu na uharamu. Na simuamini Sana lakini anayoyaongea yanauzito na ukakasi Mkubwa.
Kusema CCM ni majizi ya Kura huku chama hicho ndio kinaunda serikali ni kujaribu kueleza kuwa Tanzania serikali yake ni matokeo ya...
Lissu alivyo ongelea makaa ya mawe ya Rostam siku kutoka juu ikaona ni uhaini. Tanzania tunahitaji kujikomboa kutoka kwa hawa wapigaji mkisubiria Chadema peke yao ingawa ni wazalendo wanazuiwa kwa mbinu zote. Ukikaa kimya maana yake umekubali hawa jamaa ndiyo wawe watawala wetu bila kuteuliwa...
Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake.
Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
Tunaweza kusena Rais au Serikali huwa hazifungi watu, ila bila msukumo kutoka kwa Rais au Serikali take basi basi mafisadi hawawezi kufungwa,
Rais huwa ndio anateua DCI, DPP, ambao ndio hukusanya ushahidi, kuandaa mashahidi, na kufungua kesi ni watu instrumental kwa mhalifu kufungwa au...
Siku hizi hapa JF sio sehemu ya kutoa elimu sana kujaza maneno mwisho wa siku uzi wako wakaufuta au kuweka Hidden watu wasiweze kupata taarifa maana unawagusa watawala ambao tukiwashtua watatumia mbinu kukwepa.
Tuwe na DMZ sasa.
Mfano wa nchi ambazo kama tutajifunza kwao ni Kipindi cha Uganda...
Just for curiosity, kuna matendo yanafanywa na serikali wazi wazi kuwa yanayoakisi UHAINI WA SERIKALI dhidi ya wananhi wenye mamlaka, maana mamlaka ya serikali yanatoka kwa wananchi!
Kama serikali inafanya uhaini dhidi ya wananchi, kwanini wananchi nao wasifanye uhaini dhidi ya serikali ambayo...
Msanii Mkongwe Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro maarufu kama Chidi Benzi ameruhusiwa kurejea uraiani na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupamba na Dawa za Kulevya wakishirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa walioshiriki kumpeleka katika Nyumba ya Matibabu kwa walioathirika na Madawa ya Kulevya (Sober...
Binafsi sipendi kabisa kwenda hospital za serikali ukifika watumishi wana jifanya wapo bise kuliko kawaida una jielezea shida yako DR wakiume ana kuangalia kwa jicho
La dharau sana
Ukija TRA hapa sito enda tena namtuma mtu afwatilie nipigiwe simu tu uki ingia ofisi zao wana jifanya kama hawa...
Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe ni mpiga kura wa CCM utake usitake.
Ninakumbuka Ufunuo wa Yohana kuwa siku za mwisho hutaweza...
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema mpumbavu sio tusi hivyo uzi huu sio matusi bali ni ukweli ulio halisi
Baada ya kusikiliza press ya Polepole alivyosema kuhusu mfumo wetu wa utambuzi wa uraia umekuwa compromised kwa faida ya majinga ma CCM hitimisho langu kuu ni kwamba
Hakuna Nchi yenye Watumishi...
Baada ya kumsikiliza Polepole nimegundua kuwa ni kama vile Serikali (Rais) ilikuwa inajitahidi kuiteka Dola na kujaribu kuikumbatia au kuizunguka.
Dola imeng'amua hilo na sasa Dola imeamua kupambana na serikali na ikibidi kuiangusha serikali, kuiua au kuisambaratisha kabisa.
Ndani ya muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.