serikali

  1. Y

    JamiiForums Tanzania KERO Kina mama waliojifungua Hospitali ya Jitimai Zanzibar kitanda kimoja wanalala watatu, tatizo ni nini wakati kila wilaya ina hospitali?

    Jana nilipoenda Hospitali ya Jitimai Zanzibar kumuangalia mjamzito nimekutana na changamoto wanayoikumba wakina Wamama baada ya kujifungua. Kitanda kimoja wanalala Wazazi watatu na watoto wao sasa tatizo sijui ni nini licha ya kuwa kila wilaya sasa hivi Zanzibar wana hospitali yao.
  2. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wa serikali kuwapima wanafunzi UKIMWI na MIMBA

    Kwangu haya mawili ni majanga makubwa kuliko majanga yeyote yaliyowahi kuwapata watoto (wanafunzi. Naiomba serikali na wizara husika kuchukua hatua ya haraka ikiwemo ya kupima UKIMWI NA MIMBA kwa lazima kila wanaporudi likizo. Pia kuwepo na njia salama za kutoa wanafunzi mimba changa pale tu...
  3. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania Kwanini bajeti ya serikali isipangwe kutokana na uhitaji wa mkoa husika?

    Habarini? Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kufuatilia mpambano baina ya Iran na Israel ambapo tunayo mengi ya kujifunza kutokana na teknolojia za hali ya juu zinazotumika na nchi zote mbili katika mzozo huo. Ni leo ikiwa siku ya tatu tangu bajeti ya serikali ya mwaka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nawaonya Simba, Serikali imeshapanga mechi ya derby ni tarehe 25.06.25 , Ole wake atokee mtu aongee kitu au kupinga Atashughulikiwa Ipasavyo.

    Ndio nimeona timu ya Simba Sports Club , almaarufu Makolo FC wameweka Mgomo Baridi na hii nimejua kupitia mambo mawili, la kwanza Simba hawajapost wala kutoa taarifa kwa Umma kuwa Derby imesogezwa mpaka tarehe 25.06.2025. Pia nimeona kupitia Comments za mashabiki mbalimbali wa Simba wakiwa na...
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba

    Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba. Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya serikali, kuanzisha chombo kitakachodhibiti suala la mavazi vyuoni

    Muonekano na tabia ya mtu daima hupambwa na mavazi. mavazi hubeba dhima kuu za tabia ya mwanadamu kisaikolojia . Na ndio, maana hata tapeli, nyakati nyingine, akitaka kumkwida mtu huangazia kwanza muonekano wa mtu, uliobebwa na mavazi . kifupi yako mavazi ukivaa hata kama moyoni unajiona...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kama serikali inaingilia mambo ya soka basi hili soka letu halina maana kabisa

    Nimesikitishwa kuona Rais anawaita viongozi wa Simba na Yanga ikulu. Niseme tu hizi timu zimejipa ukubwa wasiostahili. Ikitokea kwa akili yangu nikawa kiongozi wa nchi,siwezi kucheka na aina ya watu wanaotumia nguvu ya watu walio nyuma yao kufanya watakavyo. Nchi inatakiwa kupambana na mambo...
  8. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Ni muda Sasa serikali iachie mipaka Wakenya waendelee kutuletea vifaranga. Wazalishaji wa Tanzania wamelala mno

    Kwanza inatakiwa utoe oda zaidi ya siku14 ndo upate vifaranga. Vifaranga vyenyewe wamechakachua ubora hafifu! Ona bei zao wanajipangia wanavyopenda wao. Ukikoswa mzigo Hadi uanze kuwa bembeleza na kuwauliza kwahiyo lini nitapata mzigo !? Company nyingi zipo kitapeli na uhuni mwingi wanajari...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kusomwa kwa Bajeti leo, Morogoro na Bagamoyo Gesti zote zimejaa tangu wiki iliyopita watumishi wa Serikali wanamalizia mafungua

    Leo Juni 12 mwaka 2025 nilikwenda Morogoro kwa shughuli zangu za kibiashara kuanzia Msamvu mapa Masika na Mjini yote nyumba za kulala wageni (Gest house) zimejaa Nikiwauliza wenye nyumba hizo za kulala wageni kulikoni sio kawaida hii hali wakaniambia Watumishi wengi wengi wa Umma wako mji huu...
  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza kodi kwenye Betting

    Serikali imeongeza kiwango cha kodi kwa washindi wa michezo ya kubashiri (Betting) ambapo Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema Ongezeko la kiwango hiko cha fedha kitakachopatikana, asilimia 70 itaenda katika mfuko wa serikali kupambana na Ukimwi na asilimia 30 kuchangia mfuko wa bima ya...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kusambaa kwa Vinywaji Chonganishi na Vivuto pia. Serikali iingilie kati

    Kumekuwa na mlundikano wa vinywaji chonganishi au vinywaji vikali vya bei pwaaaa. Kwa wao wanaita visungura na vibom. NAITA VINYWAJI CHONGANISHI KWA KUWA MARA NYINGI VIMEKUWA VIKICHONGANISHA WANYWAJI NA WASIO NA PIA WANYWAJI NA SERIKALI. HAVILETI AMANI KWA WATUMIAJI. Lakini pia kumekuwa na...
  12. McLaren

    JamiiForums Tanzania Serikali yapunguza kodi kwenye vinjwaji aina ya Energy Drink

    Wakuu, Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amependekeza kupunguza kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) vinavyozalishwa ndani ya nchi kutoka Sh561 kwa kila lita hadiSh134.2 kwa kila lita. Akiwasilisha hotuba ya bajeti ya Serikali ya mwaka 2025/2026 leo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanzisha ada ya magari yanayoagizwa nje ili kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    Uanzishaji wa Vyanzo vya Mapato kwa Ajili ya Kudhibiti Maambukizi ya Ukimwi na Kugharamia Bima ya Afya kwa Wote Kutoza magari na mashine (heavy machines) zinazoingizwa kutoka nje ya nchi kama ifuatavyo: Shilingi 50,000 kwa magari yenye ukubwa wa injini (CC) kati ya 0 -1000; Shilingi 100,000 kwa...
  14. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Licha ya No Reforms No Elections, Serikali ya Marekani bado inaiamini sana Tanzania

    Shirika la Fedha la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (DFC) wiki hii lipo nchini Tanzania kujadili mikakati ya jinsi ya kuwavutia wawekezaji wa Kimarekani kuja Tanzania ili kushirikiana na makampuni ya Kitanzania, hasa katika sekta za miundombinu na madini muhimu. Kaimu Balozi Andrew Lentz...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nadhani kiongozi wa serikali aliyepiga simu kuzuia geti ni Mwana FA

    Kwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu waziri amekuwa kiongozi wa kutengeneza migogoro pale TFF Huyu naibu waziri ametoa matamko ya kutia...
  16. Inside10

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila: Utafiti unaonesha Watanzania wengi wanaikubali Serikali yao

    “Tathmini inaonesha kuwa wananchi walio wengi wanaridhishwa na utendaji wa serikali katika kutekeleza programu na miradi ya maendeleo. Kwa mfano, utafiti uliofanywa na Taasisi ya Afrobarometer mwezi Juni – Julai 2024 ulionesha kuwa asilimia 71 ya wananchi waliohojiwa walisema wanaridhishwa na...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kununua Tani 200,000 za Mbolea kulinda Viwanda vya ndani

    Kauli aliyotoa Waziri wa Kilimo Hussein Bashe jana Juni 11,2025 Dodoma Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema kuwa Serikali itanunua tani 200,000(Laki mbili) za mbolea ili kuzipeleka katika maeneo ambayo matumizi ya mbolea bado ni madogo, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kulinda viwanda vya...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 45 Juni 12, 2025 Dodoma

    Leo Juni 12, 2025 Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba atawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026, nini vitakuwa vipaombele vya serikari? Matarajio ya Wanachi, Taasisi na Asasi za Kiraia yatafikiwa? Kabla ya kuwasilisha hotuba hiyo, Bunge linapitisha hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na...
  19. Lavit

    JamiiForums Tanzania Kwa hii barabara bado tunaweza sema tuna serikali ya watu wenye akili?

    Hii ni barabara ya Njombe Songea, upana wake hata barabara za mataani zina nafuu. Kila siku tunalalamika ajali, ila kwa wembamba huu wa barabara lazima tuendelee kufa tu. Sasa sijajua kwa barabara ilikuwa kwa ajiri ya majaribio (demo) au ni kitu gani!
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hashimu Rungwe aitaka Serikali kutoa Chakula bure kwa Wagonjwa na Wanafunzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) taifa, Hashimu Rungwe ameitaka Serikali kutoa ruzuku kwa hospitali zote nchini pamoja shule zote za msingi na sekondari ili wagonjwa wasio na ndugu wapate chakula bure huku wanafunzi ambao wazazi wao hawana uwezo wa kuchangia chakula shuleni...
Back
Top Bottom