serikali

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mamlaka za Serikali zichunguze Mradi wa Kongani la viwanda Maranje wenye thamani ya zaidi ya Sh Bilioni 300

    Serikali kupitia Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) inatekeleza mradi wa Kongani la Viwanda vya Korosho wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 300 katika eneo la Maranje, Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani Mtwara, unaolenga kuongeza ubanguaji wa korosho ndani ya nchi ifikapo Mwaka 2030. Hata...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa Wafanyabiashara wapya ila TRA bado wanakomaa nao, msamaha ulifutwa?

    Kama sikosei, mwaka huu 2026 Serikali ilitoa utaratibu wa kuwaruhusu wafanyabiashara wapya kufanya biashara kwa kipindi cha mwaka mmoja bila kutozwa kodi, ikiwa wamejisajili na kupata namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN), na suala hilo lilipitishwa na Bunge. Swali langu ni moja: kwa nini...
  3. JamiiForums Tanzania Ugaidi na Usalama wa AFCON 2027: Je, Kauli za Serikali Zinakinzana?

    Kwa kipindi sasa, Serikali imekuwa ikieleza kuwa nchini kuna vitisho vya ugaidi na kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea kuchukua hatua za kuzuia na kukabiliana navyo. Wakati huohuo, Serikali imeendelea kuwahakikishia Watanzania, wageni na mashirikisho ya soka kuwa Tanzania iko salama...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi ni mali ya serikali na kisheria kuanzia kikatiba,polisi mpaka mahakamani.

    1.Uhai. 2.Kinyeo. 3.Sehemu za jinsia KE au Me. 4.Viungo vya pilau vya mwanadamu. 5 .Haki 6. Basic needs 7.Rasilimali za nchi na mali.
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hili la DCwa kisarawe anatuamisha kwamba serikali haiwezi kushitakiwa mahakamani

    Msikilize hawa ndo wanaokwamisha Katiba mpya
  6. JamiiForums Tanzania Kwa sasa polisi sio watu wa kuwapa taarifa kama unahisi unapingana na serikali ni watumwa wa genge

    We mwana JF kama unanjia za kuona unaweza au kujiamulia kama hamza fanya. Kuna jirani katoa taarifa za CCTv kuna magari yana mfatilia na mpaka plate za gari. Kilichofata yeye kawa gaidi.
  7. JamiiForums Tanzania Watuambie kwamba serikali na taasisi zote sasa ziko Zanzibar?

    Nashindwa kuelewa muelekeo ambao umebakisha kufa sasa. Kwa nini mambo ya Tanganyika kila kitu kinaenda kufanyika huko. Wakati kila jambo lipo hapa.
  8. JamiiForums Tanzania Je, Magari yanayotolewa na mbunge wa Moshi Mjini, Ibrahim Shayo, Kuwahudumia Wananchi Moshi Mjini ni Mali ya Serikali au Bado ni Mali yake Binafsi?

    Ni jambo jema kwa viongozi, taasisi na wananchi kuhakikisha kuwa mali zinazotumika kwa ajili ya kutoa huduma za umma zinasimamiwa kwa uwazi na kwa kuzingatia sheria na taratibu za Serikali. Kutokana na taarifa zilizotolewa kuhusu magari yaliyokabidhiwa kwa ajili ya kuhudumia wananchi wa Jimbo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Soko halina huruma. Kwa huu mlipuko wa biashara ya Wi-Fi, tunakoelekea internet itaanza kuuzwa sh 200, huku Serikali ikianzisha vibali na kodi mpya

    Kila wiki inayopita kuna nyumba, jengo au fremu mpya inayopandisha antenna ya kusambaza internet. Wengi wameona fursa, wamenunua vifaa, wamevuta fibre na kuanza kuuza vifurushi vya Wi-Fi. Lakini kinachonishtua si ongezeko la watoa huduma, bali kasi ambayo biashara hii inaanza kujiharibia...
  10. JamiiForums Tanzania kuzaliwa kwa makundi mfano mafia Italy ilikuwa sababu kukosa haki kwenye serikali.

    Kichwa cha habari kinaweza kuwa tofauti na maelezo hapa. Ukiona serikali imeshindwa kufanya haki sasa inawaza kila mtu ni gaidi kwao. Hii history inaeleza nchi nyingi ambazo zimepitia serikali za ovyo na kugeuza haki kuwa ugaidi.
  11. JamiiForums Tanzania Kuhusu Kauli ya Dr. Nchimbi (VP): Ni aidha Kuna mgogoro ndani ya serikali na CCM au mbinu ya CCM ya "jifanye uko nao, then strike hard"

    Hebu jaribu kidogo kufikiri hili; KWAMBA; Ana Rais yuko madarakani na yeye ni Makamu wake, yaani kiongozi mkuu wa serikali Na. 2... Na, chama chao ndicho kiko madarakani, kinaongoza serikali.... Na siku si nyingi amekuwa Katibu Mkuu na kada mbobezi wa chama chao karibu maisha yake yote hata...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hili la VP NI MICHEZO TU YA SERIKALI NA CHAMA TAWALA

    Kumbe kinachoitwa Mwanasiasa usije ukaja kumuamini hata siku Moja. Mwanasiasa alikwambia Sasa hivi ni Saa 7 Mchana inabidi utoke nje iangalie kama kweli ni Mchana unaweza Kuta alimaanisha saa 7 Usiku. Naona leo wananchi wanamsifia Sana VP kwa hotuba yake, lakini ukweli ni Kwamba hiyo ni...
  13. JamiiForums Tanzania Wimbi la kesi za ugaidi litaathiri taswira ya nchi na sekta ya utalii kwa namna ambayo Serikali haikutarajia

    Watanzania, tukubali tusikubali, Serikali ya CCM haina viongozi wenye uwezo wa kuona mbali. Obviously, the mazafakas cannot see beyond their noses! Katika hali ya kawaida, hakuna kiongozi yeyote mwenye busara ambaye anaweza kuitangazia dunia kwamba nchi yake ina magaidi kila kona wakati ukweli...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yazindua mradi wa Mikopo nafuu ujenzi wa Vituo Vidogo vya Mafuta Vijijini, kusaidia wanaohifadhi mafuta ndani ya nyumba

    Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa ushirikiano na Benki ya Azania imezindua rasmi mradi mkubwa wa utoaji wa mikopo nafuu kwa wajasiriamali wadogo, utakaofanikisha ujenzi na uendeshaji wa vituo vidogo vya kuuza mafuta ya petroli na dizeli maeneo ya vijijini. Hatua hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Harufu ya upendeleo uagizaji wa mafuta; Serikali yakanusha ukiukwaji wa sheria

    Harufu ya upendeleo uagizaji wa mafuta; Serikali yakanusha ukiukwaji wa sheria Kupanda kwa bei za mafuta nchini, kunakoendelea kuwa mzigo kwa Watanzania, kumezua mjadala mpana kuhusu mfumo wa uagizaji wa mafuta, huku baadhi ya wadau wakidai kuwa mabadiliko yaliyofanywa na Serikali yameongeza...
  16. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu inayoanika uozo na uholela ndani ya serikali!

    Hakika kesi ya Lissu imetusanua Watanganyika. Kwamba serikali ya Tanzania imejaa uozo kila sehemu. Kwamba sheria, kanuni na taratibu haziheshimiwi wala hazifuatwi ama kwa makusudi au kwa kutozijua! Ni fedheha kubwa kwa serikali kuwa na watendaji na watumishi ambao hawajui sheria, kanuni na...
  17. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ali Nuno Aonya Wanasiasa Wanaofadhili Goons: Serikali Itaondoa Ulinzi Wao

    Kamanda wa Polisi wa Pwani, Ali Nuno, ametoa onyo kali kwa wanasiasa wanaodaiwa kufadhili makundi ya wahuni (goons), akisema kuwa serikali haitaendelea kutoa ulinzi kwa viongozi watakaobainika kutumia au kufadhili makundi hayo kutekeleza vitendo vya vurugu. Akizungumza na wanahabari, Nuno...
  18. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Serikali kutokea Hospitali ya Kanda Benjamin Mkapa Dodoma, Julai 22, 2026

    https://www.youtube.com/live/3r1VM5Popbw?si=5ngxqgUwSDdRvH2z Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, leo Julai 22, 2026, jijini Dodoma amefanya ziara na waandishi wa habari katika eneo la Soko la Machinga kuhusu jitihada za...
  19. I

    JamiiForums Tanzania KERO Wajasiriamali wadogo wa manispaa ya Musoma tunatoa wito serikali kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa siku

    Sisi wafanyabiashara wadogo wadogo wa Manispaa ya Musoma tunatoa wito kwa Serikali, TAMISEMI na viongozi wa Manispaa kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa kila siku kutoka Shilingi 200 hadi Shilingi 500 kwa wafanyabiashara wadogo kama wauza mboga za majani, karanga, mandazi na biashara...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto Amteua Charles Owino kuwa Msemaji Mpya wa Serikali, Isaac Mwaura Apandishwa Cheo

    Rais William Ruto amefanya mabadiliko katika uongozi wa Serikali baada ya kumteua aliyekuwa msemaji wa zamani wa Polisi, Charles Owino, kuwa Msemaji mpya wa Serikali akichukua nafasi ya Isaac Mwaura. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Utumishi wa Umma, Felix Koskei, Mwaura...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…