Bajeti ya mikopo na ruzuku kwa wanafunzi wa elimu ya juu imeongezeka hadi Shilingi trilioni 1.06, hatua inayolenga kuongeza fursa kwa wanafunzi wengi zaidi kupata elimu ya juu na kupunguza changamoto za kifedha kwa wanafunzi na familia zao.
Amesema kuwa wananchi wanaichanganya serikali kiasi kwamba inashindwa kujua iwafanyie nini😂
Yani ni kama anasema hata wao wamevurugwa😂
Hii nchi ngumu sana, sasa kama umevurugwa si uachie kiti?
Msingi mkubwa wa serikali upo kwenye jeshi. Kule jeshini kiongozi anakuwa ameweka viongozi ambao amekubaliana nao au hata ndugu zake kabisa. Sasa imagine jeshi litatetea wananchi eti kisa kauli mbiu 'jeshi la wananchi JWTZ' mbele ya dada yake au mjomba yake. Hii ingewezekana kwa watu wengine...
Kama nchi bila kujali yapi yatakuwa Matokeo ya mwisho, yaani Hukumu kwa kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kutokuionyesha na kuweka kumbukumbu ya documentary ya video.
Hakika hii ilikuwa daresay la Aina yake katika mifumo yetu ya sheria na mienendo ya uendeshaji ambayo ingeingia katika historia kwa...
Amani kwenu wakuu,
Ukiingia Mtandao wa Instagram hivi sasa, kurasa za wauzaji wa magari zimefurika matangazo ya mikopo yenye ushawishi mkubwa. Makampuni maarufu ya kuuza na kuagiza magari Dar es Salaam yote yanatangaza fursa za kutoa magari kwa mkopo.
Kijuujuu inaonekana ni msaada kwa vijana...
Kuanzia Julai 1, 2026, Serikali imeanza kutoa msamaha wa kodi ya mapato kwa mwaka mmoja kwa biashara mpya, ukihesabiwa kuanzia tarehe ya kupata TIN. Hatua hiyo inalenga kupunguza mzigo wa kodi kwa wafanyabiashara wanaoanza, kuchochea uanzishaji wa biashara mpya na kuhamasisha urasimishaji wa...
Maisha ya Mtanzania yana thamani gani?
Ni swali najiuliza kila siku linapokuja maswala ya majanga hapa nchini ya maji, moto, ajali za barabarani na mengineyo.
Ajali ya ghorofa kaiakoo, ilichukua wiki kufanya zoezi la uokozi
Meli kuzama Zanzibar na Lake Victoria mpaka leo bado kuna...
Karibuni!Tuyatambue kwa majina na maeneo yalipo!
1. Gari linalomuendesha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga,Kule Mkoani Kilimanjaro. ( Toyota Landcuiser Prado J250).
2.
3.
4.
5.
Assalam Alaykum ndugu zangu wanabodi.
Kwa unyenyekevu mkubwa ninaiomba serikali imruhudu Rachaz anayetaka kujitolea kujenga barabara ya Kazole ila nia yake hiyo imegonga mwamba kwani inasemekana serikali imemkatalia.
Sijui sheria inasemaje kuhusu mwananchi kujitolea ujenzi wa barabara ila kama...
Kumetokea vifo na ajali kadhaa vinavyohusu watumishi wa serikali na Idara zake hivi karibuni.
Vifo ninavyokumbuka:
1. Boti kuzama Kigoma na kuua watumishi 7
2. Askari polisi 5 na mahabusu 7 kufariki ajali gari la polisi
3. Gari Mkuu wa wilaya kukaidi amri ya kusubiri Inyala, Mbeya na...
Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imekabidhi jumla ya Sh bilioni 2 kwa wanufaika wa shughuli za utalii na uhifadhi wa wanyamapori, hatua inayolenga kuwawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi zinazotokana na rasilimali za utalii. Fedha...
Naomba mdau yeyote mwenye uwelewa anisaidie niweze kuelewa huu mfumo wa zabuni ukoje na vigezo gani mtu anapaswa kuwa navyo kabla hajaanza kuomba hizi zabuni na faida mtu anaweza kupata kupitia mfumo huu please. natangliza shukrani zangu nyingi za dhati.
NIMESHANGAZWA SANA; WATU WANAOSEMA KUNA RAIS NA SERIKALI HARAMU WAKISEMA HAKUNA MTOTO HARAMU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nilileta mada hapa iliyozua mjadala mkubwa kuhusu mtoto haramu. Nilieleza kinaga ubaga kwamba Uharamu yaani jambo lisilo halali, kitendo kisicho halali, au matokeo...
Ninaomba suala hili lifanyiwe uchunguzi na mjadala mpana, kwa sababu linagusa haki za wanafunzi na uendeshaji wa uchaguzi wa Serikali za Wanafunzi katika vyuo vya Tanzania.
Kuna hali inayodaiwa kuwepo katika baadhi ya vyuo nchini ambapo mwanafunzi anapotaka kugombea nafasi za juu katika...
Hali ya utekaji sasa inatisha sikuhizi hadi visa binafsi vya mapenzi watu wanatekwa inaonekana kuna kikundi maalumu kinakodiwa kwa kazi hiyo nankina baraka za serikali, mwisho wa hali hii ninini? Na tuna vyombo vya ulinzi na usalama ?
Tanzania tuna taasisi ya kiserikali ya RITA ambayo moja ya majukumu yake ni kutambua na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa na vifo.
Kwa Tanzania na dunia ya leo, cheti cha kuzaliwa ni muhimu maana ndiyo msingi wa kwanza wa utambulisho wako kabla haujafika huko kwenye NIDA, leseni za udereva...
Serikali inayotawaliwa na watu wa hovyo zaidi, wasio na sifa, au mafisadi inaitwa Kakistocracy.
Sifa Kuu:
-Uwezo mdogo na rushwa:
Viongozi huteuliwa kutokana na upendeleo (cronyism) badala ya sifa au uwezo.
Kupuuzwa kwa wananchi:
Serikali hutanguliza maslahi ya watawala wala rushwa...
Mchungaji wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, Mtaa wa Kinyerezi, Mchungaji Maotola Lumbe, amemshukuru Waziri Mkuu na Serikali kwa msaada walioutoa baada ya wanakwaya wa kanisa hilo kupata ajali eneo la Bahi, ikiwemo kuwezesha waliokuwa wakihitaji matibabu zaidi kusafirishwa hadi Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.