serikali

  1. H

    JamiiForums Tanzania Chomete akabidhi tofali 1,000 kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya serikali ya mtaa

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete tarehe 05 Septemba, 2026 amekabidhi tofali elfu moja (1,000) kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya serikali ya mtaa wa Chomete, Kata ya Sabasaba katika Halmashauri ya Mji wa Tarime, Mkoani Mara. Tofali hizo zimekabidhiwa na Mhe. Dorice...
  2. online GOVT applications

    JamiiForums Tanzania MEGA THREADS: OKOA MUDA NA PESA YAKO: Acha Mimi Nikufanyie Maombi Yote ya Serikali

    Habari Wakuu, Umechosha na foleni? Umechoka na mfumo unakwama? Umejaribu kujaza maombi lakini umekwama katikati? Usijali tena. Nipo hapa kukupa suluhisho la haraka, la uhakika na la kitaalamu kwa huduma zote za serikali na kitaaluma mtandaoni. Kazi yangu ni kuhakikisha unapata huduma yako kwa...
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Serikali kuimarisha matumizi ya teknolojia usimamizi wa bandari

    Serikali inaendelea kuimarisha matumizi ya teknolojia za dijitali, mifumo ya kisasa ya usimamizi wa bandari na biashara, pamoja na matumizi ya taarifa za kisayansi katika kufanya maamuzi ya kutambua kuwa Uchumi wa Buluu wa kisasa unahitaji wataalamu wenye ujuzi, ubunifu na uwezo wa kutumia...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania Kuondoa Wahamiaji Haramu kama Wenzetu?

    Afrika kusini wamekimbiza wahamiaji haramu, waliopitiliza vibali, waii, majambazi na wadaa poa , wanao jiuza kama ajira. Uganda wakafuata kufukuza wageni wa namna hiyo na sasa Kenya kuaznia leo wanafukuza , warundi wamejaa ubalozi kuomba passport na residency permitt. Je, Tanzania nasi tuanzie...
  5. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa juu wa serikali alisema wasipewe chakula hadi watakapokufa

    Miaka zaidi ya hamsini imepita tangu kumalizika kwa Vita vya Biafra nchini Nigeria, lakini majeraha ya kipindi hicho bado yanaendelea kuishi katika kumbukumbu za manusura na familia zilizopoteza wapendwa wao. Vita hivyo vilidumu kuanzia mwaka 1967 hadi 1970 baada ya eneo la mashariki mwa...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma unazinduliwa kesho Spetemba 8, 2026

  7. V

    JamiiForums Tanzania Nchimbi yuko wapi? Serikali na CCM tunataka majibu

    Wiki chache zilizopita tulitangaziwa kuwa aliyekuwa makamu wa Rais, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amejiuzulu nafasi hiyo. Siku chache baadaye CCM wakatutangazia kuwa wamemfukuza Nchimbi uanachama wa chama chao! Ajabu ni kuwa CCM katika taarifa yao kwa wanahabari hawakutoa fursa ya maswali...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Tuhuma za Bodaboda kumfanyia ukatili Mwanafunzi wa Darasa la 3, Jalada tayari lipo kwa Mwanasheria wa Serikali

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ametoa mrejesho zaidi kuhusu mtuhumiwa inayesemekaa ni Dereva Bodaboda anayedaiwa kumfanyia ukatili wa kijinsia mtoto wa Darasa la Tatu katika Shule ya Msingi Kiponza iliyopo Mbande kisha kuachiwa akiendelea...
  9. tpaul

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dudubaya: Je Serikali inaunga mkono ushoga?

    Dudubaya siku zote amekuwa mstari wa mbele kupinga vitendo vya kishoga hapa nchini. Huyu jamaa anastahili kabisa kuwa balozi wa kupinga ushoga. Hakuna mtu asiyefahamu jinsi Mambaz24 anavyopambana dhidi ya mashoga na wasagaji katika taifa hili. Pamoja na juhudi zote hizi, nimesikitishwa sana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa TRA Wanaoomba Rushwa—Uzoefu Wako Ukoje? Tuwafichue hapa

    Wadau, naomba uzoefu wenu kuhusu TRA. Nimeona niwashirikishe jambo ambalo nimekuwa nikikutana nalo katika shughuli zangu za biashara. Kuna baadhi ya watumishi wa TRA ambao, wakati wa kushughulikia masuala ya kikodi au ukaguzi, wamekuwa wakinipa hisia kwamba bila kutoa "Rushwa" au “kitu kidogo”...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania RMO Chunya na Songwe: Tekelezeni agizo la Serikali — Leseni zisizofanyiwa kazi zifutwe, Zikiwemo Shanta Mining na Wamala Resources Ltd

    RMO Chunya na Songwe, tunawaomba mchukue hatua za haraka na za kisheria dhidi ya leseni za utafiti wa madini ambazo zimepitwa na muda au hazifanyiwi kazi, badala ya kuendelea kuacha maeneo makubwa ya madini yakiwa yamefungwa kwa miaka mingi. Kuna taarifa zinazoonyesha kuwepo kwa leseni...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Anachokifanya Katambi kinadhihirisha Uwezo finyu wa hiki kinachojiita Serikali

    Awali ya yote siitambui serikali iliyopo madarakani kwani HAKUKUWA na uchaguzi. Baada ya October, aina ya kinachoitwa mawaziri wa wizara mbalimbali wamegeuka kituko sijui kama ni planned au ni IQ zao ndogo kama za boss wao. Ama hakika wahalifu hawa wako mbioni kukata moto. Mwisho nakukumbusha...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania chini ya Samia, imewakabidhi DRC Mwanaharakati Denise Dusauchoy ili akanyongwe. Ni mkosoaji wa Felix Tshisekedi

    Picha za kwanza za Denise Dusauchoy akiwa nchini ya ulinzi #Kinshasa -Kongo Huyu alikamatiwa akiwa uwanja ndege katika Kilimanjaro tarehe 30 Agosti kufuatia hati ya kukamatwa kwake iliyotolewa serikali ya Kongo Denise Dusauchoy Mukendi mwanaharakati kupitia mitandao ya kijamii alikuwa...
  14. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hivi TBS inakuaga wapi?

    mtu unatafuta godoro kwa mfano qfl au Tanfoam, Bei ya godoro original kwa mfano ukubwa wa 5*7 12" ni zaid ya laki 5, lakini Kuna fake yapo Hadi kwa laki 2. hivi inakuaje haya feki yanauzwa watu wanapigwa sana serikali inakua wapi? Tena walivyo wahuni wanakufanyia delivery wanakuletea Hadi...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Ofisi za serikali zinaweka namba ambazo hazipatikani, Nilishasema tangu zamani Miafrika inashida fulani sio bure

    Yani ukikaa Afrika kila kitu ni kero, halafu mtasema hawa ni watu watu wa kawaida kweli? Shithole Ofisi za serikali namba hazipatikani, zinazopatikana hazipokwlewi mfano namba moja ni NIDA mkurugenzi yupo na analipwa mshahara kila mwezi? mbona ofisi za private na taasisi za private namba...
  16. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali imeweka mikakati gani kuwasaidia Watanzania wanaorudi kutoka Afrika Kusini?

    Je, Watanzania wote waliorejea nchini kutoka Afrika Kusini kwa msaada wa Serikali wana makazi ya kudumu? Ikiwa si wote wana makazi ya kudumu, Serikali imeweka mikakati gani ya kuwasaidia kupata makazi pamoja na mahitaji muhimu ya maisha, ili waweze kuanza upya na kujitegemea?
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Consistency ya Tundu Lissu kukosoa serikali za awamu zote inafanya watu wamuamini tofauti na wale Wanasiasa wa msimu

    Hamjambo! Kuna Wanasiasa wa Msimu. Akiingia kiongozi huyu wanakuwa wakali kama viwavi jeshi. Akitoka huyu na kuingia mwingine wanakuwa kimya. Hali hiyo inawafanya waonekane wanasiasa wenye maslahi fulani au ubaguzi hivi. Hata ingekuwa ni mimi ndiye nimeingia madarakani. Yaani wakati wa...
  18. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Serikali yaweka mikakati elimu ya lazima ya miaka 10

    Serikali imeendelea kuchukua hatua za kuimarisha sekta ya elimu kwa kuongeza miaka ya elimu ya lazima, kupanua fursa za elimu ya sekondari na kuimarisha mafunzo ya ufundi ili kuwapa vijana uwezo wa kushiriki kikamilifu katika soko la ajira. Akizungumza Septemba 02, 2026 jijini Dodoma na Balozi...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watu waliofanya unyama na uovu na kisha wakapandishwa vyeo na serikali ya CCM

    Jina Ramadhan Igwondu (au wakati mwingine likiandikwa kama Ramadhan Ighondo) linajulikana nchini Tanzania likihusishwa zaidi na matukio mawili makuu: Kashfa ya Kutekwa kwa Dr. Steven Ulimboka (2012): Jina hili liligonga vichwa vya habari na kujadiliwa sana kwenye majukwaa ya kijamii kama...
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania SERIKALI YAMJIBU MBUNGE WA KAWE KUHUSU UJENZI WA SOKO LA TEGETA NYUKI

    Mbunge wa Jimbo la Kawe Jijini Dar es salaam Mhe, Timoth Geoffrey Anyosisye ameishauri Serikali kukarabati Soko la Tegeta Nyuki, akisema miundombinu yake imechakaa na kusababisha wafanyabiashara pamoja na wateja kufanya shughuli zao katika mazingira magumu. Timoth akiuliza swali bungeni jijini...
Back
Top Bottom