Nimemsikiliza wakili wa serikali Katuga akitoa ufafanuzi katika kesi ya uhaini inayomkabili Lissu kwamba
sentence guideline ya 2023 inasema shall be liable maana yake ni mtuhumiwa anaweza kunyongwa au asinyongwe.
Katuga hajasema kweli, na kama hajui maana ya kisheria ya maneno "shall", "will"...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza na wananchi wa Kata ya Muhonda na Sungaji wakati akiwa kwenye ziara Wilaya Mvomero mkoani Morogoro, Septemba 28, 2026.
Serikali imeendelea kutoa wito kwa wananchi kuendelea kusikiliza...
RUVUMA: Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kutoa huduma kwa wananchi kupitia Kliniki za Ardhi, zinazolenga kupunguza migogoro ya ardhi na kuongeza uelewa kuhusu sheria na taratibu za umiliki wa ardhi.
Kwa mkoa wa Ruvuma, kliniki hiyo ya Ardhi ya Kidigiti...
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, unakuta sehemu nyingi zenye viwanda vya maji vinavyouza maji ya chupa nchi nzima raia wanaozunguka hivyo viwanda hawana maji safi laini ya bomba hata ya kunywa na kupikia tu.
Sasa kwa sababu viwanda vya maji vya akina Azam, Kilimanjaro, GSM, Hill Water na vingine...
Kati ya mwaka 2025 na 2026, Serikali imeendelea kuwawezesha wachimbaji wadogo kupitia mafunzo na upatikanaji wa maeneo rasmi ya uchimbaji. Jumla ya vijana 1,239 wamepatiwa mafunzo ya uchimbaji salama, utunzaji wa mazingira na uchenjuaji, huku maeneo 99 ya vitalu yakitengwa rasmi kwa ajili ya...
Hii serikali ya Samia ilidhani yatatokea yale ya Mbowe kuwa unaambiwa una kesi ya kujibu kisha unanyoosha mikono na kukimbilia ikulu!
Mwamba kasema yupo tayari kufa na hakuna kesi ndogo kwenye kesi ya uhaini. Kasema wazi ni ama una hatia unyongwe au hauna hatia uachiliwe. Hakuna cha mbadala...
Wakazi 133 kutoka Chandavai, Lamu, wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu ya Malindi wakipinga shughuli zinazoendelea kwenye ardhi inayohusishwa na ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote.
Wakazi hao wanataka mahakama isimamishe shughuli zaidi kwenye eneo hilo hadi madai yao kuhusu...
Paul Chacha, katibu wa NEC ya CCM amewatia jambajamba kubwa watu wasiojua kufikiria vizuri kwa hotuba yake kwa wanachama wenzake.
Vyombo vya dola vyote vinalitumikia dola, vinalinda dola, vinakula kiapo kumtii Rais na katiba. Rais ndiye AmiriJeshi Mkuu wa vikosi vyote na Mkuu wa nchi. Bahati...
TMA ilisema el nino inatarajia kuanza mwezi wa 9 mwishoni, huko kwenu kuna hata dalili.
Tukaambiwa el nino bado inajijenga baharini tangu mwezi wa nne.
Nikasikia tena wanasema el nino sio lazima iwe mvua inaweza kuwa ni hali ya mawingu na upepo.
Serikali kupitia kwa msemaji wake Msigwa...
Mji wa Mikumi uko njiapanda ya maeneo mengi ya mkoa wa Morogoro pia uko katikati ya huo mkoa.
Mji wa Mikumi umezungukwa na maeneo mengi ambayo ni vivutio vya utalii kama mbuga ya Mwalimu Nyerere, Mikumi, Ruaha na milima maarufu kwa mimea na viumbe pori kama ilivyo Arusha, pia ni mji uliofikiwa...
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2025, CCM iliketi chini na kujitathimini, kujisahihisha, kujirekebisha na kuweka mikakati ya kufanya vizuri zaidi kuelekea 2030, utamaduni ambao umekua na manufaa makubwa sana kwa chama hicho tawala Tanzania.
Tayari CCM imeanza kujipanga na kujiweka mguu sawa mapema...
Wakati wenzetu wanapeleka wananchi kwenda nje kufanya kazi ambazo nchi itafaidika watakaporudi sisi tunapeleka madereva kazi ambazo zimesuswa. Tumepeleka mayaya na waosha sahani lakini wakirudi hatufaidiki kiuchumi! Wenzetu wamepeleka vijana Israeli ambako wanajifunza kilimo chenye tija kupitia...
Wanaume wote wapo pamoja na dudu baya.
Wamama,wadada hadi wabibi wanaowapenda na kujivunia vijana wao wakiume,wanaunga mkono kampeni ya dudu baya.
Kwa kifupi watanzania wote [ukiwatoa mashoga,wasagaji na basata] ya serikali ndio hawaoni jambo jema,tukufu na la kheri analofanya dudubaya.
Hii la...
Mode hide my id
Kumekuwepo na changamoto kubwa ya watoto kutapika na kuharisha hapa wilaya ya manyoni,wodi ya watoto kwa sasa hakuna ugonjwa mwingine unaoongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi kama huu wa kutapika na kiharisha
Ttunaomba serikali itoe ufafanuzi,isijekuwa ni kipindupindu tayari...
Mbunge Ado Shaibu Ado akizungumza katika mkutano wa hadhara wa Kijiji cha Ngapa, Kata ya Wilaya ya Tunduru katika Mkoa wa Ruvuma amesema Wananchi walipogundua madini na kuanza kuchimba kama wachimbaji wadogo, Serikali badala ya kuwawezesha kwa teknolojia na mitaji ili faida ibaki ndani, inaenda...
Hivi kwa matamshi haya tutegemee Kuna siku CCM itatoka madarakani? Je tutegemee Tundu Lissu atatendewa Haki? Je tutegemee watanzania kupata mabadiliko ya katiba?
Huko CCM mkiwa mnachagua viongozi muangalie na watu wa kuwateua sasa imagine Huyu hajui hata mipaka ya Serikali na Vyombo vyake...
Serikali imeitaka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kuharakisha maboresho ya mitaala na mafunzo ya uhasibu ili kuendana na kasi ya maendeleo ya teknolojia, hususan matumizi ya akili unde (AI), kwa kuwa baadhi ya kazi zinazofanywa na wahasibu hivi sasa zinaweza kubadilika au...
Hivi DAWASCO hawaoni? Kila kukicha mitaani maji yanamwagika mpaka yamechimba mitaro. Halafu somewhere katikati ya mwaka tunaambiwa maji hayatoshi unaanza mgao wa maji!. Yaani imefika hatua mpaka ukitaka kujua maji yanatoka utaona tu mtaani jinsi maji yanayo vuja kila kona! Uko convert maji...
Binafsi nasikitika sana kuona Bado Kuna vifo na vurugu zinazoendelea baina ya WAKULIMA na WAFUGAJI.
Jambo linaloibua maswali mengi sana juu ya mpango mkakati wa SERIKALI dhidi ya KUTATUA changamoto hii ambayo ni hatari Kwa taifa kama hili. Taifa ambalo uchumi wake unakadiriwa Kwa takribani...
Wilaya zetu zina makabila, na mikoa yetu pia ina makabila. Hata hivyo, mfumo wa uongozi wa serikali za mikoa tulionao, ambao kwa namna fulani unapatikana pia katika nchi zinazotajwa kuwa na mshikamano mkubwa wa kitaifa kama Ghana, unapunguza uwezekano wa viongozi wa mikoa na wilaya kujijenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.