Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,093
- 866
Mheshimiwa Rais amenituma niwahakikishie kuwa Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa taasisi zetu hizi za dini,
Dkt. Mwigulu Nchemba
Waziri Mkuu wa Tanzania
🗓️Oktoba 4, 2026
📍HANDENI, TANGA
—————————————————-
Amesema hayo alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ibada ya Misa Takatifu ya kuwekwa wakfu kwa Kasisi Kanoni Charles Mika Lundu kuwa Askofu wa kwanza wa Dayosisi ya Handeni, iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Kristu Mfalme, Chanika, mkoani Tanga.